Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

2aa.jpg
 
Mkuu hizo hesabu za wapi? Maana mpaka sasa hakuna Ukraine alichofanikiwa kurudisha hizo 50% kazirudisha wapi? Maana mwaka jana Russia alikua anashikiria 20% mwaka huu mpaka march ilikua 25% jana naona 28% kama karudisha 50% unazo dai wewe kazirudishia wapi??. Nitajie hayo maeneo aliyoyakomboa sio kupiga ramli hapa.
Mkuu!Nakutajia yote Kyiv-Bucha,Irprin,Sumy,Khakiv,Zytomir,Kupiansky,Izyum,Lyman,Kherson.
Sema jingine!
(watu hapa watamjua mpiga ramli)
 
Mkuu huwezekani!
Nilikuambia eneo ambalo Russia aliliteka(maeneo kuanzia kyiv-Bucha,Irprin,Sumy,Zytomir,Khakiv,Kupiansky,Izyum,kherson )si miji tu ni eneo lote kwa ujumla.

Russia anamiliki 20% ya ardhi ya Ukraine na sii 28% kama unavyosema(ISW)

Umesema Ukraine hajarudisha eneo nimekutajia (maeneo hapo juu,pinga kwa hoja na siyo ubishi usio na msingi)

Bado hujajibu nitajie miji japo 2 Russia aliyoka-retreat na sasa ameirudisha!
June 2022, ndio alikua anamiliki 20%.
 
hujui hata kuchomoka pale unapokuwa umechemka...!!...Russia alikuwa ametaka 30% ya ardhi ya Ukrein kwa ujumla...unaposema Ukrein amerudisha 51% ya ardhi iliyokuwa imetekwa...u mean (51% of 30% sio..)...kwa hiyo unamaanisha Ukrein amerudisha 15% na Russia kabakia na 15%..sio???..if so umefikiria lakini kabla ya kutuandikia humu?

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mkuu!Kwa mujibu wa ISW Russia anamiliki 20% ya Ukraine.
Pia mkuu tambua kuwa hii active confrict so mambo yanabadilika kwa haraka na muda mwingine kunakuwa na dispute infos(about control of land)
Mkuu hoja yangu ya msingi ni kumuonyesha mdau hapo juu maeneo yaliyorudishwa ambayo yeye alipinga kutorudishwa eneo lolote(but till now haja kubaliana na uhalisia)
 
Kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia kinaendelea.Yale mashambulizi ya anga ya Urusi kuna kitu kikubwa yalikifanya!!!!!!

Zelenskyy says Ukraine 'needs more time' to launch counteroffensive​

The Ukrainian president has said his country could go ahead with the push now, but they would "lose a lot of people" - something which he described as "unacceptable".
In an interview for public service broadcasters who are members of Eurovision News, Mr Zelenskyy said his combat brigades were "ready" but that they were still waiting for "some things" including armoured vehicles.

Source:Sky News: 11/05/2023.
 
Counteroffensive haipo tena na ilizikwa rasmi pale Khinzal hypersonic missile ilipowaua wale makamanda wa NATO waliokuwa kwenye handaki 400ft.

Sasa hivi kilichobakia ni porojo za Counteroffensive.
 
Kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia kinaendelea.Yale mashambulizi ya anga ya Urusi kuna kitu kikubwa yalikifanya!!!!!!

Zelenskyy says Ukraine 'needs more time' to launch counteroffensive​

The Ukrainian president has said his country could go ahead with the push now, but they would "lose a lot of people" - something which he described as "unacceptable".
In an interview for public service broadcasters who are members of Eurovision News, Mr Zelenskyy said his combat brigades were "ready" but that they were still waiting for "some things" including armoured vehicles.

Source:Sky News: 11/05/2023.
Zeleskyyy: ^Training ready, commander?^

Commander: ^Yes, Mr President! BUT we aren't quite sure whether we should mount the counteroffensive at this moment.^

Zeleskyyyyy Again: ^We're winning this war!^
 
Kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia kinaendelea.Yale mashambulizi ya anga ya Urusi kuna kitu kikubwa yalikifanya!!!!!!

Zelenskyy says Ukraine 'needs more time' to launch counteroffensive​

The Ukrainian president has said his country could go ahead with the push now, but they would "lose a lot of people" - something which he described as "unacceptable".
In an interview for public service broadcasters who are members of Eurovision News, Mr Zelenskyy said his combat brigades were "ready" but that they were still waiting for "some things" including armoured vehicles.

Source:Sky News: 11/05/2023.
Ulitaka zelensiky aseme wanakaribia kufanya counteroffensive hata kesho,sio?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huwezekani!
Nilikuambia eneo ambalo Russia aliliteka(maeneo kuanzia kyiv-Bucha,Irprin,Sumy,Zytomir,Khakiv,Kupiansky,Izyum,kherson )si miji tu ni eneo lote kwa ujumla.

Russia anamiliki 20% ya ardhi ya Ukraine na sii 28% kama unavyosema(ISW)

Umesema Ukraine hajarudisha eneo nimekutajia (maeneo hapo juu,pinga kwa hoja na siyo ubishi usio na msingi)

Bado hujajibu nitajie miji japo 2 Russia aliyoka-retreat na sasa ameirudisha!

Umeongeza na Bakhmut hapo??
 
Ukraine kapewa makombora yenye uwezo wa kufika Moscow..,

[emoji298]️Britain has delivered long-range Storm Shadow cruise missiles to Ukraine ahead of expected counteroffensive, CNN reported.

The flight range of these missiles is over 300 km.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Battle of Bakhmut: What’s Really Going On?

After a successful Ukrainian counterattack, the battle of Bakhmut may be entering a new level of intensity and fluidity. Still, there are mixed reports about what is happening and what comes next.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]EXCLUSIVE: US Navy SEAL Team 6 Squadron Leader (ret.) & leading military analyst, Chuck Pfarrer on why the Russian military’s morale is collapsing – and what the implosion of the Russian military structure will look like.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
China’s Director-General for European Affairs Wang Lutong tweeted: “While China is making every effort to promote peace which is in Europe’s interest, Europe gives a stab in the back in return, bullying China on economic issues. Can’t understand what Europe is up to.”
Europe is a head prefect whose head teacher is US. China should know better and stop playing into their DIRTY & ENVIOUS hands.
 
Back
Top Bottom