kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mambo ya Dini ndiyo muhimu kuliko yote,ila🙏.OK BOSS, NITAKUJIBU MARA MOJA ILI TUSIHARIBU MADA KWA MAMBO YA DINI.
Sasa hili fungu uliloleta tafsiri yake ni kuwa kuna kusagwa meno kwa asiyeamini MUNGU au ni mawazo yako ndo yamelitafsiri hivyo?
Mbona ni fungu la kutoa elimu ya kijamii na lipo wazi sana kulihusisha na MUNGU kusaga watu meno? Kwamba unaweza fanya jambo ukiamini ni sahihi ila likakuketea madhara hivyo umakini unahitajika kabla ya kuchagua njia ya kupita.
HUYU MBONA BIBLIA HAISEMI KUWA ATASAGWA MENO KWA KUTOAMINI YESU YUPO HAI MPAKA AMUONE?
Yohana 20:24-25
24 Tomaso, aliyeitwa Pacha, hakuwepo wakati Yesu aliwatokea wanafunzi wenzake. 25 Kwa hiyo wakamwambia, “Tumemwona Bwana.” Lakini yeye akawaambia, “Sitaamini mpaka nione alama za misumari katika mikono yake na niguse kwa vidole vyangu makovu ya misumari na kuweka mkono wangu ubavuni mwake.”
Kwanini mnambrand MUNGU kama jitu fulani hivi katili kwa wasio upande wenu kiimani.
Kama Tomaso hakuamini mpaka aone inawezekana kuna wema wengi tu ambao hawataamini mpaka watakapokutana na MUNGU.
MKUU, TUSIHARIBU MADA NA MAMBO YA DINI. TUISHIE HAPA.
Okey BossMkuu!Unasema "kutoamini siyo uovu" hii ni kwa mujibu wa utashi wako wewe? Maana Mungu wa dini hizi anamiongozo yake,hivyo asiyeamini kwake ni muovu na adhabu inamsubili!
Upo sawa, ila hapa si si sehumu yake mkuu.Mambo ya Dini ndiyo muhimu kuliko yote,ila🙏.
God is responsible for everything,so kila mahali ni pake.Remembee that you depend on him even for each of your breath,kwa hiyo bila yeye wewe hupo.Acha kiburi cha uzima mkuu.Upo sawa, ila hapa si si sehumu yake mkuu.
Russia hajafanya any significant move na Ukraine hajafanya counterattack. Ingekuwa vizuri wakae wakubaliane kuacha vita maana wanachoshanaHivi Vita vimefikia kwenye 'stalemate' hakuna atayeshinda tena zaidi ya kubadilishana tu udhibiti wa maeneo.
Boss, embu acha kubrand imani kama jambo fulani la kutisha.God is responsible for everything,so kila mahali ni pake.Remembee that you depend on him even for each of your breath,kwa hiyo bila yeye wewe hupo.Acha kiburi cha uzima mkuu.
SahihRussia hajafanya any significant move na Ukraine hajafanya counterattack. Ingekuwa vizuri wakae wakubaliane kuacha vita maana wanachoshana
Hiyo inatisha vipi,si ndio ukweli?! You have to know the truth and work on it.Boss, embu acha kubrand imani kama jambo fulani la kutisha.
Kusema kuwa hapa sio sehemu ya mjadala kuhusu dini hakuna uhusiano na kiburi cha uzima unachotaka kunipachika kuwa ninacho.
Hata MUNGU alitoa siku 6 za kufanya kazi na siku ya ibada, Anafahamu umuhimu wa mpangilio wa wakati na mahali.
Huo sio ukweli ni vitisho. Huwezi sema nina kiburi cha uzima sababu nimesema hapa sio mahala sahihi kujadili kuhusu dini.Hiyo inatisha vipi,si ndio ukweli.You have to know the truth and work on it.
Kutomtaka Mungu asiwepo anywhere ni kiburi cha uzima,kwa kuwa Yeye anataka awepo kila sehemu.Kwa nini umuwekee mipaka?He demands your total allegiance.Huo sio ukweli ni vitisho. Huwezi sema nina kiburi cha uzima sababu nimesema hapa sio mahala sahihi kujadili kuhusu dini.
Hii ni noma.[emoji298]️Japan is in talks to open a NATO liaison office, the first of its kind in Asia, the country’s foreign minister Yoshimasa Hayashi told CNN.
“The reason why we are discussing about this is that since the aggression by Russia to Ukraine. The world has become more unstable,” the minister said.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwamba wewe wajua kuliko wao?Hivi Vita vimefikia kwenye 'stalemate' hakuna atayeshinda tena zaidi ya kubadilishana tu udhibiti wa maeneo.
Inamaana hufahamu tofauti ya kutotaka uwepo wa MUNGU sehemu na kutotaka kujadili dini eneo lisilo sahihi?Kutomtaka Mungu asiwepo anywhere ni kiburi cha uzima,kwa kuwa Yeye anataka awepo kila sehemu.Kwa nini umuwekee mipaka?He demands your total allegiance.