kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
mlete NalendwaMpaka sasa wamefufuka wangapi?
Chakula cha makombora ya Russia[emoji298]️US delivered 31 Abrams M1 tanks to Germany to train Ukrainian military
“I can confirm that 31 M1 Abrams tanks have arrived in Germany for training and further training of Ukrainian tank teams,” Pentagon spokesman Patrick Ryder said.
[emoji328]: AFP
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haya hambayo Yanapukuchuliwa kila kukicha na hakuna hata target Moja?[emoji1787]Chakula cha makombora ya Russia
Mwanzoni propaganda zilikuwa zinasema kwamba Majenerali wa Russia asilimia kubwa walipigwa mawe na snippers wa Ukraine wengi tu, sasa Majenerali walioripotiwa kudanja wakaibuka frontline mmoja baada ya mwingineMpaka sasa wamefufuka wangapi?
Kwani hizo nyumba ndogo ndogo kwa msemo wako huo hivyo haziwezi kuitwa ammunition depot!!? Au depot kwako lazima liwe nyumba kubwaaaa!!!Fake. Ukraine waliacha zamani sana kuweka silaha sehemu moja. Wanatumia nyumba ndogo ndogo na undergrounds
Umejuaje mkuu? Hizi habari za ufanisi wa mfumo wa ulinzi wa anga lao kwa sehemu kubwa ni porojo tu za kuwafurahisha sponsaz ili waendelee kumwaga zana zao Ukraine. Then Zelensky anauza na kutunisha akaunti yake.Haya hambayo Yanapukuchuliwa kila kukicha na hakuna hata target Moja?[emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kumbe ilikuwa 'decoy'?🤣🤣Large number of eliminated Ukrainian soldiers near Klishchiivka, near Bakhmut area.
After Russian forces retreated, Ukrainian forces advanced towards the trench line and then got shelled by Russian artillery
Mkuu, ngoja sie tuendelee kujenga taifa huku. Lakini hadi mwisho wa juma hili, nakwambia tutazila hizo Patriots hadi mzibadili jina, probably mziite Traitor.Urusi wanaizinda Patriot.
Leo ilibidi Patriot iteme kila kitu at a go
Ndo maana Urusi katuma Kinzhal nyingi hivyo
Kweli mnaziwinda na ipo siku mtazipataMkuu, ngoja sie tuendelee kujenga taifa huku. Lakini hadi mwisho wa juma hili, nakwambia tutazila hizo Patriots hadi mzibadili jina, probably mziite Traitor.
Kweli ila leo imeonesha hamna HypersonicMkuu, ngoja sie tuendelee kujenga taifa huku. Lakini hadi mwisho wa juma hili, nakwambia tutazila hizo Patriots hadi mzibadili jina, probably mziite Traitor.