kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hao,au hawo? Jifunze kuandika kwanzaHata hawo uliwataja wanayohaki ya kufanya hujuma kwa huyo aliyewafanyia. Zingatia kilichoandikwa.
Mwendo wa piga nikupige[emoji28]Kuna refinery imepigwa huko
DogooUrusi wana silaha moja inaitwa UMUKHONTO WESIZWE
Zelensky anafahamu kuwa ikija zamu yake hatapona ndo maana ajificha nyuma ya kuvuli cha NATO.President Volodymyr Zelensky landed in the Netherlands late on May 3, reported NOS news organization.
According to the media, Zelensky is expected to give a speech in The Hague titled “No peace without justice” and visit the International Criminal Court. He will also meet with Dutch Prime Minister Mark Rutte, according to the ANP news agency.
Learn more: Media: Zelensky lands in Netherlands
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona nimejibu vizuri tu kuwa analyisis aliyofanya inaweza kuwa sahihi kabisa ila oficial report itabaki kuwa Zele kakanusha uhusika?Mwamba mbona unajifanya hujui wakati unajua?
Kusema hahusiki inaweza kua ni baada ya kuona athari za kitakachotokea baada ya tukio hilo.
Hivi kwani ni kweli Kila kinachokanushwa kwenye vita ni kweli.
Hebu kumbuka,ni nani aliepiga kombora Poland?Ukraine alisema Urusi,lkn Poland na USA walimkemea Ukraine.
Mapaka Leo hatujui ni nani aliepiga bomu Poland.
Je ni nani alielipua NS2?
USA kakanusha,uka kakanusha Ukraine kakannusha.mpaka Leo hatujui.
Kwa hiyo Kuna Majini au alliens ndio wanafanya hayo?
Jibu unalo Mkuu.
Kwa kifupi ni kwamba sababu zinazowafanya Ukraine wakatae kuhusika na drone Kremlin,ndo hizo hizo zinazowafanya wahusika wote(yoyote aliehusika) wakatae kuhusika na bomu la poland na Ulipuaji wa ND2.
Sababu ni Majibu toka Moscow.
Watu walishamsoma Putin kwamba ni mtu wa mikwara tu, hivyo hawatishiki Tena,Sasa hivi ni mwendo wa kujipigia tu popote pale,Zelensky anafahamu kuwa ikija zamu yake hatapona ndo maana ajificha nyuma ya kuvuli cha NATO.
NATO na Marekani walitaka Russia akurupuke ajibu mapigo makali lakini bado Russia apiga mahesabu uzuri.
Jumatatu ni sherehe za kuwazima wanazi, hivyo lolote laweza kutokea siku chache sijazo.
Zelensky aendelee kujificha nyuma ya kivuli cha nchi za NATO.
Na huenda ni kweli zelensiky kahusika, lakini Kwa kuwa amekanusha tayari hili suala limeshachukua mwelekeo mwingine!Mkuu mbona nimejibu vizuri tu kuwa analyisis aliyofanya inaweza kuwa sahihi kabisa ila oficial report itabaki kuwa Zele kakanusha uhusika?
Hakuna sehemu nimesema kuwa Zele kukanusha uhusika kunabatilisha analysis alizotoa na unazotoa hapa ila zinabaki kuwa analyisis. Oficial report inabaki kuwa Zele kakanusha uhusika na kama ni kweli hajausika yupo sawa.