kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Lengo mojawapo la kurefusha hii vita ni kumchosha fashisti asiweze kuinuka milele, hivyo Ukraine wakipewa nyenzo za kumaliza kazi mapema,lengo halitakamilika sawasawa,Oya mbona Uncle Sam anaxibgua kuleta F16 na 35 ,si awape kuwarahishia shughuli hawa wazee ?
Nnachokukubali,Wamelipua huko
Inasemekana ni depot ya ammunitions za S300
Ni mwendo wa mafataki tu angani...
Source kaangalie twitter imekuwa posted na Ukraine wenyewe
Wewe Zelensky akikusikia unavyompaka mafuta kwa mgongo wa chupa angekuuaacha mahaba kijana, utakufa kwa presha, kuna kisago kinaendelea kule Bakhmut.
Utaficha kinachoonekana na wengine?Nnachokukubali,
Wee ni pro nato ila Hauna mihemko
Kwenye ukweli unasema, wanapozingua unakosoa[emoji106]
Na unanyea unga .....Unarusha drone moja Crimea unajibiwa kwa heavy bombers zaidi ya 20, meli na drones.. Kweli hii ndo ule unasikia ukimwaga mboga namwaga ugali na sufuria nalitoboa
Wameuchokoza Moto,acha uwaunguze[emoji1]Ukraine inawaka moto.maombi yenu yanaitakija[emoji120]
Kichapo heavy[emoji1787]Kilicho wakuta Ukies usiku huu ibaki kua siri yao, Chonde chonde msizungumze kitu [emoji1787].
Kuna shoga Yao mmoja Yuko Kenny kiyoyozi anawapotosha waendelee kuungua[emoji1]Nadhani sasa mambo ya sijui counteroffensive waachane nayo tu...hawa warusi ni moto mbovu sana!
Hawa jamaa akili zao .... Basi tu ..... Labda makombora matatu yaliyopita yalikuwa Yana jivunjavunja angani yanakuwa mengi mkuu.....Kwahiyo yale maafa yote ya jana ni makombora 3 tuuu [emoji3]
nasikia Wegner group anataka kuweka mpira kwapani kulikoni tena?Wewe Zelensky akikusikia unavyompaka mafuta kwa mgongo wa chupa angekuua
Endelea kusikia Mkuu.... Na utege sikio vizuri....nasikia Wegner group anataka kuweka mpira kwapani kulikoni tena?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watakua wamepata somoUnarusha drone moja Crimea unajibiwa kwa heavy bombers zaidi ya 20, meli na drones.. Kweli hii ndo ule unasikia ukimwaga mboga namwaga ugali na sufuria nalitoboa
Kuna jamaa anaitwa kipanya.....Utaficha kinachoonekana na wengine?
Kwa hiyo unachotaka kutuambia ni kwamba Zelensky na team yake ni wapumbavu.hata kwa akili ya kawaida kabisa hili jambo lisingewezekana, ni sawa na kuwashauri wanandoa kuzaa mtoto mwingine wakati wako katikati ya ugomvi wa kutalakiana.
Uncle SAM akili zake zote zipo kwenye uuzaji silaha za vita ikiwezekana Dunia mzima, mpaka wanafikia hatua ya kuwadanganya wazungu wezao huko Ulaya magharibi na mashariki eti waunze ndege zote zinazoundwa huko Uingereza,Ufaransa,Ujerumani na Urusi badala yake wanunue ndege za vita zinazo undwa Merikani tu, lengo la Merikani ni kutaka kuhujumu viwanda vya kuunda ndege za kivita huko Ulaya ili waendeleze viwanda na uuzaji silaha za (MIC) za huko Merikani.Oya mbona Uncle Sam anaxibgua kuleta F16 na 35 ,si awape kuwarahishia shughuli hawa wazee ?