Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

haya wajuvi toeni tafsiri hapa ana maanisha nini .....
hii lugha nyie acheni tuu ...
wa mbagala kimbangulile mimi ...
Screenshot_20230510-210332.jpg
 
Kume kifaru 1 pekee kwenye paredi ya 9 Mei Moscow - tena kifaru cha kizee zaidi kuliko vile vilivyobaki Ukraine . . . . Tena wengi walijiuliza kwa nini walizuia mwaka huu kumbukumbu ya askari waliokufa... Miaka iliyopita wengi walihudhuria waliobeba pich za mababu waliokufa 1941-45 - mwaka huu walihofia kuona picha nyingi za wamajeshi waliokufa sasa Ukraine

Putin’s ‘one-tank’ military parade was an embarrassment for Russia, analysts say​

Published Wed, May 10 20235:10 AM ED
  • Russia’s scaled-down Victory Day military parade on Tuesday showed not only Russia’s insecurities over possible Ukrainian attacks but also highlighted the country’s depleted military resources, analysts noted.
  • May 9 is a public holiday in Russia when it commemorates the Soviet Union’s victory over Nazi Germany in World War II.
  • It’s arguably the most important day in Russia’s public calendar and history.
  • The appearance of only one Soviet-era tank at Russia’s usually massive military parade raised eyebrows.
A Soviet T-34 tank, the only tank on display in Russia's Victory Day parade on May 9, 2023, rolls through Red Square.'s Victory Day parade on May 9, 2023, rolls through Red Square.

A Soviet T-34 tank, the only tank on display in Russia’s Victory Day parade on May 9, 2023, rolls through Red Square.
Contributor | Getty Images News | Getty Images
Russia’s scaled-down Victory Day military parade showed not only Moscow’s insecurities over possible Ukrainian attacks but also highlighted the country’s depleted military resources due to the conflict, political analysts said.
May 9 is a public holiday in Russia when it commemorates the Soviet Union’s victory over Nazi Germany in World War II. It is arguably the most important day in Russia’s public calendar and history, forming a central part of the country’s modern national identity.

This year’s military parade through Red Square in Moscow and celebrations around the country were noticeably smaller than in previous years or entirely canceled, with six regions (including annexed Crimea) and at least 20 cities halting their commemorations.
In Moscow on Tuesday, the military parade was more downbeat, with no fly-past or “Immortal Regiment” processions — which are usually largescale public events to commemorate those killed in World War II. There were also far fewer troops and military hardware on show than in previous years.
The fact that only one Stalin-era tank was on display in the military parade through Red Square was particularly eye-catching, analysts noted.
“It would be hard to image a more fitting symbol of Russia’s declining military fortunes than the sight of a solitary Stalin-era tank trundling across Red Square during the country’s traditional Victory Day celebrations on May 9,” Peter Dickinson, the editor of the UkraineAlert journal at the Atlantic Council, commented Tuesday.
“For the past two decades, Vladimir Putin has used Victory Day to showcase modern Russia’s resurgence as a military superpower, with dozens of the very latest tanks typically taking part in each annual parade. This year, however, the only tank on display was a T-34 model dating back to World War II.”
Umerudi tena porojo zako za kubumba..!!!..thread ilikuwa poa sana aisee..!!!..tafadhali rudi ulikokuwa Mkuu!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Russia mpaka jana anamiliki 28% ya ardhi hizo 51% zimetoka wapi???

HIMARS zimefail Ukraine warussi wanajam mifumo yake ya GPS zimekua hazipigi target. Upo wapi ndugu unashindwa kujua taarifa kama hizi??

View attachment 2616788


Hao ni Kyiv independent wanasema shirika la habari Ukraine. Maeneo Russia aliyo retreat ameyarudisha yote ndomana unaona mpaka sasa 28% imekwenda. Bakhumut imebaki padogo sana ambapo ikichukuliwa itafika 30%.

Mkuu next time uwe msomaji tu nakupa ushauri maana hujui kinachoendelea field.
Mkuu pinga kwa fact!

Nimekuambia 50% Ya eneo alilokaliteka(ameretreat) na siyo ya ukraine yote.
Himars nakubali zinakuw-jammed ila siyo makombola yote(fuatilia shambulio la juzi mji wa Donetsk)

Nitajie mji aliyeretreat Russia na sasa ameurudisha (kati ya hiyo niliyotaja)
Hapa watu wote watajua kati ya wewe na mi
 
Russia mpaka jana anamiliki 28% ya ardhi hizo 51% zimetoka wapi???

HIMARS zimefail Ukraine warussi wanajam mifumo yake ya GPS zimekua hazipigi target. Upo wapi ndugu unashindwa kujua taarifa kama hizi??

View attachment 2616788


Hao ni Kyiv independent wanasema shirika la habari Ukraine. Maeneo Russia aliyo retreat ameyarudisha yote ndomana unaona mpaka sasa 28% imekwenda. Bakhumut imebaki padogo sana ambapo ikichukuliwa itafika 30%.

