OK BOSS, NGOJA NIJARIBU MAANA SIO LUGHA YETU HII.Tsh :: lugha malkia ngumu hii naomba tafsiri ya kiswahili hapo chini .....
[emoji116][emoji116][emoji116]
The German Chancellor Olaf Scholz addresses the UN General Assembly and humanity with what humanity wants to here:logic,reason and rationality,it is simply mind blowing!One wonders if this is coming from a NATO member at all. It seems Europe is finally coming to terms with reality.It reminds me of Macrons' visit to China.Is Europe finally coming to its' senses?Let's wait and see,but obviously something is brewing.....
These are war strategies.Ukisikiliza hotuba ya Olaf Scholz,the German Chancellor at the UN General Assembly New York(below),utaelewa kwamba Europe sasa wanajutia walichokifanya,and they are beginning to come to terms with reallity.Do you remember Macrons' visit to China,that was not a mistake,it was a well thought foreign policy strategy.Kume kifaru 1 pekee kwenye paredi ya 9 Mei Moscow - tena kifaru cha kizee zaidi kuliko vile vilivyobaki Ukraine . . . . Tena wengi walijiuliza kwa nini walizuia mwaka huu kumbukumbu ya askari waliokufa... Miaka iliyopita wengi walihudhuria waliobeba pich za mababu waliokufa 1941-45 - mwaka huu walihofia kuona picha nyingi za wamajeshi waliokufa sasa Ukraine
Putin’s ‘one-tank’ military parade was an embarrassment for Russia, analysts say
Published Wed, May 10 20235:10 AM ED
- Russia’s scaled-down Victory Day military parade on Tuesday showed not only Russia’s insecurities over possible Ukrainian attacks but also highlighted the country’s depleted military resources, analysts noted.
- May 9 is a public holiday in Russia when it commemorates the Soviet Union’s victory over Nazi Germany in World War II.
- It’s arguably the most important day in Russia’s public calendar and history.
- The appearance of only one Soviet-era tank at Russia’s usually massive military parade raised eyebrows.
![]()
A Soviet T-34 tank, the only tank on display in Russia’s Victory Day parade on May 9, 2023, rolls through Red Square.
Contributor | Getty Images News | Getty Images
Russia’s scaled-down Victory Day military parade showed not only Moscow’s insecurities over possible Ukrainian attacks but also highlighted the country’s depleted military resources due to the conflict, political analysts said.
May 9 is a public holiday in Russia when it commemorates the Soviet Union’s victory over Nazi Germany in World War II. It is arguably the most important day in Russia’s public calendar and history, forming a central part of the country’s modern national identity.
This year’s military parade through Red Square in Moscow and celebrations around the country were noticeably smaller than in previous years or entirely canceled, with six regions (including annexed Crimea) and at least 20 cities halting their commemorations.
In Moscow on Tuesday, the military parade was more downbeat, with no fly-past or “Immortal Regiment” processions — which are usually largescale public events to commemorate those killed in World War II. There were also far fewer troops and military hardware on show than in previous years.
The fact that only one Stalin-era tank was on display in the military parade through Red Square was particularly eye-catching, analysts noted.
“It would be hard to image a more fitting symbol of Russia’s declining military fortunes than the sight of a solitary Stalin-era tank trundling across Red Square during the country’s traditional Victory Day celebrations on May 9,” Peter Dickinson, the editor of the UkraineAlert journal at the Atlantic Council, commented Tuesday.
“For the past two decades, Vladimir Putin has used Victory Day to showcase modern Russia’s resurgence as a military superpower, with dozens of the very latest tanks typically taking part in each annual parade. This year, however, the only tank on display was a T-34 model dating back to World War II.”
mkuu kama wewe ni mchungaji na mhubiri basi jaribu kujiepusha na mashindano yasiyokuwa na maana mwisho wa siku utaambulia matusi na mungu wako atadharauliwa humu ......alafu hili sio jukwaa la dini ...mkuu.........Unamtetetea nini,it is by implication.That is what he implied.Ninyi ni Waarabu wa Pemba,mwajuana kwa vilemba.Unaposema Dini ni ujinga na Dini ndizo zinakiri kwamba there is a God out there,si maana yake hakuna Mungu,mkuu vipi wewe?
ok shukrani ...mkuu.....OK BOSS, NGOJA NIJARIBU MAANA SIO LUGHA YETU HII.
"Inashangaza iwapo jambo hili linatoka kwa mwanachama wa NATO, inaonekana Ulaya katika nyakati za mwisho wanakubaliana na uhalisia. Imenikumbusha Macron alipotembelea China. Je Ulaya wameanza kupatwa na akili? Tusubiri tuone lakini lazima kuna jambo linakuja/litatokea."
Hahaha. Poa mkuu.ok shukrani ...mkuu.....
mi mswahili kutoka uswekeni ....
