NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Kifo cha panzi furaha kwa kunguru.Naam na kuna maelezo apo mengine hayapo ambapo alisema angekuwa yeye angemtishia kufungia mazima Oil Imports ya Mrusi....
Na kuna sehem nyingine anajinadi kua wakati wake hakukuwa na vita kwasabab ya "Personality" yake.
Kuna mda anazungumza unamwelewa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af kuna mengine anaongezea kiharakati za kikampeni [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Hapana mkuu. Kuliko kuombea vita vya nuklia hata kama huna cha kupoteza bora muungane ufoji nyaraka, ushirikiane na watu wa bank ukakope bank kisha mkimbie. Huko utakapoenda tubu usamehewe uishi kwa amani, uliowaibia watatafuta nyingine na bima itawalipa as long as mazingira ya biashara duniani ni mazuri. Vita vitakuongezea tu stress na kuzidi kuona huna cha kupoteza.Mkuu vita haina macho unajua😅 sema mi naona wadundane manyuklia tu ili Africa tupate akili ya kujitegemea maana tumelemazwa na misaada ya US
Tayari wameshayatatua bila nyembeMeya aachiwa bila Marinda - CNN
Idadi ya watu waliokufa kwenye shambulio hilo la Ngome ya kijeshi ya Ukraine karibu na mpaka wa Poland imetangazwa upya kuwa ni watu 20 hadi sasa, na watu 57 wamejeruhiwa vibaya.Watu 9 wauawa baada ya majeshi ya Russia kuishambulia ngome kubwa ya kijeshi ya Ukraine ambayo hutumika kufanya mazoezi ya pamoja ya kivita kati ya Ukraine na majeshi ya NATO (Mwezi jana tu wajuba wa NATO walikuwa wakijichua hapo, tazama Picha hapo chini).
Mashambulizi hayo yamejiri siku moja baada ya Putin kuonya kuwa misafara ya misaada ya silaha toka Marekani na NATO kwenda Ukraine itakuwa ni kitoweo chake (ataishambulia)
View attachment 2148776
View attachment 2148777
Mwanzoni alisema kuhusu yoyote atakayeingilia vita atakiona cha moto, sasa kahamia kushambulia silaha badala ya kumshughulikia taifa linazozituma??Putin kasema kuwa misafara itayopeleka silaha nchini Ukraine ni halali yake a.k.a. ataishambulia kama anavyoshambulia ngome za jeshi la Ukraine [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ninachompendea huyu mwamba huwa anasimamia anachokiongea
Ukraine war: Russia can only take Kyiv if it 'razes it to the ground', President Volodymyr Zelenskyy says
In his latest speech, the Ukrainian leader hinted that future peace talks with Russia could take place in Jerusalem. He also took aim at NATO, saying the alliance has lacked "bravery" in its response to Putin's invasion.news.sky.com
Ukiona Zelensky katoka kwenye Vyombo vya habari ujue kuna kipigo kizito kimetokea, Week nzima alikuwa kimya kwa sababu ya ceasefire ili kupisha humanitarian corridorsZelensky akiri huku akisikitika kuwa Ukraine italazimika kulipia misaada yote ya kiutu na silaha inayopokea toka kwa nchi za kimagharibi. Anasema kila kitu kina gharama yake, hakuna buree.
=======
View attachment 2148822
"The money allocated by Europe and other nations is spent only on humanitarian aid or weapons. Sometimes we receive weapons directly, but you have to understand that everything has its price," he claimed.
Zelensky added that "whenever the money that we get is mentioned - well, it all came at a cost, it’s not for free."
Zelensky confesses Ukraine will have to pay for Western aid
“Sometimes we receive weapons directly, but you have to understand that everything has its price," Ukrainian President Volodymyr Zelensky says.english.almayadeen.net
Mwambie huyoJamaa unaonekana kama unataka kulia mtoto wa kiume jikaze. Huu mchezo hauhitaji hasira ni akili tu.
Hayo ndio mazoezi halisiWanajeshi wa Urusi waliotekwa Ukraine Wanasema ,"Tuliambiwa tunakwenda kwenye Mazoezi ya kijeshi,tumejikuta Ukraine"!!!
We came to the exercises, ended up in Ukraine..They all say that starting to get old real fast
https://www.facebook.com/
This is 7 years ago news.
Kwani nani kaingilia hadi sasa?Mwanzoni alisema kuhusu yoyote atakayeingilia vita atakiona cha moto, sasa kahamia kushambulia silaha badala ya kumshughulikia taifa linazozituma??
Kaka unajaribu kufanya mizaha kuhusu mambo ambayo huelewi.Kuna mtu anataka lile tsar bomb litue pale los angeles au Washington? Au litue pale paris au london??[emoji28][emoji28].
Unakumbuka ule mzozo wa kiduku na trump kiduku alisema yeye hana cha kupoteza atatuma kombora mji maarufu pale US uliona raia walivoanza kureact??[emoji28][emoji28]
Wasoviet wababe sana hawajaangalia sura wamewachimbua kwenye ma bunkerWaziri wa Ulinzi wa Ukraine anasema walimu wa jeshi toka nchi za nje walikuwa bado wanafanya shughuli zao kwenye Ngome ya kijeshi ya Ukraine iliyoshambuliwa na makombora manane tu ya Russia leo hii huko karibu na mpaka wa Poland. Wariri huyo anasema wanaendelea kufatilia kama walimu hao wa kijeshi toka nchi za nje walikuwemo ktk ngome hiyo kipindi ikishambuli.
Aisee, inawezekana Putin kupitia shambulizi hili akatuma vilio kwa Marekani na NATO maana hao ndio walikuwa wakiendesha mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Ukraine ktk ngome hiyo.
View attachment 2148796
View attachment 2148797
View attachment 2148798
Kwahiyo BBC wamesaliti??
Hao hao BBC wakileta habari ingine yenye maumivu kwa wapenz wa puttin muwe wavumilivu kidogo
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hahahaha unamchagulia PA kupiga Malaya Kala hela na staili achague yeye naniMwanzoni alisema kuhusu yoyote atakayeingilia vita atakiona cha moto, sasa kahamia kushambulia silaha badala ya kumshughulikia taifa linazozituma??
Lini hiyo niliposema hivyo??.Huo muda mchafu wa kuanza kuhangaika na kujadili hbr za wazungu nitautoa wapi??.