Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
JamboForums daa kitambooKam
Kama wewe ni wa zamani niambie kabla ya kuitwa jamiiforum hili jukwaa lilikuwa linaitwaje
Lini umeanza kuwa pro Ukraine mkuuHata mimi ni pro Ukraine, ila ukweli nikua wanetu wanachapika sio kidogo, cnn na bbc wanaendelea kutu feed wrong information as if ukraine inashinda japo kwa ground mambo ni tofauti sana.
Kwa waafrika tutaichukia Russia na Putin kwasababu western and Americans media zimetuambia hivyo(kwakiasi kikubwa tunategemea habari zaidi Toka kwao). Lakin kiukwel kuanguka Kwa Americans na washirika wake niushindi kwetu waafrika maana mkoloni atakua ameanguka natutakua huru. Tumuunge mkono Putin amuangushe huyu mkoloni anaeivuruga amani ya Dunia
Ukraine imetumika kama tool tu,ila hiyo vita ni Russia alone vs USA and its allies
Kushinda Kwa Russia nikuanguka Kwa shetani. Africa na Dunia haitakua sawa kama shetani ataendelea kusimama.
[emoji635][emoji635][emoji1218][emoji1218][emoji106][emoji106][emoji1][emoji1732]
Unaleta picha ya Zelensky hajawa hata Rais, Putin huyu hapa anatia hurumaZele Kama zeleView attachment 2619145
Kama Russia ni mzembe kama unavyotueleza humu why hao NATO wanaongelea nje tu..., why wasimfanye Russia kama Iraq, Libya, Yugoslavia...etc... ili iwe fundisho kwa akina China, NKorea, Iran....why!why!why!....!!!! HIMARS tumechoka midomo mitupu...kila siku vikao Brussels...mara Top commanders mara Ministers ...mara sijui Heads of State...wanaongea nn kila siku...mbona kwa Libya&Yugoslavia hatukuona vikao vya namna hii...ilikuwa fasta tu Rafale, f22 sijui Tornado zikawa hewani zinamwaga njungu...pls kama una mawasiliano na hawa NATO waambie tumechoka maneno tunataka vitendo...huyu Russia apukutiswe once and for all.Depleted Uranium shelles zilipelekwa Ukraine akaongea weee ila hajafanya kitu
Washamuona ni fala tu walimkuza tofauti na uhalisia.
Mara oooh tuna S400
Dah.. We jamaa wewe 😂🤣 huyu sio put in labda ni putOUT, sio kibabu cha vitaa kuu ya ngapi huko🤔Unaleta picha ya Zelensky hajawa hata Rais, Putin huyu hapa anatia hurumaView attachment 2619648
Bakmut Moto unawaka hatari super power anatema ndoano siyo muda mrefu mwiba wa samaki umenasia kwenye koromeo[emoji3][emoji3]Dah.. We jamaa wewe [emoji23][emoji1787] huyu sio put in labda ni putOUT, sio kibabu cha vitaa kuu ya ngapi huko[emoji848]
Uko hapo Bakhmut au imeandikwa wapi hii Mkuu...pls share sourceBakmut Moto unawaka hatari super power anatema ndoano siyo muda mrefu mwiba wa samaki umenasia kwenye koromeo[emoji3][emoji3]