Wakati wanamvamia mkombozi wa afrika Gadafi ulikuwa wapiKemea na laani uvamizi wa Urusi huko Ukraine.
Mara ya mwisho kumuona ilikua lini.Ni kazi rahisi tu weka source acha kujichekesha.
ileteni tu alafu sisi tuta irudisha ikiwa imeshakuwa scrapper....mkauze chuma chakavu ...tunaisubiriTunaipeleka Ukraine...
![]()
Ukrainian pilot Vasil says the Sea King helicopter is "incredibly good" to fly
A military helicopter donated to Ukraine by the UK government was used in the Falklands conflict more than 40 years ago, the BBC has learned. Despite its age, the Ukrainian military says the aircraft will help in the war against Russia.
Flying low in the skies over southern Ukraine, the helicopter swoops and turns, following the contours of the ground. From the cockpit and open side door, the crew scan the horizon, alert for potential threats.
alikuwa hajazaliwa huyo sasa yeye ana huruma zaidi kwa ukraine kuliko kwa waafrica wenzie afu haoni hapo sudani marekni anachofanya na congo ....wazungu wanavo ivuruga nchi ya watu......ila kaiona ukraineWakati wanamvamia mkombozi wa afrika Gadafi ulikuwa wapi
Mkuu hata waukrein wenyewe wana wasiwasi Sana alipo hebu soma hii hapa kutoka TG channel ya Ukraine.Huyu yupo kweli au alikwenda na maji pale kwenye bunker?
Waukraeni wenyewe wanahoji kupitia TG channel yao WEWE unabisha nini.Weka source ya taarifa yako humu sio kijiwe cha kahawa.
Kipanya I do not see how a sane person can support a government doing this 👇.That person will surely be a psychopath.Are you also a psychopath?I believe you are.[emoji298][emoji298]Journalists from Krym Realii media outlet published a map on May 10 that geolocates 223 active, temporary, and preserved military facilities in Russian-occupied Crimea.
Learn more about this and find a link to the map here: Journalists publish map of over 200 Russian military facilities in occupied Crimea
[emoji991]: Screenshot from radiosvoboda.org
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu unachekesha sana sasa hayo maeneo kama kherson, Lyman Russia retreated. Pia kherson eneo kubwa liko under Russia control, Ukraine recaptured 2,400 square only. Tukija kharkiv bado kuna sehem Russia anashikilia bado.
Lyman ina 20km square, kupiansk ina 33km square, izyum 43km square ni eneo dogo sana ni ndomana nakushangaa unavyosema kwamba 50% wamerudisha mkuu kuwa serious.
Tukija lyman & kupiansk Russia wana advance taratibu.
![]()
Invaders Are Trying to Advance Towards Lyman and Kupiansk: Will Russia Be Able to Recapture These Cities?
Invaders Are Trying to Advance Towards Lyman and Kupiansk: Will Russia Be Able to Recapture These Cities?tsn.ua
Tufanye hayo maeneo yote uliyotaja mmerudisha lakini bado hayafiki 600 sq km maana kherson ina 140 sq km na kharkiv ina 359 sq km. Russia anashikilia 132,000 sq km ya Ukraine ( kwa data za February).
Mkuu ni summarize!
ulisema ukraine hajarudisha enea nikakutajia
ulisema Russia amerudisha miji aliyoka-retreat nikakuuliza yapi nitajie walau 2 tu?