Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tsh :: lugha malkia ngumu hii naomba tafsiri ya kiswahili hapo chini .....
[emoji116][emoji116][emoji116]

The German Chancellor Olaf Scholz addresses the UN General Assembly and humanity with what humanity wants to here:logic,reason and rationality,it is simply mind blowing!One wonders if this is coming from a NATO member at all. It seems Europe is finally coming to terms with reality.It reminds me of Macrons' visit to China.Is Europe finally coming to its' senses?Let's wait and see,but obviously something is brewing.....
Mkuu ukweli ni malkia mgumu zaidi. Kwa bahati mbaya unarudia hapo juu maneno ya uwongo; ni kawaida ya bwana Mathanzua kuchota kwenye akiba yake kubwa ya fake news.
Hotuba ya Bwana Scholz ilikuwa na maneno yafuatayo:
Hatuwezi kutazama tu wakati nchi yenye silaha za nyuklia na mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Mataifa ambayi ni pia mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa - inapotaka kupanusha mipaka kwa kutumia vurugu.

Hakuna uhalali wowote wa vita ya uvamizi ya Urusi dhidi ya Ukraine. Rais Putin anaendesha vita hiyo akiwa na lengo moja: kuiteka Ukraine.

Kujitawala na uhuru wa kisiasa havina maana kwake.

Kuna neno moja tu kwa hili. Huu ni ubeberu waziwazi! Kurudi kwa ubeberu sio tu janga kwa Ulaya. Pia ni janga kwa mfumo wetu wa amani duniani, ambao ni kinyume cha ubeberu na ukoloni mamboleo.

Ndiyo maana ilikuwa muhimu sana kwamba, hapa katika chumba hiki, nchi 141 zililaani vita ya uvamizi ya Urusi. Lakini hiyo pekee haitoshi!

Ikiwa tunataka vita hiyo iishe, basi hatuna budi kujali jinsi inavyoisha. Putin ataacha tu vita yake na matamanio yake ya ubeberu ikiwa atagundua kuwa hawezi kushinda.

Hii ndiyo sababu hatutakubali amani inayoamriwa na Urusi - na hatutakubali kura za maoni za udanganyifu pia.

Hii ndiyo sababu Ukraine lazima iweze kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi. Tunasaidia Ukraine kwa nguvu zetu zote - kifedha, kiuchumi, kwa usaidizi wa kibinadamu na pia kwa silaha.

Pamoja na washirika wetu kote ulimwenguni, tumeweka vikwazo vikali vya kiuchumi kwa uongozi wa Urusi na uchumi wa Urusi. Hivi ndivyo tunavyotimiza ahadi ambayo kila nchi yetu ilitoa wakati wa kujiunga na Umoja wa Mataifa, yaani kuunganisha nguvu "kudumisha amani na usalama wa kimataifa".

Ona tovuti rasmi: Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
 
Mchungaji MATHANZUA ....uko wapi....?
 
Wanakwambia ku technology alotumia mwamba camera zilishindwa kunasa idadi ya vifalu na vilikuw vingi tu kwenye kwaride la jana
[emoji846]
Screenshot_20230510-131939.jpg
 
Hii sasa sifa - US yamwaga tena mzigo wa uhakika Ukraine ni Tshs 2.8 Trillions

The United States has announced a new $1.2bn military aid package for Ukraine that will include air defence systems, conventional artillery and counter-drone ammunition, satellite imagery services and funding for military training.

In the package announced on Tuesday, Ukraine will also receive technology to allow the integration of Western air defence launchers, missiles and radar with Ukraine’s native air defence systems.

OY-F7yHE
 
Bwana Mathanzua hapo juu ulisambaza habari ya uwongo kabisa.
Hotuba ya chansela Scholz iko hapa, kwenye tovuti rasmi ya serikali yake (ubalozi wa Ujerumani kwenye makao makuu ya UM).
Katika video yako ya uwongo hakuna sentensi hata 1 ambayo ni kweli.

Inaonekana ni kawaida yako.
Umshana,unataka kunianiambia huyo aliyekuwa anaongea kwenye clip sio Scholz?Tuwawajua CIA,tunawajua MI16,tunawajua MOSAD,wameona mparaganyiko tayari wanaanza kupika taarifa.Hakuna mwenye faida ya kupika taarifa ya Scholz, isipokuwa the West.So taarifa yako imepikwa.Taarifa ya Scholz niliyoleta ina ukweli,realistic,rational,lacks double standards na ndiyo ambayo mwanadamu mwenye akili angependa kusikia,na infact it talys very well with Macrons' trip to Beijing.

Mwisho Umshana,I am not here to please anybody,I am here for truth,to put things into the right perspective,to provide the right information which humanity has missed for centuries.Wewe nina hakika without a shadow of a doubt upo JF kusambaza NWO dogma and lies.You are infact a NWO moron.Kwanza wewe Umshana ni Chatbot,I am sure without a shadow of a doubt.
 
Mkuu ukweli ni malkia mgumu zaidi. Kwa bahati mbaya unarudia hapo juu maneno ya uwongo; ni kawaida ya bwana Mathanzua kuchota kwenye akiba yake kubwa ya fake news.
Hotuba ya Bwana Scholz ilikuwa na maneno yafuatayo:
Hatuwezi kutazama tu wakati nchi yenye silaha za nyuklia na mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Mataifa ambayi ni pia mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa - inapotaka kupanusha mipaka kwa kutumia vurugu.