Mkuu next time uwe msomaji tu nakupa ushauri maana hujui kinachoendelea field.
Mkuu pinga kwa fact!

Nimekuambia 50% Ya eneo alilokaliteka(ameretreat) na siyo ya ukraine yote.
Himars nakubali zinakuw-jammed ila siyo makombola yote(fuatilia shambulio la juzi mji wa Donetsk)

Nitajie mji aliyeretreat Russia na sasa ameurudisha (kati ya hiyo niliyotaja)
Hapa watu wote watajua kati ya wewe na mi
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]



[emoji298][emoji298][emoji298]Ukraine’s Air Force launched three strikes on enemy personnel and military equipment clusters. Missile and artillery units hit an enemy anti-aircraft missile system, two manpower clusters, a fuel depot, and an EW station.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mimi siko kwenye mashindano mkuu,niko hapa kuelimisha na kufundisha Neno la MUNGU.Kutukanwa si ajabu,kwa kuwa hata Bwana Yesu alitukanwa,akatemewa mate na hatimaye wakamsulubisha.Yeye ndio kielelezo changu.
Katika 1 Petro 2:20 tunasoma,
"Kwa maana ni sifa gani kustahimili, mtendapo dhambi na kupigwa makofi? Lakini kustahimili, mtendapo mema na kupata mateso, huu ndio wema hasa mbele za Mungu."

Tena Bwana Yesu amesema,
"Amesema Duniani mnayo dhiki,lakini jipeni moyo kwa kuwa Mimi nimeushinda Ulimwengu(Yohana 16:33).Hizo ndizo dhiki zenyewe.

Pia Bwana Yesu amesema katika Luka 9:23,
"Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku, anifuate.' Mimi nimejikana kwa ajili ya Kristo,sijali kutukanwa mkuu,nitaubeba msalaba kwa ajili ya Kristo mpaka kieleweke.
Kemea na laani uvamizi wa Urusi huko Ukraine.
 
Umshana,unataka kunianiambia huyo aliyekuwa aliyeongea kwenye clip sio Scholz?Tuwawajua CIA,tunawajua MI16,tunawajua MOSAD,wameona mparaganyiko tayari wanaanza kupika taarifa.Hakuna mwenye faida ya kupika taarifa ya Scholz, isipokuwa the West.So taarifa yako imepikwa.Taarifa ya Scholz niliyoleta ina ukweli,realistic,rational,lacks double standards na ndiyo ambayo Mwanadamu mwenye akili angependa kusikia,na infact it talys' very well with Macrons' trip to Beijing.

Mwisho Umshana,I am not here to please anybody,I am here for truth,to put things into the right perspective,to provide the right information which humanity has missed for centuries.Wewe nina hakika without a shadow of a doubt upo JF kusambaza NWO dogma and lies.You are infact a NWO moron.Kwanza wewe Umshana ni Chatbot,I am sure 100%.
Shukrani sana Mkuu Mathanzua kwa kuuongea ukweli na kuishi ndani yake!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ukombozi wa bure kwahyo tutatetea kwa nguvu ukombozi wa watu wa Russia dhidi ya Nazi na upinde.
Sio kutetea kwa nguvu ukombozi wa watu wa Russia tu, bali vile vile Dunia nzima dhidi ya mabeberu hawa ambao walisha jisahau kabisa kwa kujiona wao pekeee ndio wenye hati miliki ya Dunia nzima hasa baada ya WW1 ndio wakajawa na kiburi na dharau.

Si hilo tu bali wana pia huluka ya kupenda penda vita na vurugu na kuchonganisha watu/mataifa ili yasielewane - inavyo elekea hivi sasa wako radhi hata kutumia silaha za nuclear kuliko kuona Urusi inashinda vita ya huko Ukraine.

Cha kujiuliza hapa, kwa nini US/NATO wako overly obsessed na vita ya Ukraine, jibu ni rahisi sana - tatizo linatokana na USA kuwa na wasi wasi kwamba Warusi wakishinda vita huko Ukraine suala hilo litaifanya NATO kusambaratika ie haitakuwa na umuhimu wowote Ulaya watapenda wawe na jeshi lao huru ambalo halitegemei tena amri kutoka Merikami Ulaya ifufue tena viwanda vyao vya kuunfa ndege za kivita kama zamani kuliko kuendelea kutegemea ndege za Merikani walati na wao uwezo wa kuunda ndege za kivita wanao sana lakini US inataka kuvihujumu kijanja Macron na chancellor wa Ujerumani ndio wamelishtukia hilo - viongozi wengine wa Ulaya ni bongo lala.

Naendelea kurudia kwa mara nyingine tena kwamba Russia ikishinda vita hii ya Ukraine hilo likitokea basi US haitakuwa tena na ushawishi mkubwa wa masaula ya Geopolitics Duniani, in other words hakuna Taifa ambalo litawachukulia Wamerikani seriously any more - hii kitu inawatia wasi wasi sana Wamerikani.
 
Back
Top Bottom