Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwamba kulikuwa na vifaru visivyoonekana kwenye kamera? Hii ni level ya juu ya ujinga mnaonesha
wewe wa huku buza mkanyageni na serikali ya urusi nani ameendelea kwa teknolojia ?
au basi tuseme wewe ndio mwana sayansi bora kutoka pentagon unae ijua tech. ya urusi kuliko urusi yenyewe ......
sipendi mabishano...
 
Kinacho nifurahisha mimi zaidi - ni kile cha wana sayansi wa Urusi kufanikiwa kuzisoma na kubaini jinsi ya kuzitungua - na Warusi wamefanikiwa sana kuzidhibiti vilivyo HIMARS - hazitambi tena.
 
[emoji298][emoji298]A video shared by Fedorenko (Achilles) on Telegram shows a Russian soldier surrendering to Ukrainian forces after they offered to take him hostage instead of killing him, near Bakhmut, on May 9.

Video courtesy of @fedorenkoys / Telegram

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Artillerymen of the Third Separate Assault Brigade of the Armed Forces of Ukraine, using a D-30 howitzer, struck at Russian troops near the city of Bakhmut, Donetsk region, causing losses to the enemy.[emoji298]



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]



[emoji298][emoji298][emoji298]Ukraine’s rocket and artillery forces hit eight Russian control points, 13 manpower clusters, an ammunition depot, a fuel depot, five artillery positions, an air defense system, and another two "important" targets.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tayari min- super pawer amekabidhi makombora ya masafa marefu🥱🥱🥱

Huu mchezo hauitaji hasira[emoji1787]View attachment 2617804

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu hapo....Uingereza hana silaha zozote zenye uwezo wa kuitikisa urusi ...huu ndiyo ukweli ninao kuambia ...tena hii vita inakwenda mwisho maana hii ni dalili za nato kushindwa kukabiliana na urusi katika masafa mafupi hivyo wanataka kupiga wakiwa mbali kwa kuwa wanaogopa kuuliwa zaidi
 
Sasa kama hizo silaha hazina impact, mbona Russia anabweka zikipelekwa[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]European Commissioner for Home Affairs Ylva Johansson visited the sites of war crimes committed by Russian invaders in Irpin, Kyiv region.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi unajua toka mpakani mpk iliupo Moscow Kuna km ngapi?
 

Russian forces destroy most of foreign weapons that get shipped to Ukraine​

11.05.2023 18:28
Incidents
The Russian Aerospace Forces destroy most of the weapons that the West supplies to the Armed Forces of Ukraine even before they get delivered to the front line, Yan Gagin, adviser to acting head of the Donetsk People's Republic Denis Pushilin said on Rossiya 1 TV channel.


Photo: rusvesna.su
Kyiv continues to receive significant volumes of military hardware. A large number of vehicles are still located on the territory of Romania and Poland at transshipment bases, he said.

A video of NATO equipment that arrived in Ukraine from the West and was destroyed by Russian forces in Bakhmut (the Russian name of the city is Artemovsk) has recently appeared on the net. The footage shows destroyed military hardware from the USA, Canada, Turkey and other countries.
 
Huo mstari mwekundu auchore Kwa Nani?

Hajipendi eeh??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…