LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Naam na kuna maelezo apo mengine hayapo ambapo alisema angekuwa yeye angemtishia kufungia mazima Oil Imports ya Mrusi....

Na kuna sehem nyingine anajinadi kua wakati wake hakukuwa na vita kwasabab ya "Personality" yake.

Kuna mda anazungumza unamwelewa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af kuna mengine anaongezea kiharakati za kikampeni [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Kifo cha panzi furaha kwa kunguru.
 
“About Zelensky among the people, many ... not only here ... the only discussion is: hang or shoot?”

The People's Militia of the DPR publishes a video with a Ukrainian soldier of the 46th "Donbass" battalion unit, who voluntarily laid down his arms.

He told how the command “forgot” him and what he thinks about the authorities: “At night they accidentally got through: “Sorry, we forgot you, get out, get out.”

He also said that the people in the Donbass, if they talk about Zelensky, then only on the topic of how to execute him. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Mkuu vita haina macho unajua😅 sema mi naona wadundane manyuklia tu ili Africa tupate akili ya kujitegemea maana tumelemazwa na misaada ya US
Hapana mkuu. Kuliko kuombea vita vya nuklia hata kama huna cha kupoteza bora muungane ufoji nyaraka, ushirikiane na watu wa bank ukakope bank kisha mkimbie. Huko utakapoenda tubu usamehewe uishi kwa amani, uliowaibia watatafuta nyingine na bima itawalipa as long as mazingira ya biashara duniani ni mazuri. Vita vitakuongezea tu stress na kuzidi kuona huna cha kupoteza.
 
In the Ukrainian Telegram channels, another fake is being posted, allegedly with the bodies of dead Russian soldiers, from which the letter Z is laid out.

According to @warfakes, the photo shows mannequins. At the same time, it can be seen with the naked eye that this is a poorly made phototoad - the image of the “body” was simply multiplied in a graphics editor.

The original source has already deleted the post.
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Wanajeshi wa Urusi waliotekwa Ukraine Wanasema ,"Tuliambiwa tunakwenda kwenye Mazoezi ya kijeshi,tumejikuta Ukraine"!!!
We came to the exercises, ended up in Ukraine..They all say that starting to get old real fast

 
Watu 9 wauawa baada ya majeshi ya Russia kuishambulia ngome kubwa ya kijeshi ya Ukraine ambayo hutumika kufanya mazoezi ya pamoja ya kivita kati ya Ukraine na majeshi ya NATO (Mwezi jana tu wajuba wa NATO walikuwa wakijichua hapo, tazama Picha hapo chini).

Mashambulizi hayo yamejiri siku moja baada ya Putin kuonya kuwa misafara ya misaada ya silaha toka Marekani na NATO kwenda Ukraine itakuwa ni kitoweo chake (ataishambulia)

View attachment 2148776
View attachment 2148777
Idadi ya watu waliokufa kwenye shambulio hilo la Ngome ya kijeshi ya Ukraine karibu na mpaka wa Poland imetangazwa upya kuwa ni watu 20 hadi sasa, na watu 57 wamejeruhiwa vibaya.

Na kwa mujibu wa Reuters, Russia ilishambulia ngome hiyo kwa maroketi 30 🙊🙊🙊🙊

Mwambieni Putin apunguze, maroketi 30 yote ya nini ?! Utafikiri anaua nyoka!


SmartSelect_20220313-124615_Chrome.jpg


 
Putin kasema kuwa misafara itayopeleka silaha nchini Ukraine ni halali yake a.k.a. ataishambulia kama anavyoshambulia ngome za jeshi la Ukraine [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Ninachompendea huyu mwamba huwa anasimamia anachokiongea

Mwanzoni alisema kuhusu yoyote atakayeingilia vita atakiona cha moto, sasa kahamia kushambulia silaha badala ya kumshughulikia taifa linazozituma??
 
Zelensky akiri huku akisikitika kuwa Ukraine italazimika kulipia misaada yote ya kiutu na silaha inayopokea toka kwa nchi za kimagharibi. Anasema kila kitu kina gharama yake, hakuna buree.

=======

View attachment 2148822

"The money allocated by Europe and other nations is spent only on humanitarian aid or weapons. Sometimes we receive weapons directly, but you have to understand that everything has its price," he claimed.

Zelensky added that "whenever the money that we get is mentioned - well, it all came at a cost, it’s not for free."

Ukiona Zelensky katoka kwenye Vyombo vya habari ujue kuna kipigo kizito kimetokea, Week nzima alikuwa kimya kwa sababu ya ceasefire ili kupisha humanitarian corridors
 
These are the British NLAW anti-tank systems and the Polish VOG-25 militants of the national battalions used when they fired from the windows of the hospital in Volnovakha.

There were 500 civilians in the building at the time, of which at least six were killed. The count of victims is still underway, a criminal case has been initiated.

What weapons are supplied to the Armed Forces of Ukraine by their foreign partners, shows Yan Gagin, adviser to the chairman of the government of the DPR.
 
Kuna mtu anataka lile tsar bomb litue pale los angeles au Washington? Au litue pale paris au london??[emoji28][emoji28].

Unakumbuka ule mzozo wa kiduku na trump kiduku alisema yeye hana cha kupoteza atatuma kombora mji maarufu pale US uliona raia walivoanza kureact??[emoji28][emoji28]
Kaka unajaribu kufanya mizaha kuhusu mambo ambayo huelewi.
Unajaribu kufanya mzaha kuhusu vita ya nyuklia. Je unajua kama ingetokea, wewe utakufa pia?
Umewahi kukdiria idadi ya silaha za nyuklia zinazopatikana pande zote?? Urusi hapa, Nato (MArekani, Uingereza, Ufaransa) pia?
Umewahi kujifunza kidogo kuhusu mifumo inayoandaliwa tangu miaka 60 jinsi ya kutumia silaha hizo na kujibu kama upande mwingine unaanza kuzitumia?
Umewahi kutumia punje ya akili yako matokeo yatakuwaje?
Neno la "nuclear winter" umewahi kusikia??
Basi endelea na mizaha yako ya kitoto.
 
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine anasema walimu wa jeshi toka nchi za nje walikuwa bado wanafanya shughuli zao kwenye Ngome ya kijeshi ya Ukraine iliyoshambuliwa na makombora manane tu ya Russia leo hii huko karibu na mpaka wa Poland. Wariri huyo anasema wanaendelea kufatilia kama walimu hao wa kijeshi toka nchi za nje walikuwemo ktk ngome hiyo kipindi ikishambuli.

Aisee, inawezekana Putin kupitia shambulizi hili akatuma vilio kwa Marekani na NATO maana hao ndio walikuwa wakiendesha mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Ukraine ktk ngome hiyo.


View attachment 2148796

View attachment 2148797

View attachment 2148798
Wasoviet wababe sana hawajaangalia sura wamewachimbua kwenye ma bunker
 
Back
Top Bottom