Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
WameyakanyagaWaliingia kwny mtego[emoji1]
WameyakanyagaWaliingia kwny mtego[emoji1]
Hili jeshi la urusi linalopigishwa danadana Ukraine? Au Kuna lingine[emoji848]Hii maana yake kama watakuwa washirika maana yake mmarekani akileta ujinga hapo Taiwan tegemea mrusi kutia jeshi hapo uchina
Wanajifanya kama hakuna kilichotokea haya watuambie pussying amebakiza silaha gani hatujui na haijaguswa
Hadi unazeeka hutasikia hiyo kitu
Kuna vitu vingine Kama akili yako Haina akili huwezi kuelewa Sasa yote yamedunguliwa halafu hao zima Moto walizima nn?View attachment 2623930
hawa jamaa wana asili ya ukichaa kidogoVIDEO
Kuonyesha Kuwa Ukrein na Mburula wake Wamejaa na Propaganda na Uongo kuliko Uwezo wao hii video Imeonyesha Vitu vikishuka Vizuri na Kushambulia Target bila Shida yeyote
na wao wanakuambia Wametungua Zote!!
Kuwa Mfuasi wa Ukrein/NATO lazima Ujitoe Ufahamu na Uwe kama Taahila fulani
View attachment 2624086
Wekeni evidence ya kapicha hata moja