Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu huoni aibu kumwaga uwongo ulio dhahiri halafu huombi radhi bali unaongeza uwongi mwingine?
Kwa kawaida nisingetaja hapa swali la aibu ili ukiwa mtu anayependa kutumia sana jina takatifu na maneno ya Biblia ni aibu kiasi, sivyo?

Menginevyo: aliyeonekana kwenye video alikuwa Scholz. Sauti iliyowekwa juu ya maneno yake ilikuwa ya uwongo, ikisema maneno yaliyo kinyume cha kile alichosema.
Nimekupa matini ya hotuba yake. TAJA SENETENSI 1 TU INAYOFANANA HATA KIDOGO NA YALE ULIYOSAMABAZA.
Soma hapa kwenye tovuti rasmi: Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
That can be cooked,si ajabu.Narudia kwa jinsi mawasiliano yako yalivyoo,wewe ni Chatbot.
 
Za mwanzo zimeenda wapi
Hilo lisikuogepeshe na hizo zitayayuka kaba barafu kwenye jua Russia dude kubwa nchi 51 na bado anaziponda
Ndio maana wanaogopa China kupeleka siraha wanajua asubuhi tu game itaisha usicheze na wakomunisti watu wabaya sana tena sana.
Mkomonisti anayewakaanga makambanda kwa kuwapeleka mstari wa mbele wanadunguliwa - dadeq.
 
Mkuu huoni aibu kumwaga uwongo ulio dhahiri halafu huombi radhi bali unaongeza uwongi mwingine?
Kwa kawaida nisingetaja hapa swali la aibu ili ukiwa mtu anayependa kutumia sana jina takatifu na maneno ya Biblia ni aibu kiasi, sivyo?

Menginevyo: aliyeonekana kwenye video alikuwa Scholz. Sauti iliyowekwa juu ya maneno yake ilikuwa ya uwongo, ikisema maneno yaliyo kinyume cha kile alichosema.
Nimekupa matini ya hotuba yake. TAJA SENETENSI 1 TU INAYOFANANA HATA KIDOGO NA YALE ULIYOSAMABAZA.
Soma hapa kwenye tovuti rasmi: Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
Sioni aibu hata chembe ku-expose uovu wa Shetani,I will do it kila nipatapo nafasi.Clip niliyoleta mimi ndiyo sahihi,kwa kuwa inakubaliana hata na maandiko matakatifu.
 
Mkuu huoni aibu kumwaga uwongo ulio dhahiri halafu huombi radhi bali unaongeza uwongi mwingine?
Kwa kawaida nisingetaja hapa swali la aibu ili ukiwa mtu anayependa kutumia sana jina takatifu na maneno ya Biblia ni aibu kiasi, sivyo?

Menginevyo: aliyeonekana kwenye video alikuwa Scholz. Sauti iliyowekwa juu ya maneno yake ilikuwa ya uwongo, ikisema maneno yaliyo kinyume cha kile alichosema.
Nimekupa matini ya hotuba yake. TAJA SENETENSI 1 TU INAYOFANANA HATA KIDOGO NA YALE ULIYOSAMABAZA.
Soma hapa kwenye tovuti rasmi: Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
Sioni aibu hata chembe ku-expose uovu wa Shetani,I will do it kila nipatapo nafasi.
 
Wewe Umshana ni Chatbot,look at this👇,it is out of context kabisa.

"Rais Putin anaendesha vita hiyo akiwa na lengo moja: kuiteka Ukraine."

Ushauri wangu kwa JF users,please ignore Umshana,ni Chatbot.
Kwa wale wasiojua Chatbot,at the most basic level, "a chatbot is a computer program that simulates and processes human conversation (either written or spoken), allowing humans to interact with digital devices as if they were communicating with a real person."
Kwa jumla naona afadhali kuongea na chatbot kuliko na watu wanaonakili vitu pumbavu bila kujali . . . (kama hotuba bandia ya Scholz inayoweza kutambliwa na mtoto mdogo..)

Nilicholeta kama hotuba ya scholz, ilikuwa google-translate kutoka ukurasa wa kiingereza. Kama sikusahihisha vema, nisamehe . . .
(programu yangu ya chatbot inasema heri kuomba radhi wakati mwingine ili kuwadanganya watu vizuri zaidi!)
 
Russia mpaka jana anamiliki 28% ya ardhi hizo 51% zimetoka wapi???

HIMARS zimefail Ukraine warussi wanajam mifumo yake ya GPS zimekua hazipigi target. Upo wapi ndugu unashindwa kujua taarifa kama hizi??

View attachment 2616788

Hao ni Kyiv independent wanasema shirika la habari Ukraine. Maeneo Russia aliyo retreat ameyarudisha yote ndomana unaona mpaka sasa 28% imekwenda. Bakhumut imebaki padogo sana ambapo ikichukuliwa itafika 30%.

Mkuu next time uwe msomaji tu nakupa ushauri maana hujui kinachoendelea field.
Fake news
 
Kwa jumla naona afadhali kuongea na chatbot kuliko na watu wanaonakili vitu pumbavu bila kujali . . . (kama hotuba bandia ya Scholz inayoweza kutambliwa na mtoto mdogo..)

Nilicholeta kama hotuba ya scholz, ilikuwa google-translate kutoka ukurasa wa kiingereza. Kama sikusahihisha vema, nisamehe . . .
(programu yangu ya chatbot inasema heri kuomba radhi wakati mwingine ili kuwadanganya watu vizuri zaidi!)
Hivi Umshanaa,kwa nini niamini kwamba hotuba yako ndio sahihi,wakati ina favour misimamo ambayo haina hata chembe ya ubinadamu?Tuachane bwana.
 
Hotuba ya Scholz si swali la kuamini.. Ubalozi wa nchi una kazi ya kusambaza matangazo rasmi. Nimekuonyesha matini ya hotuba yake kwenye ukurasa rasmi ya ubalozi wa Ujerumani.
Niliomba uonyeshe sentensi 1 tu inayofanana na video ile ya uwongo uliyoleta.
Hadi sasa umekimbia tu.
Onyesha!!!

Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
 
Back
Top Bottom