Huna point.Mkuu yule dikteta mfupi mnene wa taifa lenye njaa hajawahi kuelekeza roketi wala Korea Kusini wala Japani. Anarusha roketi zake baharini pande mbalimbali. Hakujaribu kulenga eneo la nchi yoyote. Lakini anapenda kupiga makelele. Wapenda makelele wanamshangilia, wenye akili timamu wanampuuza.
Trump alipomwambia "Roketi zangu ni kubwa kuliko zako" alianza mara moja kutangaza upendo wake kwa Trumpi, sivyo?
cc: kp kipanya44 et al 🙂Putin: ^Ulimwengu kuelekea Multpolar hauwezi kuepukika. Mwelekeo huo utakuwa na nguvu zaidi. Na wale ambao hawafuati mwelekeo huu watapoteza. Hii ni dhahiri kama kuchomoza kwa jua. Na hakuna unachoweza kufanya kuhusu hilo! Wale wanaojaribu kuzuia hili, watakabiliwa na matatizo ambayo hata saa hizi wanayo.^
Mfano juzi wamesema wamelipua ammunition depo, ila video zote hakuna hata moja iliyokuwa geolocated ukraine.Asilimia kubwa ya habar zinazoletwa humu sio rasmi ni watu hujifurahisha nafsi zao.
Pro urusi ndio kabisa hujiandikia English ili habr ionekane sawa kumbe ni pumba tupu hata ushahidi wa wazi wa hayo hawaleti.
Waliyataka wenyeweRadiation Spike In Ukraine After Russian Missile Hits Ammo Depot - Depleted Uranium!
MAY 2023
A clear spike in gamma radiation has been detected in Khmelnitsky, Ukraine after a Russian Missile blew up a Ukrainian ammo depot on or about May 12th. Radiation levels continued to rise on the 13th and presently remain at the elevated level. It appears the ammo depot stored Depleted Uranium (DU) munitions.
The explosion which rocked Khmelnitsky from the Russian missile strike, was very big. Video of the explosion, complete with actual air raid sirens that were sounding at the time, appears below:
Below, from the European Union government, is a chart showing the radiation spike:
Very little gamma radiation comes from depleted uranium. As such, this clear spike in gamma radiation in Khmelnitsky indicates that there was very large stockpile of the DU munitions that was destroyed, distributing uranium dust into the air.
By comparison, the towns of Ternopol, Khmilnik, and Novaya Ushitsa remained at their regular, base radiation levels. This indicates that the Khmelnitsky anomaly is indeed a spike and corroborates the claim that the stockpile in Khmelnitsky contained DU munitions.
Nadhani utakuwa unatoke gongo la mboto kwa mzee azizi Ally.Mfano juzi wamesema wamelipua ammunition depo, ila video zote hakuna hata moja iliyokuwa geolocated ukraine.
Hii ni hatari sana. Tunakoelekea sasa, wanasiasa wasipokuwa makini, itakuwa ndiyo total annihilation of human race!Waliyataka wenyewe
Tuwa-scorn off namna hiyo,hatimaye huenda wakajitambua.Hawa ni minions wa the NWO Cabal,vi_US$ wanavyo-pewa na CIA na vi-green cards vimewapumbaza kabisa,pumbafu kabisa.Nadhani utakuwa unatoke gongo la mboto kwa mzee azizi Ally.
Jasmoni the human race is bring exterminated right in front of our eyes,na vijitu kama Kipanya na Yoda vinasaidia katika harakati hizo,inaumiza sana.Lazima tuvisakame kwa nguvu zetu zote,labda hatimaye vitajitambua.Hii ni hatari sana. Tunakoelekea sasa, wanasiasa wasipokuwa makini, itakuwa ndiyo total annihilation of human race!
Mchawi lughaAmerican-supplied AGM-88 HARM anti-radiation missile was shot down in the Kremmina forests area.
The missile expired in April 1995!
It was manufactured on 12 January 1989.
This missile expired before many soldiers were even bornView attachment 2622384
Braza k.panya umesikia lkn kuhusu kulipuliwa kwa nyuklia???[emoji298][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky has met with his French counterpart Emmanuel Macron in Paris.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app