LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
In Kamchatka, paragliders supported a special operation in Ukraine with a flash mob.

They flew with the flag of their region, on which the letter Z was depicted.
IMG_20220313_112405_237.jpg
 
Ukraine Reporters reported that a Ukrainian farmer was able to hijack a Russian military aircraft and even shared a photo on his Twitter.

The news turned out to be fake.

The photo with a tractor driven by a MiG-21 was taken back in 2011 in Zagreb. Then the military aircraft had to be transported to the exhibition in honor of the 20th anniversary of the formation of the Croatian Armed Forces.

The same investigation was conducted by Reuters. The publication also recognized the tweet as a fake. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Walipaswa wamsaidie kivita Kama mwanzo walivyoahidi wkt bado Russia Yuko mpakani.

Sahv mwenzo anapigika wao wanaweka vikwazo tu, huu Ni unafiki uliopitiliza.
Urusi ilijipanga kufanya hiki anaachokifanya muda mrefu, Putin anajua kabisa hawawezi kutia pua zao pale wataishia kwenye sanctions tu.

Wangekuwa smart enough wange mshaauri Rais wa Ukraine kuondoka nchini mapema kabla ya uharibifu mkubwa.

Shida nyingine huyu Comedian hatumii akili yake vizuri, Anakua wazi kabisa hii vita hata shinda hata Yesu arudi na nchi itaharibika, huko mbele tunakuja kuiona Ukraine ikiwa nchi iliyopoteza mvuto kwasababu ya ujinga wa mtu mmoja asiye na akili nzuri ya kufikiri.
 
Katika kosa kubwa la kivita alilofanya zelensky ni

1. Kugawa silaha ovyo kwa raia wake wote 16yrs-60yrs wapigane na wanajeshi wa Urusi kwny hii Vita.

2. Kuruhusu raia wake wote waondoke maeneo ya makazi ktk miji yote ktk wkt huu wa Vita (humanitarian corridor).
Wewe umeshawahi kupigana vita ipi??.Waafrika sisi MUNGU atuhurumie tu.Tunavyojadili ishu za wenzetu ni kana kwamba tunajua sana au tuna uzoefu sana na mambo hayo, Kumbe dah!!!,La haula.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati USA na washirika wake wakizitandika Iraq, Afghanistan,Libya, palestina na kugeuzs mini Yao magofu

Sikuwai kabisa kuona comment yako Kama hii?

Au umeokoka juz tu mkuu baada ya Vita hii ya Ukraine[emoji4]
View attachment 2148691
Hapo nilipiga kelele tu kipindi kile yule Mpuuzi Marekani na wehu wenzake walivyomvamia Libya, kwasababu tu Libya ni Waafrika wenzangu.Lkn hayo ma nchi mengine sikuwa na time nayo.
 
The meaning of URGE is to present, advocate, or demand earnestly or pressingly.

Hawajaomba, wamemtaka asitishe vita na atumie mazungumzo. Unaleta source halafu unaitafisiri tofauti kwa namna unavyopendelea iwe. Ni vizuri kuweka tafsiri halisi katika uhalisia wake.
We wajua maana ya neno 'appeal' kama lilivyotumika ktk source niliyoiweka? (tazama screenshot ya kwanza hapo chini)

Maana ya appeal ni kuomba angalia tafsiri yake kwa mujibu wa kamusi (screenshot ya 2)

Halafu lete tafsiri yako unayoipenda ya maneno niliyoyapigia mstari

Screenshot_20220313-112754_Chrome.jpg


SmartSelect_20220313-112433_Chrome.jpg
 
Biden ni rais dhaifu mno anakimbilia vikwazo afu anashinikiza kila nchi zimpe russia sanctions. Kama Chelsea watashindwa endelea kucheza soka kuna uwezekano tim zingine zikagoma kuendelea na EPL tusubiri muda utafika.

Wanaweka vikwazo mpaka wanajiwekea na wao wenyewe pia[emoji28][emoji28]
Vikwazo vina backfire😅 unamuwekea kikwazo Urusi nae anamuwekea kikwazo mshirika wako😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana kila mda nasema wanasiasa ni watu wa hovyo sana [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Ogopa kufanyiwa maamuzi na 70+yrs Old [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijamaa vinajua vinakaribia kufa haviwazi kabisa maisha y baadae....

Uchanganuzi ka huo uloweka ni kwa watu walokomaa akili tu big Up kwa kuliona hilo nimeongeza kitu apo...

