Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
UKRAINE waliyataka acha yawakuteKinachoendelea huko Ukraine ni bullying na uhalifu mkubwa.
UKRAINE waliyataka acha yawakuteKinachoendelea huko Ukraine ni bullying na uhalifu mkubwa.
Kabisa UK niwashenzi wale na us ni SawaSimple sana Vunjeni NATO au kifupi NATO Waachieni nchi za America iwe Kanada, Usa, Mexico kama mtamuweza na wengineo wadogo wadogo kutoka Central America.
Umoja wa kiuchumi mlionao Sasa ongeza na Kijeshi mmemaliza ila hakikisheni Uingereza yupo nje kabisa ya eneo lenu kimkakati
Akikujibu unitagKilichokuwa kinafanywa na USA pale Iraq na Libya ilikuwa ni ugawaji wa afkeki au ice Cream?
Niwakumtwanga nyuk tuuuuUshasema kichaa, mtu mwenye akili timamu hawezi acha fanya alichofanya Urusi kwa Ukraine. Jirani anayekuletea nyoka ndani ili ikuumize ni wa kumalizana nae mapema sana.
@T14 ArmataHii wanayo Iita Counter Offensive Imekuwa Kwaunta Offensive
kutwa Maneno leo hili kesho Lile
Sasa Huyu katibu Mkuu wa Ulinzi wa Ukrein anasema WO hiyo Counter Inafanyika Hufanyika kila siku
wasisubirie Tarehe ya Mazinga ombwe
Tumuelewe nani!!
Secretary of the National Security and Defense Council of Ukraine Danilov said the Ukrainian counter-offensive "occurs every day" and urged not to wait for "magic dates
Mkuu hii Counteroffenceve ikiferi automatic Ukraine itakuwa imeshindwa vita na wataanza kupokea shinikizo la kufanya mazungumzo ya kumaliza vita na washirika wake maana wametumia gharama kubwa sana kuiandaa.Ukraine says it's 'ready' for counteroffensive
Ukrainian Defense Minister Oleksii Reznikov said Friday the military is "ready" to launch a counteroffensive against Russian forces.
"It's up to the general staff and the command," Reznikov said during a press briefing in Kyiv. "We will do it as soon as there is God's will, the weather and the commanders' decision."
A Ukrainian soldier holds his helmet as he rides an APC in Bakhmut, in the Donetsk region, Ukraine, April 26, 2023.Libkos/AP
![]()
Ukraine has received Patriot missile defense systems from the United States as well as Germany and the Netherlands. The Ukrainian military has been trained on how to use the systems and "mastered" them within weeks, according to Reznikov.
"The exact number of batteries, I'm sorry, I won't say," he added. "Let the enemy guess."
Meanwhile, Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba urged the world not to consider or call the anticipated counteroffensive "a decisive battle." Speaking at a press conference in Odesa on Friday, Kuleba said the decisive battle is the one that will lead to the liberation of all occupied Ukrainian territories.
=========================
Hatimaye msosi umeshaiva, tukae mkao wa kula muda wowote kuanzia Sasa.
Nipo hapa MKUU na bado tutayaona sana zaidi ya hayokila goti litapigwa moscow-kuna mwambwa aliyasema hapa simkumbuki jina...kudos
Huyo jamaa hata mie nilidhani anahoja kumbe anaviojaDah nilikua nafatilia mjadala,nikadhani Nina kitu Cha kujifunza kumbe ni walewale.
Kuweka dharau nyingi kumbe hamna kitu.
Kwa hiyo mwenye mawazo ya kizamani ni Urusi ambae tayari Alisha vunja hata Warsaw Pact,lkni yule anaeng'ang'ania kupeleka silaha za nyukilia ulaya mashariki,kuendelea kuitanua NATO ulaya mashariki,aliekua akitoa mafunzo ya Siri kwa Ukraine kwa miaka zaidi ya 14,kusamabza makambi ya kijeshi kuizunguka Urusi kuanzia west Europe,middle east,Korea kusini,far east huyo Hana mawazo ya cold war?
Kwa hiyo kufanya afanye USA,akifanya Russia huyo ana mawazo ya cold war.
Yaani mtu kama wewe ungekua ndio Mkuu wa ujasusi wa Urusi,nadhani Yankee wangekua wanakunywa kahawa Kremlin siku nyingi,kwamba huoni kitisho anachokipotia Urusi dhidi ya maharamia wa Amerika.
Aisee hapa umechemka.
Aisee kumbe jamaa yangu wewe bado uko nyuma sana ya kufikiri.
Hivi Kampuni kuwekeza katika nchi adui ndio guarantee ya kutokuhujumu?
Je mambo ambayo Marekani alikua anayafanya kwa Siri nchini Ukraine kwa ajili ya kuja kumdhuru Urusi baadae ambayo Urusi kayagundundua hiyo nayo unaichukuliaje?
Je hukubali pia kua USA alikua amejikita kuiwezesha kijeshi Ukraine ili kuja kuihujumu Urusi baadae?
Mfano mwingine,USA ana makampuni mengi sana nchini china pia,lkn je uhusiano wa china na USA ukoje kwa Sasa?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na juisi ya ubuyuKilichokuwa kinafanywa na USA pale Iraq na Libya ilikuwa ni ugawaji wa afkeki au ice Cream?
Waendelee kuminywa tu pimbi hao ,na Counter offensive attacks zinakuja soon ,this time wavamizi mafi yatagonga chupiSabotage zinaendelea [emoji16]
Moto mkubwa umezuka katika mji wa bandari wa Crimea katika eneo la Sevastopol kufuatia shambulio linalodaiwa kuwa huenda limetekelezwa na ndege isiyo na rubani kwenye tanki la kuhifadhia mafuta, Mikhail Razvozhayev, gavana anayegemea upande wa nchi ya Urusi ameandika kupitia Telegram.
"Tenki la mafuta linawaka ... Kulingana na ripoti za awali, shambulio la ndege isiyo na rubani huenda limesababisha moto huo," ameandika kiongozi huyo.
Ukraine imetangaza mara kwa mara nia yake ya kutwaa tena eneo la Crimea, ambalo Urusi ililitwaa kinyume cha sheria mwaka .
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri mnajua kujifarijiWaendelee kuminywa tu pimbi hao ,na Counter offensive attacks zinakuja soon ,this time wavamizi mafi yatagonga chupi
Hata Hitler aliyeisumbua dunia yote aliposikia jeshi la Urusi limefika Berlin aliamua kujidumbukiza kwenye pipa la acid 🤣🤣Zelensky asema kwamba anatembea na bunduki ili kujipiga risasi endapo kuna hatari ya kukamatwa na Muscovites.View attachment 2603970
Exactly [emoji817]Waendelee kuminywa tu pimbi hao ,na Counter offensive attacks zinakuja soon ,this time wavamizi mafi yatagonga chupi