HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Mnaharibu vifaru ambavyo bado viko Germany?[emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2623867
Mnaharibu vifaru ambavyo bado viko Germany?[emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2623867
Tunazo kibao tu, mkuu. Sema sie tunangojea ile ^kaunda-hataki^ ya Zelensky, kwa sababu hizi dude siyo za vikazi vidogo vidogo vya AK47. Hatutaki kuzishushia hadhi.Kweli ila leo imeonesha hamna Hypersonic
Huku ni wapi tena, jamani? Mbona wenyewe wanasema hizo dude zina roho ya paka, hata ungezikwida kwa ICBM ngapi vile kwa mkupuo eti huziweki hata ki-dent kimoja?[emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2623867
Naomba nisihusishwe na madhara yoyote yatakayojitokeza frontline, maana nimeshatoa tahadhari mapema.Hali ya Bakhmut ni mbaya kwa Wanajeshi wa Ukraine. Vikosi vya Ukraine vimelazimika kutoka nje ya majengo mengi ya marefu wakati wa usiku, ili wasiweze kuzingirwa, baada ya timu za washambuliaji za PMC Wagner kuvunja ngome zao za ulinzi kwenye mtaa wa Levanevskogo
Ndiyo Maana Zelensiky, alikimbia mji hivi majuzi nini?yeye...Au labda yuko Frontline akiongoza majeshi ..
Mzgo kidogo kutoka nje laakin kipigo kinatengenezwa pale Russia.Russia spent at least 120 million dollars on today's night attack on Ukraine
The data was calculated by the Ukrainian outlet Economichna Pravda:
[emoji837] A Kalibr missile costs $6.5 million, i.e. the total cost of those fired at night (9 pieces) is $58.5 million.
[emoji837] A Kh-47 Kinzhal hypersonic missile can cost 10 million dollars and more, so the total cost of 6 launches is at least 60 million dollars.
[emoji837] Iranian attack drones Shahed-136/131, according to information in open sources, cost from $20,000 dollars up to $50,000 per unit. On average, six such UAVs cost $280,000.
[emoji837] A Russian drone "Orlan-10" costs $100,000, according to the General Staff.
[emoji837] There is no data on the price of the SuperCam drone in open sources, so it is assumed that it is close to the price of the Orlan-10 UAV. Therefore, three drones cost about $300,000.
So, in general, the missiles and drones launched over Ukraine on the night of May 16 cost about $119.08 million.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kazia kwa Maneno bila msaada kutoka kwa upinde.Russia spent at least 120 million dollars on today's night attack on Ukraine
The data was calculated by the Ukrainian outlet Economichna Pravda:
[emoji837] A Kalibr missile costs $6.5 million, i.e. the total cost of those fired at night (9 pieces) is $58.5 million.
[emoji837] A Kh-47 Kinzhal hypersonic missile can cost 10 million dollars and more, so the total cost of 6 launches is at least 60 million dollars.
[emoji837] Iranian attack drones Shahed-136/131, according to information in open sources, cost from $20,000 dollars up to $50,000 per unit. On average, six such UAVs cost $280,000.
[emoji837] A Russian drone "Orlan-10" costs $100,000, according to the General Staff.
[emoji837] There is no data on the price of the SuperCam drone in open sources, so it is assumed that it is close to the price of the Orlan-10 UAV. Therefore, three drones cost about $300,000.
So, in general, the missiles and drones launched over Ukraine on the night of May 16 cost about $119.08 million.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Leo una hasira kweli baada ya tegemeo lenu hypersonic kuwaangusha[emoji1787]Kazia kwa Maneno bila msaada kutoka kwa upinde.
Wanapigwa Vibaya na Mm sijawahi Kuona vita unayomwambia adui nitakuja kukupiga siku flani...Yaani Ni wababaishaji sanaHuyu alishasema kwamba, Ukraine wasipofanya counteroffensive, wafadhili wayavunjika moyo...
Sasa sijui hiyo counteroffensive itafanyikaje wakati Russia anashambulia kambi za wanamgambo wa Ukraine
Aisee Urusi wanaume sana aloo.!Less than $6 billion left of $48 billion aid package for Ukraine approved by US Congress in December - PoliticoView attachment 2623838
Hii maana yake kama watakuwa washirika maana yake mmarekani akileta ujinga hapo Taiwan tegemea mrusi kutia jeshi hapo uchinaMarekani imeshikwa na Tumbo la kuhara baada ya kusikia China inajiandaa kupeleka vikosi vyake Urusi [emoji845] Breaking news: USA in panic - China is preparing to send troops to Russia
[emoji1258] The United States is alarmed by news of [emoji630] China's plans to send its military to [emoji635] Russia. These data were published by Chinese journalists.
Relations between Russia and China have noticeably [emoji116]View attachment 2623809
Iko geolocated wapi?Mfano juzi wamesema wamelipua ammunition depo, ila video zote hakuna hata moja iliyokuwa geolocated ukraine.
Waliingia kwny mtego[emoji1]Large number of eliminated Ukrainian soldiers near Klishchiivka, near Bakhmut area.
After Russian forces retreated, Ukrainian forces advanced towards the trench line and then got shelled by Russian artillery