Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona Dem kaanza kunyoa mavuzi kabla ya mechi[emoji3059][emoji3059][emoji3059]



[emoji298][emoji298][emoji298]Russian invaders are ‘evacuating’ people from the Zaporizhzhia region’s temporarily occupied areas to the places where they are setting up defensive lines and re-deploying military equipment and units, i.e. they are planning to shield themselves with civilians, according to Head of the United Coordinating Press Center of the Southern Defense Forces Natalia Humeniuk.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Twende kazi. Tunataka watu wajue Israel is a Russian?

comprehensive list of TV and radio stations that use Russian language in Israel:

TV stations:
1. Channel 9 – Russian-language channel broadcasting in Israel.
2. Israel Plus TV – broadcasts news, entertainment, and cultural programming in Russian.
3. RTVi – Russian-language channel that broadcasts news, documentaries, and entertainment programming from Russia and other countries.
4. TV Channel RUTV – broadcasts news and entertainment programming in Russian.
5. TeleVizion – broadcasts in Russian and Hebrew.
6. TV Channel 9 – broadcasts in Russian and Hebrew.
7. Channel 98 – broadcasts in Russian and Hebrew.
8. Channel 33 – broadcasts in Russian and Hebrew.

Radio stations:
1. Radio Israel Plus – broadcasts in Russian and Hebrew.
2. Radio Rus Israel – broadcasts in Russian and Hebrew.
3. Radio Darom – broadcasts in Russian and Hebrew.
4. Radio FM103 – broadcasts in Russian and Hebrew.
5. Radio Kol HaCampus – broadcasts Russian-language programming for students in Israel.
6. Radio Reka – broadcasts in Russian and Hebrew.
7. Radio UFM – broadcasts in Russian and Hebrew.
Hii inatusaidia Nini?
 
The cultural relationship between Russia and Israel is complex and multifaceted, reflecting the long and complex history of ties between the two countries. Here are some aspects of the cultural relationship between Russia and Israel:

1. Russian-speaking population in Israel: Israel has a significant population of Russian-speaking Jews, who immigrated to the country in the 1990s and early 2000s. These immigrants brought with them a rich cultural heritage, including language, literature, music, and art. Today, Russian is the third most widely spoken language in Israel, after Hebrew and Arabic.

2. Cultural exchange programs: There are a number of cultural exchange programs between Russia and Israel, which seek to promote mutual understanding and appreciation of each other's cultural heritage. For example, the Russian Cultural Center in Tel Aviv hosts regular events showcasing Russian culture, including concerts, exhibitions, and film screenings.

3. Education: There are a number of schools and universities in Israel that teach Russian language and literature, providing opportunities for Israelis to learn about Russian culture and history. Many Russian-speaking Israelis also study in Russian universities, deepening their understanding of Russian culture and society.

4. Literature: Russian literature has a significant presence in Israel, with many classic works of Russian literature translated into Hebrew and widely read. The works of Russian writers such as Leo Tolstoy, Fyodor Dostoevsky, and Anton Chekhov are particularly popular among Israeli readers.

5. Arts and music: Russian music and art are also appreciated in Israel, with many Russian musicians and artists performing in the country. The Israeli Philharmonic Orchestra has performed many works by Russian composers, and Russian art exhibitions are frequently held in Israeli galleries.

Overall, the cultural relationship between Russia and Israel is characterized by a deep and multifaceted appreciation of each other's cultural heritage.
Sawa, lakini vina uhusiano gani na hii vita?
 
Urusi haikuwa na sababu ya kufanya modernization kwenye high ranks zao. Unakumbuka yule mpumbavu aliyekuwa kamanda wa Crimea ile 2014 aliyeamuru wanajeshi wake wajisalimishe kwa majeshi ya Urusi?
Yule kasoma jeshi Urusi enzi za USSR, kaishi kule na alikuwa na makamanda ndani ya jeshi la Urusi ni marafiki including classmates. Kwahiyo Ukraine ilikuwa na simphesizers wengi ndani ya jeshi, serikalini na usalama.

