DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Apo mikojo inamtoka uko aliko[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1218][emoji119]
Apo mikojo inamtoka uko aliko[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1218][emoji119]
Mwenzako zele kakana kutuma drone[emoji38]Hilo shambulizi la drone ni kionjo tu,subirini kichapo kamili,hapa zelensiky bado anamuandaa Dem kabla ya kuanza kumpelekea moto rasmi, Hivyo tulieni hivyo hivyo [emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi wana silaha moja inaitwa UMUKHONTO WESIZWE
Niwe mkweli aliyelipua NS2 mm namjua namtaja kwa kifupi ni STEVE... WASSIR..Mwamba mbona unajifanya hujui wakati unajua?
Kusema hahusiki inaweza kua ni baada ya kuona athari za kitakachotokea baada ya tukio hilo.
Hivi kwani ni kweli Kila kinachokanushwa kwenye vita ni kweli.
Hebu kumbuka,ni nani aliepiga kombora Poland?Ukraine alisema Urusi,lkn Poland na USA walimkemea Ukraine.
Mapaka Leo hatujui ni nani aliepiga bomu Poland.
Je ni nani alielipua NS2?
USA kakanusha,uka kakanusha Ukraine kakannusha.mpaka Leo hatujui.
Kwa hiyo Kuna Majini au alliens ndio wanafanya hayo?
Jibu unalo Mkuu.
Kwa kifupi ni kwamba sababu zinazowafanya Ukraine wakatae kuhusika na drone Kremlin,ndo hizo hizo zinazowafanya wahusika wote(yoyote aliehusika) wakatae kuhusika na bomu la poland na Ulipuaji wa ND2.
Sababu ni Majibu toka Moscow.
Construction of a kindergarten completed in Mariupol
View attachment 2609661
mkuu ungekuwaga unatumia kichwa kufikiri ungekuwa umefika mbali sana....Watu walishamsoma Putin kwamba ni mtu wa mikwara tu, hivyo hawatishiki Tena,Sasa hivi ni mwendo wa kujipigia tu popote pale,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawana uwezo wa kumpeleka Putin hukoUkraine's position is very clear: to create a tribunal to hold Russia accountable for all crimes, including murders and torture
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
UkrainKATI YA TANZANIA NA UKRAINE IPI NI NCHI KUBWA KIENEO ?
Kaacha msaraArudi aongoze mapambano,
nchi kamwachia Nani?
Huyu SI ndo alkua anazurula bakmut juzi juzi apa[emoji1787]
Atarudi tu kidadeki zakeKaenda uholanzi ngoja tusubiri kikao kwanza.