kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nakazia š„±š„±Kuna refinery imepigwa huko
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nakazia š„±š„±Kuna refinery imepigwa huko
Kama hawatishiki waendelee na mipango yao.Watu walishamsoma Putin kwamba ni mtu wa mikwara tu, hivyo hawatishiki Tena,Sasa hivi ni mwendo wa kujipigia tu popote pale,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kweli boss. Ni kama kesi ambayo mshtakiwa kakana mashtaka, hata kama inaonekana ana hatia tayari mwenendo wa kesi unabadilika.Na huenda ni kweli zelensiky kahusika, lakini Kwa kuwa amekanusha tayari hili suala limeshachukua mwelekeo mwingine!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Shuuli bado ni mbichi, US kumwaga zaidi ya Tshs Billion 690 kwa Ukraine,
US rumored to send $300 million in military aid to Kyiv
US officials said on Tuesday night that the United States has agreed to send Ukraine about $300 million in additional military aid, including ammunition.
The new package by the US will include Hydra-70 rockets, which are unguided rockets fired from aircraft and an undisclosed number of missiles for HIMARS,
Nani kakudanganya?
Rudi shuleUnazijua billion 690 wewe?? Karibu nusu ya uchumi wa US,
Unazijua billion 690 wewe?? Karibu nusu na robo ya budget ya jeshi US,
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji817][emoji817][emoji106]Kweli boss. Ni kama kesi ambayo mshtakiwa kakana mashtaka, hata kama inaonekana ana hatia tayari mwenendo wa kesi unabadilika.
Hv jamaa hizi tour zake huko ugenin au bi Mkubwa wetu akiwa ugenin huwa anajilipia malazi au wenyej wake huwa wanamsponsaHuko Holland kajamaa kanakataliwa[emoji1787][emoji1787]
The leader of the Dutch party did not want to meet with Zelensky
Caroline van der Plas openly expressed dissatisfaction with the visit of the President of Ukraine to The Hague and shamed the authorities of the Netherlands.
May Fourth is the day we remember our victims of the war. Today it should be the main event. Not Zelensky. I think his visit now is absolutely inappropriate. Earlier this week, I informed the Chairman of the Chamber that I would not go to a meeting with Zelensky,ā the MP wrote
View attachment 2609664
Yaani Kuna ndezi wengine[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unazijua billion 690 wewe?? Karibu nusu ya uchumi wa US,
Toa ufafanuzi.Vitu vinazidi kupukuchuliwa [emoji28]View attachment 2609553
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Basi mkuuu,nimekuelewa,nilitaka kudhani hujui wakati sisi wote humu tunaujua vizuri sana uwezo wako wa kuelewa mambo.š¤š¤š¤š¤Mkuu mbona nimejibu vizuri tu kuwa analyisis aliyofanya inaweza kuwa sahihi kabisa ila oficial report itabaki kuwa Zele kakanusha uhusika?
Hakuna sehemu nimesema kuwa Zele kukanusha uhusika kunabatilisha analysis alizotoa na unazotoa hapa ila zinabaki kuwa analyisis. Oficial report inabaki kuwa Zele kakanusha uhusika na kama ni kweli hajausika yupo sawa.
Najua sana itokezee tu makosa ya kawaida.Hao,au hawo? Jifunze kuandika kwanza
Super pawer anazidi kubana matumizi [emoji116][emoji116][emoji116]Huko Holland kajamaa kanakataliwa[emoji1787][emoji1787]