Ukraine walichukia pale walipoacha Russia iichukue Crimea ila tena ikaifuata Donetsk na kisha Luhansk. Hapo ndipo general population ya Ukraine ikaichukia sana Russia na waliokuwa neutral au wana mafungamano na Urusi wakaona haifai.

Sharti mojawapo la NATO kwa Ukraine kuipa msaada wa kijeshi ni kuondoa legacy ya Soviet Union. Walibadiki sare, training na uongozi. Kwenye jeshi la Ukraine sijafanikiwa kuona kamanda mwenye miaka zaidi ya 55. Mkuu wa majeshi hajafika 50 nadhani, chuo katoka 2007, mkuu wa Intelligence yule Budanov ana kama 50, mkuu wa Eastern front namkubali sana sioni kama anafika 50, yule aliyeilinda Kyiv kwa tabu naye sioni kama anafika 50. In short Ukraine majenerali wake ni umri kama Zelensky.

Kitu chochote kinaongozwa na wazee wengi ila vijana + watu wa makamo wachache huwa sikiamini.
Ni sawa na TTCL, ATCL, TRC kuna wazee wamejaa huko hatari
 
Baadhi ya Silaha zilizotelekezwa na Jeshi bora la Dunia(kwa mujibu wa T-14 Armata).

Jeshi bora la Dunia sijui lilikumbwa na nini huko Afghanistan.labda T-14 Armata atueleze vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
images%20(24).jpg
Screenshot_20230507-150200_Chrome.jpg
 
Naanza kuwaamini wanao sema we kwako kila cha US ni bora na kila cha Russia ni dhaifu. We huoni kwa matukio yote kuna failure of intel agencies za taifa husika?

Kwamba US navy ship ikiwa nje ya US na ikawa bandari ya kiraia inakuwa sawa na lori la Azam pale Benaco linalosubiri kuingia Rwanda, unaweza kutoka unakotoka ukalipiga kibiriti?

Hivi kwa nchi kama USA taasisi zake za intelligence zinapaswa kurelax na kusinzia kisa nchi haiko vitani? Mi nilijua moja ya majukumu yao ya msingi ni pamoja na kudetect dalili za matukio hatarishi yakiwa katika hatua za awali za kupangwa na kudeal nayo!

Au gaidi hua anaamka tu na kujipakia milipuko na kwenda kulipua sehemu! Hamna chain of events ambazo CIA, NSA na DIA walipaswa kuzigundua mapema kwa issue ya USS Cole? Na je CIA, NSA na FBI hakuna kitu walipaswa kufanya kuiepusha nchi na Sept 11? Kama wali fail hapa US ni super power kwa uzembe huu wa taasisi zake za usalama?

Kama Putin tu huko aliko aliunganisha dots za kulipuliwa USS Cole na kuuawa kwa Ahmad Shah Masoud akahisi Alqaida wanapanga shambulio kubwa zaidi na akampigia simu Bush kumtahadhalisha kwanini wao Super power hawakuliona hili?

Kwa utetezi wako tuamini raia na assets za US haziko salama hata kidogo threat inapotokana na ugaidi? Unawakosea sana wana jukwaa waliokupa moyo na hisia zao man.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Maelezo safi kabisa haya.
 
Huyo jamaa ni kiazi kweli.Yaani anafikiri duniani watu wote watamsujudia huyo Marekani.Duniani kuna watu 8 billion..zaidi ya asilimia 95% wanaishi kwenye nchi zao.na maisha yanaenda...Anataka watu wote wakajirundike US...au??Washahili wanasema pilipili usioila yakuwashia nini...huyo jamaa anavyowasema warusi sijui maisha mabaya utafikiri wao wamemwambia wanatamani kuishi US....
Huyo jamaa hata usimjibu kabisa...hajielewi
Dah ila jamaa anashangaza sana kwa kweli.
 
Nguvu ya kupigana ya US tuliiona kule Vietnam, Afghanistan pamoja na Somalia.
Wale jamaa wana akili wana achana na vita wanazo ona hazina maslahi hata kama dunia itaona wameshindwa, ila kuna vita hawaachi. Kama iraq walipigwa na wakalipia cost ya vita na syria mpaka leo mafuta yao yatalipia gharama za kila kitu cha waarabu
 
Back
Top Bottom