jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini.Kuongezea tena
Russia wapo vizuri sana kwenye mifumo ya air defense. Tumeona jinsi S-200, S-300, S-400 na sasa hivi kuna hii S-500 air defense inayoweza ku locate object tokea huko Europe.
Tumeona pia Russia walivyo wazuri kwenye Electronic Warfare tokea kipindi kile Elon Musk analalamika mpaka sasa hivi USA na Ukraine wanasema kwamba HIMMARS zimekuwa non functioning kutokana na jamming.
Lakini eti kuna mpiga punyeto mmoja anakuja kuleta habari za eti Russia hakuna kitu, Russia wapo hoi.