mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Hali ni shwari kabisa mjini sevastopol
Juzi walipeleka drone ikadunguliwa, leo wamefanya kweliUkraine - imeanza kuibeep Crimea; Drones zaachie makombola kadhaa kwenye stoo ya mafuta - jiji gizani..
![]()
Smoke rises following an alleged drone attack in Sevastopol, Crimea, on Saturday [Reuters]
A massive fire was ignited in the Crimean port city of Sevastopol following a suspected drone attack on a fuel storage tank.
The blaze was assigned the highest ranking in terms of how complicated it will be to extinguish, Mikhail Razvozhayev, the Russian-installed governor, wrote on Telegram on Saturday.
Kipofu kaona mwezi leo si furaha hiyoJuzi walipeleka drone ikadunguliwa, leo wamefanya kweli
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli tumewamissJukwaa alikuwa ivi ili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wale jamaa walikuwa kwa siku wana comment zaidi ya elfu 3000.ila sasa ivi hata 20 awafikishi.itabidi Mrusi ajilegeze kidogo wafanye hata counter-attack moja ili ndugu zetu warudi jukwaani
Akina Senselesky wasanii sana na waongo - hivi hizo interceptors za Ukranian ADS zinazalishwa kama neutrons kutoka kwenye atomic fission process ie zina ongezeka exponentially!!!Ukiangalia kipigo na makombora yaliyodunguliwa haviendani mmefika mahali mnajidanganya wenyewe Sasa makombora mawili zaliwezaje kupga target zote hizo?
ApiaKuna videos nimeona, kuna wanajeshi wengi sana wa Chechnya, wamemwagika kwenye fronts zote.
Inavyoonekana Russia wamejiandaa kuwachinja kwa mkupuo wa Ukraine watakaojipendekeza kufanya hiyo counter-offensive.
Naona wanataka kuwapa kichapo kimoja kitakatifu ambacho hawatakisahau na hawatarudia tena kuzungumzia counter-offensive.
mmhhh kweli ? sasa kaa kwa kutulia [emoji41][emoji41]Juzi walipeleka drone ikadunguliwa, leo wamefanya kweli
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mm naona tuwauwe tuHizi ID mpya hizi zina shida.Hakuna taifa lolote ambalo litamia nguvu na akili kidogo kama US.Ndo maana ana base za kivita KILA kona ya dunia.Sasa kama Us hatumii nguvu ya kivita kujinufaisha hizo base KILA pembe ya dunia ni za nn ?
Mkuu!kumbe Russia anaweza piga AD yeyote,sasa mbona hazimalizi maana ndio zinaendelea kumpa changamoto.(tubaki kwenye uharisia propaganda hazitasaidia chechote)Mara ya mwisho umesikia ukraine kamshambulia urusi kwa drone ni lini???
Hapo wameshafanya majarbio mengi mpaka wamefanikisha hilo moja , ilaa sasa urusi akiamua kupeleka drone kokote anapiga, mpaka kwenye ADs zao anapiga, we hushangai na huoni nani mbabe hapo
Mkuu maneno haya ni rahisi kutamka ila kugeuza maneno kuwa vitendo ni shughuri.rejea hata Ukraine kusema kuwa atairudisha crimea kijeshi ni kazi ngumu,Hatuna tena wakati wa "kucheza polepole". Kilichotokea (shambulio la UAV huko Sevastopol) inahitaji majibu na hatua kali. Vituo vyote vya kuhifadhi mafuta huko Odessa lazima viharibiwe. Uamuzi wa kimkakati wa kuiondoa Odessa kama kituo cha kijeshi cha Ukraine lazima ufanywe" - Seneta wa Baraza la Shirikisho la Urusi kutoka Crimea, Olga Kovitidi."