NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Mwanzoni,BBC wakipost habari za kuilalia urusi sio habari ya kweli......
Ila hii ndio habari ya kweliii
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Walipaswa wamsaidie kivita Kama mwanzo walivyoahidi wkt bado Russia Yuko mpakani.Nchi za Kimagharibi zilifikiri Urusi anatania sasa issue imekuwa serious hawaamini, Njia mbadala walionayo ni kuiwekea vikwazo Urusi hakjna msaada mmwingine walionao
Putin shikilia hapo hapo. Wenyewe wameamzisha vita vya kiuchumi.Rais wa Ufaransa na Kansela wa Ujerumani wamemuomba Putin apumzishe kidogo mapigano waUkraine wapumue kidogo.
Viongozi hao pia wamemuomba Putin ashushe 'MUNKARI' wa vita, na akubali mzozo huo utatuliwe kidiplomasia (maneno matamu matamu kama yale ya Mwalimu Nyerere yaliyoipatia Uhuru nchi yetu toka kwa Mkoloni)
View attachment 2148700
Mjifunze kupokea habari zote..... Nzuri na mbaya upande wenuMwanzoni,
walipost sana habar za mkulima kaiba kifaru na mwanajeshi wa Urusi anatubu, mwingine anapewa chai apige Simu kwao Vita imemshinda n.k
Sahv upepo umebadilika[emoji4]
Wao ndio wanalalamika kushambuliwa kwa mwenzao Ukraine kutokea Safu zote.
Hii ndio maana halisi ya neno "War Dynamics"
Habar ziko biased,Mjifunze kupokea habari zote..... Nzuri na mbaya upande wenu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
The meaning of URGE is to present, advocate, or demand earnestly or pressingly.Rais wa Ufaransa na Kansela wa Ujerumani wamemuomba Putin apumzishe kidogo mapigano waUkraine wapumue kidogo.
Viongozi hao pia wamemuomba Putin ashushe 'MUNKARI' wa vita, na akubali mzozo huo utatuliwe kidiplomasia (maneno matamu matamu kama yale ya Mwalimu Nyerere yaliyoipatia Uhuru nchi yetu toka kwa Mkoloni)
View attachment 2148700
Kwahiyo BBC wamesaliti??Habar ziko biased,
Kungekuepo Uhuru wa habar RUSSIA TODAY, ABS NEWS zisingefungiwa duniani kote.
Hii tafsriri yake Ni kwamba wanataka tuskie wanachotaka wao.
Lini hiyo niliposema hivyo??.Huo muda mchafu wa kuanza kuhangaika na kujadili hbr za wazungu nitautoa wapi??.Si ndo Wewe uliesema Putin ataumbuka mchana kweupe?
Si Ulisema putin hawez kushinda hii Vita, atachakaa mapema sana.?
Wee si ndo ulishabikia pale mkulima alipoiba kifaru, ukasema Russia wameshindwa?
Kiko wapi Sasa, sahv ndo umejua Vita mbaya?
Hebu tulia Kwanza dawa iingie[emoji4]