Hivi vitoto vina mahaba sana ngoja tuvikaushie tu viendelee kujifurahisha....
Kwahio uendelee kuburuzwa kama mbwa kwa sababu gani yani! Putin ni mwanaume wa shoka halina ubishi!
Ubabe wa US ufikie mwisho
 
Rais wa Ukraine aikubali Russia kuwa kuwa ni hatari zaidi kuliko hata North Korea.

Anasema makombora wanayoshusha Russia nchini Ukraine ni balaa tupu

Mwambieni amalizane kwanza na Putin (Russia), asitafute kuanzisha ugomvi mwingine mpya na Kim wa North Korea

SmartSelect_20220313-113809_Chrome.jpg
 
Safi sana....maslahi ya nchi kwanza
Uzuri , Venezuela atapanga bei bila kutumia kipimo cha dola. Na hiyo hela atampa Russia kumalizia deni.

Tena yawezekana, Russia ndiyo kamuagiza US apeleke hela huko Venezuela kulipa faini ya kumsababishia usumbufu wa kudemilitarise na ku denazify Ukraine.

Hivi vikwazo, vinawatafuna kweli. Kutoka Oslo kwenda Hanoi bei ya tiketi ya ndege imepanda zaidi ya 150%. Hii ni baada ya Ulaya kuzuia airspace yao kwa Russia na Russia kujibu mapigo.
Halafu mtu anarukaruka kama kitenisi kikuu eti nimeweka vikwazo Russia vya kumtoa kwenye reli
===
Povu ruksa kwa watakao ghadhabika na bandiko hili.
 
Si ndo Wewe uliesema Putin ataumbuka mchana kweupe?

Si Ulisema putin hawez kushinda hii Vita, atachakaa mapema sana.?

Wee si ndo ulishabikia pale mkulima alipoiba kifaru, ukasema Russia wameshindwa?

Kiko wapi Sasa, sahv ndo umejua Vita mbaya?

Hebu tulia Kwanza dawa iingie[emoji4]
Ile story ya mkulima kuiba kifaru inachekesha sana
 
Kwangu nimetoa mfano wa chuma lakin, urus anasambaza raw material kibao ulaya na almost ulaya 29 ya gesi . Kuna nchi kama poland na finland zinategemea almost zaid ya 60 percent ya gesi kuzungusha mitambo yao.
Na kama kweli 1/25 ya chuma inatoka ulaya basi bei isingeweza panda zaid ya mara mbili.
Mfano leo usa ambaye anaimport karibia 8% ya gesi na mafuta lakin bei imeshoot karibia mara mbili it means kwamba hakuna alternative kwa miezi ya karibu.
Tukija kwenye ishu ya chakula urusi na ukreini wanasambaza karibia 30% ya ngano dunian wakimpiga block atauza sehem nyingine kwa bei ya chini huku ulaya chakula kikipanda . Na chakula na nishati ya umeme ikipanda tegemea karibia kila kitu mpaka mbunye kupanda maana source ya kununua bidhaa hizo itakuwa ya kugombania.
Lakin kwa urus wakigoma bado ataweza kuuza sehem kama india na kwa bei chin maana jua kwamba gesi ya urusi ni the cheapest o
Kaka naona huelewi maana ya soko. Kama Urusi (au yeyote) analeta kitu kwenye soko kwa bei nafuu, hata akimwuzia fulani pekee, hata hivyo bidhaa zote za aina hiyo zinaathiriwa, bei itashuka. Hata wale wanaopata bidhaa nafuu sana chini ya kawaida ya sokoni wana nafasi ya kununua zaidi kuliko wanavyohitaji na kuiuza kwa faida. Tokeo: kiwango cha bei kwa bidhaa husika kwenye soko litashuka.
Warusi wanaelewa kanuni hizi pia, hivyo nina uhakika hawatafuata ushauri wako. (isipokuwa wakiwa na rafiki 1, wawili ambao wanahitaji msaada - jinsi Urusi iivyofanya zamani na Kuba)
 
Katika kosa kubwa la kivita alilofanya zelensky ni

1. Kugawa silaha ovyo kwa raia wake wote 16yrs-60yrs wapigane na wanajeshi wa Urusi kwny hii Vita.

2. Kuruhusu raia wake wote waondoke maeneo ya makazi ktk miji yote ktk wkt huu wa Vita (humanitarian corridor).
Ingawa hatufurahii Raia kufa kwasabab ya viongozi wao... Upatikane mbadala tu.

Na ni wakati sasa dunia ione aibu kila "race" ibebwe kwa usawa... Lisiwe kundi flan tunafunika macho kundi lingine tuna nyanyia sauti...

Inapelekea utengano na chuki baadae kundi lingine linapopata matatizo kama hivo.
 
Back
Top Bottom