Mimi siko kwenye mashindano mkuu,niko hapa kuelimisha na kufundisha Neno la MUNGU.Kutukanwa si ajabu,kwa kuwa hata Bwana Yesu alitukanwa,akatemewa mate na hatimaye wakamsulubisha.Yeye ndio kielelezo changu.mkuu kama wewe ni mchungaji na mhubiri basi jaribu kujiepusha na mashindano yasiyokuwa na maana mwisho wa siku utaambulia matusi na mungu wako atadharauliwa humu ......alafu hili sio jukwaa la dini ...mkuu.........
ok sawa ....Mimi siko kwenye mashindano mkuu,niko hapa kuelimisha na kufundisha Neno la MUNGU.Kutukanwa si ajabu,kwa kuwa hata Bwana Yesu alitukanwa,akatemewa mate na hatimaye wakamsulubisha.Yeye ndio kielelezo changu.Amesema Duniani mnayo dhiki,lakini jipeni moyo kwa kuwa Mimi nimeushinda Ulimwengu(Yohana 16:33).Hizo ndizo dhiki zenyewe.Pia amesema katika Luka 9:23
"Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku, anifuate.' Mimi nimejikana kwa ajili ya Kristo,sijali kutukanwa mkuu.
Mkuu kama hujaona impach ya Himars basi kuna mawili hufuatilii vita au unajua ukweli but hutaki kuukubali!
Tokia ziwasili siraha hizi(HIMARS)Ukraine kakomboa 51+% ya ardhi iliyokatekwa na Urusi kwa maeneo yafuatayo;
Khakiv
Izyum na lyman
Kupiasky
Kherson city
Pia ameslowdown speed ya Russia kuteka maeneo mapya hivy kufanya vita kuwa stalemate katika eneo kubwa la frontline(Bhakmut and Avdviidka excluded).
Bila kusahau shambulizi baya kabisa kuwahi kutokea upande wa Urusi January 1 ,2023 ambapo askari 89+ waliuawa (200+ according to Ukraine and Western media)
[emoji41][emoji41][emoji41]Itafika mahali watakosa lakupeleka kabisa
[emoji41][emoji41][emoji41]Kume kifaru 1 pekee kwenye paredi ya 9 Mei Moscow - tena kifaru cha kizee zaidi kuliko vile vilivyobaki Ukraine . . . . Tena wengi walijiuliza kwa nini walizuia mwaka huu kumbukumbu ya askari waliokufa... Miaka iliyopita wengi walihudhuria waliobeba pich za mababu waliokufa 1941-45 - mwaka huu walihofia kuona picha nyingi za wamajeshi waliokufa sasa Ukraine
Putin’s ‘one-tank’ military parade was an embarrassment for Russia, analysts say
Published Wed, May 10 20235:10 AM ED
- Russia’s scaled-down Victory Day military parade on Tuesday showed not only Russia’s insecurities over possible Ukrainian attacks but also highlighted the country’s depleted military resources, analysts noted.
- May 9 is a public holiday in Russia when it commemorates the Soviet Union’s victory over Nazi Germany in World War II.
- It’s arguably the most important day in Russia’s public calendar and history.
- The appearance of only one Soviet-era tank at Russia’s usually massive military parade raised eyebrows.
![]()
A Soviet T-34 tank, the only tank on display in Russia’s Victory Day parade on May 9, 2023, rolls through Red Square.
Contributor | Getty Images News | Getty Images
Russia’s scaled-down Victory Day military parade showed not only Moscow’s insecurities over possible Ukrainian attacks but also highlighted the country’s depleted military resources due to the conflict, political analysts said.
May 9 is a public holiday in Russia when it commemorates the Soviet Union’s victory over Nazi Germany in World War II. It is arguably the most important day in Russia’s public calendar and history, forming a central part of the country’s modern national identity.
This year’s military parade through Red Square in Moscow and celebrations around the country were noticeably smaller than in previous years or entirely canceled, with six regions (including annexed Crimea) and at least 20 cities halting their commemorations.
In Moscow on Tuesday, the military parade was more downbeat, with no fly-past or “Immortal Regiment” processions — which are usually largescale public events to commemorate those killed in World War II. There were also far fewer troops and military hardware on show than in previous years.
The fact that only one Stalin-era tank was on display in the military parade through Red Square was particularly eye-catching, analysts noted.
“It would be hard to image a more fitting symbol of Russia’s declining military fortunes than the sight of a solitary Stalin-era tank trundling across Red Square during the country’s traditional Victory Day celebrations on May 9,” Peter Dickinson, the editor of the UkraineAlert journal at the Atlantic Council, commented Tuesday.
“For the past two decades, Vladimir Putin has used Victory Day to showcase modern Russia’s resurgence as a military superpower, with dozens of the very latest tanks typically taking part in each annual parade. This year, however, the only tank on display was a T-34 model dating back to World War II.”
Bwana Mathanzua hapo juu ulisambaza habari ya uwongo kabisa.These are war strategies.Ukisikiliza hotuba ya Olaf Scholz,the German Chancellor at the UN General Assembly New York(below),utaelewa kwamba Europe sasa wanajutia walichokifanya,and they are beginning to come to terms with reallity.Do you remember Macrons' visit to China,that was not a mistake,it was a well thought foreign policy strategy.
Mzungu pori karudiBwana Mathanzua hapo juu ulisambaza habari ya uwongo kabisa.
Hotuba ya chansela Scholz iko hapa, kwenye tovuti rasmi ya serikali yake (ubalozi wa Ujerumani kwenye makao makuu ya UM).
Katika video yako ya uwongo hakuna sentensi hata 1 ambayo ni kweli.Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
It is with humility and deep respect that I am addressing you today – both as the newly elected Chancellor of Germany and as a proud delegate to our United Nations. My country and the United Nations…new-york-un.diplo.de
Inaonekana ni kawaida yako.