Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe jamaa fix sana.
Yaani upo huku Manzese, halafu eti unajua kwa undani President Putin anapolala.

Au uwaga mnalala pamoja...
 
Wewe jamaa fix sana.
Yaani upo huku Manzese, halafu eti unajua kwa undani President Putin anapolala.

Au uwaga mnalala pamoja...
Inabidi uolewe na mwanaume mwenye akili angalau m-dilute la sivyo utatumia hela nyingi sana za tuition ya watoto wako. Makazi ya Rais sio siri, na Rais halali ofisini kama nyinyi mafundi cherehani.

Tena Putin ana villas za kufanya retreat kama kule Sochi na ana dachas zake kadhaa. Usidhani analala sehemu ina msongamano na imebaba kama nyinyi mnaolala na masufuria chumbani.
Putin anaenda kuwinda, anapanda farasi, anaendesha gari, anaogelea. Kremlin pale ni ofisi na karibia kila kiongozi wa Soviet Union alikuwa na makazi yake nje kidogo ya mji.
 
Sio kweli,hapo Kuna kitu Mrusi anataka kufanya ndani ya ukreni anatafuta justification.drone haiwez toka mbali kwote isionekane.Tuache ushabiki tusubiri Nini kitatokea
Hapo pia umewaza nje ya uhalisia mwamba, Hizo sabotage zinafanyika na watuhumiwa wakiwa karibu na eneo lengwa. Hizo drone ni vidogo vidogo havina uwezo wa kusafiri masafa marefu kama Bayraktar za mturuki au zile Arash-2 za muajemi.

Kinachofanyika ni sawa na hapo kwenu TZ, ajiingize mtu ama kikundi chenye uadui na Mama. Kisha kijipenyeze hadi pale kivukoni karibu na Ikulu ya Magogoni. Then kivizie mda ambao watu wamepungua specially nyakati za usiku kama tukio la Kremlin lilivyofanyika.

Then wana lunch their drones kuelekea ndani ya ikulu meanwhile wanakua in range ya kuweza kuicontrol kufika target waliyoitarajia. Huo ndio mfano wa kile kilochotokea hapo Kremlin.

So kusema haiwezekani naona ni kutokuelewa inawezaje kutokea au inafanyikaje.
 
Kremlin ni ofisi na makazi rasmi ya Rais wa Russia. Anaishi na kufanya kazi hapo. Ingawa pia ana makazi rasmi mengine zaidi ya 5. Lakini Kremlin ndipo number 1.

Hizi information ni Public na zipo hata kwenye Google. Punguza janja janja na uhongo.

Punyeto haijawahi kukuacha salama.
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]



Ukraine's defense forces on Thursday repelled about 50 enemy attacks in the Lyman, Bakhmut and Marinka sectors, according to the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli mimi nilivosikia kuhusu hili shambulio nilifurahi sana maana nikajua sababu ishapatikana, dk kadhaaa mara nasikia MH raisi yupo Finland kwa safari ya dharula kawaachia msala vichwa maji wenzie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tunamsubiria arudi lazma nae achezee Khinzal missiles 🤣 hata akijificha uvunguni atang'oka tu
 
Kummmke msng kashambwanda 🤣🤣🤣 kaamua akimbie show akajifiche Finland ila akae akijua kwamba akitua tu Kyiev tumemuandalia zawadi kabambe.
 
Warussi wa buza kuna ujumbe wenu uku toka kwa Yevgeny Prigozhin
 

Attachments

  • 20230505_071702.jpg
    44.1 KB · Views: 25
  • 20230505_071726.jpg
    42.7 KB · Views: 25
  • 20230505_071746.jpg
    48.4 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…