Hakuna uhalali wowote wa vita ya uvamizi ya Urusi dhidi ya Ukraine. Rais Putin anaendesha vita hiyo akiwa na lengo moja: kuiteka Ukraine.

Kujitawala na uhuru wa kisiasa havina maana kwake.

Kuna neno moja tu kwa hili. Huu ni ubeberu waziwazi! Kurudi kwa ubeberu sio tu janga kwa Ulaya. Pia ni janga kwa mfumo wetu wa amani duniani, ambao ni kinyume cha ubeberu na ukoloni mamboleo.

Ndiyo maana ilikuwa muhimu sana kwamba, hapa katika chumba hiki, nchi 141 zililaani vita ya uvamizi ya Urusi. Lakini hiyo pekee haitoshi!

Ikiwa tunataka vita hiyo iishe, basi hatuna budi kujali jinsi inavyoisha. Putin ataacha tu vita yake na matamanio yake ya ubeberu ikiwa atagundua kuwa hawezi kushinda.

Hii ndiyo sababu hatutakubali amani inayoamriwa na Urusi - na hatutakubali kura za maoni za udanganyifu pia.

Hii ndiyo sababu Ukraine lazima iweze kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi. Tunasaidia Ukraine kwa nguvu zetu zote - kifedha, kiuchumi, kwa usaidizi wa kibinadamu na pia kwa silaha.

Pamoja na washirika wetu kote ulimwenguni, tumeweka vikwazo vikali vya kiuchumi kwa uongozi wa Urusi na uchumi wa Urusi. Hivi ndivyo tunavyotimiza ahadi ambayo kila nchi yetu ilitoa wakati wa kujiunga na Umoja wa Mataifa, yaani kuunganisha nguvu "kudumisha amani na usalama wa kimataifa".

Ona tovuti rasmi: Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
Wewe Umshana ni Chatbot,kwa hiyo lazima utetee handlers wako.
 
Wewe Umshana ni Chatbot,look at this👇,it is out of context kabisa.

"Rais Putin anaendesha vita hiyo akiwa na lengo moja: kuitetea Ukraine."

Ushauri wangu kwa JF users,please ignore Umshana,ni Chatbot.
Kwa wale wasiojua Chatbot,at the most basic level, "a chatbot is a computer program that simulates and processes human conversation (either written or spoken), allowing humans to interact with digital devices as if they were communicating with a real person."
 
The German Chancellor Olaf Scholz addresses the UN General Assembly and humanity with what humanity wants to here:logic,reason and rationality,it is simply mind blowing!One wonders if this is coming from a NATO member at all. It seems Europe is finally coming to terms with reality.It reminds me of Macrons' visit to China.Is Europe finally coming to its' senses?Let's wait and see,but obviously something is brewing.

cc:Kipanya
Its too good to be true.
 
Umshana,unataka kunianiambia huyo aliyekuwa aliyeongea kwenye clip sio Scholz?Tuwawajua CIA,tunawajua MI16,tunawajua MOSAD,wameona mparaganyiko tayari wanaanza kupika taarifa.Hakuna mwenye faida ya kupika taarifa ya Scholz, isipokuwa the West.So taarifa yako imepikwa.Taarifa ya Scholz niliyoleta ina ukweli,realistic,rational,lacks double standards na ndiyo ambayo Mwanadamu mwenye akili angependa kusikia,na infact it talys' very well with Macrons' trip to Beijing.

Mwisho Umshana,I am not here to please anybody,I am here for truth,to put things into the right perspective,to provide the right information which humanity has missed for centuries.Wewe nina hakika without a shadow of a doubt upo JF kusambaza NWO dogma and lies.You are infact a NWO moron.Kwanza wewe Umshana ni Chatbot,I am sure 100%.
Mkuu huoni aibu kumwaga uwongo ulio dhahiri halafu huombi radhi bali unaongeza uwongi mwingine?
Kwa kawaida nisingetaja hapa swali la aibu ili ukiwa mtu anayependa kutumia sana jina takatifu na maneno ya Biblia ni aibu kiasi, sivyo?

Menginevyo: aliyeonekana kwenye video alikuwa Scholz. Sauti iliyowekwa juu ya maneno yake ilikuwa ya uwongo, ikisema maneno yaliyo kinyume cha kile alichosema.
Nimekupa matini ya hotuba yake. TAJA SENETENSI 1 TU INAYOFANANA HATA KIDOGO NA YALE ULIYOSAMABAZA.
Soma hapa kwenye tovuti rasmi: Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
 
Hii sasa sifa - US yamwaga tena mzigo wa uhakika Ukraine ni Tshs 2.8 Trillions

The United States has announced a new $1.2bn military aid package for Ukraine that will include air defence systems, conventional artillery and counter-drone ammunition, satellite imagery services and funding for military training.

In the package announced on Tuesday, Ukraine will also receive technology to allow the integration of Western air defence launchers, missiles and radar with Ukraine’s native air defence systems.

OY-F7yHE
Za mwanzo zimeenda wapi
Hilo lisikuogepeshe na hizo zitayayuka kaba barafu kwenye jua Russia dude kubwa nchi 51 na bado anaziponda
Ndio maana wanaogopa China kupeleka siraha wanajua asubuhi tu game itaisha usicheze na wakomunisti watu wabaya sana tena sana.
 
Back
Top Bottom