political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
Yani hii ilishapangwa uyu achomokiAna bwabwaja , asubir FBS[emoji635][emoji1218] waje na data za kumtafuna
'Wewe ni mwanaume'... βkuwa mwanaumeβ,Zele akirudi Kiev ujue kaenda kubeba mabegi yake ya nguo akaanze maisha mapya Hollywood
Hauna akili za kivita kama ni za bei nafuu ujue zinatumika kupoteza siraha za nato...kama drone ya dola10000 ikipigwa na makombora 2 hadi 3 ili kuangushwa na kila kombora ni dola 80000 wewe huoni kitu hapoHizi drone zitakuwa ni bei nafuu sana maana zinashushwa kila siku lakini super pawer hachoki kuzileta [emoji28]
Russians attack Kyiv with Shahed drones, missiles. All targets shot down
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata hawo uliwataja wanayohaki ya kufanya hujuma kwa huyo aliyewafanyia. Zingatia kilichoandikwa.Ni sahihi NATO kuipiga Yugoslavia?
Iyendelezeni hiyo show tuione au toka mwanze hiyo vita hamjaonesha show??kaa kwa kutulia tafuta popcon na koka kola alafu tulia uone show .....
Kwani wewe kueleza ukweli wako tukausoma kuna shida yoyote?Uongoo,wewe jamaa ni mnafiki sana,hii inajulikana;
Wewe ni muongo muongo hivi,unajifanya unajua ila hujui lolote,isipokua uongo;
Wengi humu wanakoment kama wako front line ya vita wanapanga wamuue.Mkuu si rahisi Zelensky kuuwawa,nitakukumbusha wakati muafaka(maybe after 1 month)
Ha ha haa.Kwa kweli mimi nilivosikia kuhusu hili shambulio nilifurahi sana maana nikajua sababu ishapatikana, dk kadhaaa mara nasikia MH raisi yupo Finland kwa safari ya dharula kawaachia msala vichwa maji wenzie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndo keshatoswa hivyo.Mbona kama wanamkimbia????. ππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Zele akirudi Kiev ujue kaenda kubeba mabegi yake ya nguo akaanze maisha mapya Hollywood
Aisee!Mbuzi kafia kwa muuza supu[emoji28][emoji28][emoji28]
It is not me, I swear! We don't have weapons to defend our villages!! What drones attack? Me? Nooo.
Ni maneno ya raisi wa Ukraine akipinga kuhusika na shambulio la drone dhidi ya Kremlin. [emoji3]
Mbuzi kafia kwa muuza supu[emoji28][emoji28][emoji28]
It is not me, I swear! We don't have weapons to defend our villages!! What drones attack? Me? Nooo.
Ni maneno ya raisi wa Ukraine akipinga kuhusika na shambulio la drone dhidi ya Kremlin. [emoji3]
Vyovyote vile,lkn sisi tayari tumeshapata sababu ya kula kichwaππππKusema drone kutoka ukraine hadi moscow sio rahisi itakua imetoka ndani ya urussi
Hata Mimi hua namuonea huruma sana kusema kweli.Sometime uwa namuonea huruma zelensky, nafikiri akitafakali peke ake chumbani uwajiraumu kwann akukubali kukaa mezani kabla ya uvamizi, watu wake wanakufa, nchi inarudi nyuma, uchumi unakufa, hata uo urais wake sidhani kama anaufurahia