NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Urusi ilijipanga kufanya hiki anaachokifanya muda mrefu, Putin anajua kabisa hawawezi kutia pua zao pale wataishia kwenye sanctions tu.Walipaswa wamsaidie kivita Kama mwanzo walivyoahidi wkt bado Russia Yuko mpakani.
Sahv mwenzo anapigika wao wanaweka vikwazo tu, huu Ni unafiki uliopitiliza.
Wewe umeshawahi kupigana vita ipi??.Waafrika sisi MUNGU atuhurumie tu.Tunavyojadili ishu za wenzetu ni kana kwamba tunajua sana au tuna uzoefu sana na mambo hayo, Kumbe dah!!!,La haula.[emoji23][emoji23][emoji23]Katika kosa kubwa la kivita alilofanya zelensky ni
1. Kugawa silaha ovyo kwa raia wake wote 16yrs-60yrs wapigane na wanajeshi wa Urusi kwny hii Vita.
2. Kuruhusu raia wake wote waondoke maeneo ya makazi ktk miji yote ktk wkt huu wa Vita (humanitarian corridor).
Labda jamaa wameshtukia kuwa jibwa halina meno wanajaribu kutest zariHii ni kama Iran anataka kumfukuza Marekani nchini Iraq au nimeelewa vibaya??
Hapo nilipiga kelele tu kipindi kile yule Mpuuzi Marekani na wehu wenzake walivyomvamia Libya, kwasababu tu Libya ni Waafrika wenzangu.Lkn hayo ma nchi mengine sikuwa na time nayo.Wakati USA na washirika wake wakizitandika Iraq, Afghanistan,Libya, palestina na kugeuzs mini Yao magofu
Sikuwai kabisa kuona comment yako Kama hii?
Au umeokoka juz tu mkuu baada ya Vita hii ya Ukraine[emoji4]
View attachment 2148691
CNN ni mamluki kama TBC ya mmarekani😂😂😂 story za kimbeya tu za kuichafua Urusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Mimi ni Mwafrika,tena wa huko Ludewa kuelekea ziwa nyasa.Lkn Waafrika wenzangu mnaboa sana.Wewe mzungu unafanya nini humu!?
We wajua maana ya neno 'appeal' kama lilivyotumika ktk source niliyoiweka? (tazama screenshot ya kwanza hapo chini)The meaning of URGE is to present, advocate, or demand earnestly or pressingly.
Hawajaomba, wamemtaka asitishe vita na atumie mazungumzo. Unaleta source halafu unaitafisiri tofauti kwa namna unavyopendelea iwe. Ni vizuri kuweka tafsiri halisi katika uhalisia wake.
mkuu mbona unafokafoka sana kama mwalimu wa hisabati, shida nini haswa.
Vikwazo vina backfire😅 unamuwekea kikwazo Urusi nae anamuwekea kikwazo mshirika wako😂😂😂Biden ni rais dhaifu mno anakimbilia vikwazo afu anashinikiza kila nchi zimpe russia sanctions. Kama Chelsea watashindwa endelea kucheza soka kuna uwezekano tim zingine zikagoma kuendelea na EPL tusubiri muda utafika.
Wanaweka vikwazo mpaka wanajiwekea na wao wenyewe pia[emoji28][emoji28]
Kwahio uendelee kuburuzwa kama mbwa kwa sababu gani yani! Putin ni mwanaume wa shoka halina ubishi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana kila mda nasema wanasiasa ni watu wa hovyo sana [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Ogopa kufanyiwa maamuzi na 70+yrs Old [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijamaa vinajua vinakaribia kufa haviwazi kabisa maisha y baadae....
Uchanganuzi ka huo uloweka ni kwa watu walokomaa akili tu big Up kwa kuliona hilo nimeongeza kitu apo...
Hivi vitoto vina mahaba sana ngoja tuvikaushie tu viendelee kujifurahisha....
Uzuri , Venezuela atapanga bei bila kutumia kipimo cha dola. Na hiyo hela atampa Russia kumalizia deni.Safi sana....maslahi ya nchi kwanza
Ile story ya mkulima kuiba kifaru inachekesha sanaSi ndo Wewe uliesema Putin ataumbuka mchana kweupe?
Si Ulisema putin hawez kushinda hii Vita, atachakaa mapema sana.?
Wee si ndo ulishabikia pale mkulima alipoiba kifaru, ukasema Russia wameshindwa?
Kiko wapi Sasa, sahv ndo umejua Vita mbaya?
Hebu tulia Kwanza dawa iingie[emoji4]
Kaka naona huelewi maana ya soko. Kama Urusi (au yeyote) analeta kitu kwenye soko kwa bei nafuu, hata akimwuzia fulani pekee, hata hivyo bidhaa zote za aina hiyo zinaathiriwa, bei itashuka. Hata wale wanaopata bidhaa nafuu sana chini ya kawaida ya sokoni wana nafasi ya kununua zaidi kuliko wanavyohitaji na kuiuza kwa faida. Tokeo: kiwango cha bei kwa bidhaa husika kwenye soko litashuka.Kwangu nimetoa mfano wa chuma lakin, urus anasambaza raw material kibao ulaya na almost ulaya 29 ya gesi . Kuna nchi kama poland na finland zinategemea almost zaid ya 60 percent ya gesi kuzungusha mitambo yao.
Na kama kweli 1/25 ya chuma inatoka ulaya basi bei isingeweza panda zaid ya mara mbili.
Mfano leo usa ambaye anaimport karibia 8% ya gesi na mafuta lakin bei imeshoot karibia mara mbili it means kwamba hakuna alternative kwa miezi ya karibu.
Tukija kwenye ishu ya chakula urusi na ukreini wanasambaza karibia 30% ya ngano dunian wakimpiga block atauza sehem nyingine kwa bei ya chini huku ulaya chakula kikipanda . Na chakula na nishati ya umeme ikipanda tegemea karibia kila kitu mpaka mbunye kupanda maana source ya kununua bidhaa hizo itakuwa ya kugombania.
Lakin kwa urus wakigoma bado ataweza kuuza sehem kama india na kwa bei chin maana jua kwamba gesi ya urusi ni the cheapest o
Ingawa hatufurahii Raia kufa kwasabab ya viongozi wao... Upatikane mbadala tu.Katika kosa kubwa la kivita alilofanya zelensky ni
1. Kugawa silaha ovyo kwa raia wake wote 16yrs-60yrs wapigane na wanajeshi wa Urusi kwny hii Vita.
2. Kuruhusu raia wake wote waondoke maeneo ya makazi ktk miji yote ktk wkt huu wa Vita (humanitarian corridor).
Hahahahahah ni kipigo tu😅Mtashindwa tu na hicho ki Z chenu kinamaanisha ZERO.
Haya sasa Vladimir Putin kapigwa na kitu kizito tena. Kwa kasi hii Uchumi wa Urusi lazima kuporomoka.