kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nilikuelewa ndio nikakuandika hivyo kutokana na kuanza kauli yako inayoweza kumvunjia mtu heshima.Umeelewaje?
(Ili nijue namna ya kukuelewesha zaidi)
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hivi wanatumia nini kupata picha hiyo? Au kuna technology ambayo wapiganaji wanaivaa kuonesha progress ya pambano?Namna Bukhmut ilivyokuwa inamegwa, hii imeandaliwa na waukrein wenyewe. Bado kilomita moja na nusu tu Bukhmut nzima iwe imekombwa.
View attachment 2604395
[emoji1672]Visualization of the attack on Artyomovsk/Bakhmut made by Ukrainian cartographers, since the beginning of this year.
Zelensk kamua kuwatoa kafara ndugu zake[emoji23][emoji23][emoji23]VIDEO TAHADHALI YA PICHA
Kikundi cha wanajeshi wa Ukrein kilijikusanya kwa Lengo la kushabulia Kumbe Mrusi anawacheki tu
kilicho Wakuta ni kufyekwa Woote
View attachment 2604430
Mkuu kwenye vita Kuna technology nyingi Sana zinatumika zikiwemo zinazobandikwa kwenye kofia ngumu zikiwemo kamera, vifaa vya mawasiliano , pia wanatumia setilaiti n.kHivi wanatumia nini kupata picha hiyo? Au kuna technology ambayo wapiganaji wanaivaa kuonesha progress ya pambano?
Jamaa c ni km comedianAkina Senselesky wasanii sana na waongo - hivi hizo interceptors za Ukranian ADS zinazalishwa kama neutrons kutoka kwenye atomic fission process ie zina ongezeka exponentially!!!
Aione ndugu vunjoKuna Majuha huwa wanaleta Video humu kutoka kwenye Vyanzo Uchwara vya Uk
hasa hili li chanel la The Sun
yaani Drone ni ya Urusi wenyewe wanasema Ya Ukrein
Hii Armored tank ni ya Ukrein ndio imepigwa ila wao wanakuambia ni Ya Urusi!!
na Yupo mpuuzi Anaileta Humu au Anaona hawa the Sun ndio chanzo chake cha Habari!!
View attachment 2602216View attachment 2602217
British journalists called Russian kamikaze drone a Ukrainian missile and Ukrainian missile system a Russian armored tank. 🤡
.SIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE