Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukitaka kujua nguvu ya combat ya US angalia battle of feluja, ipo youtube na 2004 nadhani wanajeshi wa us walikua wana body cams uone risasi zinavo lia live
USA ni habari nyingine [emoji631][emoji631][emoji631][emoji631][emoji9[emoji631][emoji631][emoji631][emoji631][emoji631][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wale jamaa wana akili wana achana na vita wanazo ona hazina maslahi hata kama dunia itaona wameshindwa, ila kuna vita hawaachi. Kama iraq walipigwa na wakalipia cost ya vita na syria mpaka leo mafuta yao yatalipia gharama za kila kitu cha waarabu
Tatizo la urusi ni kutaka sifa za kijinga huku akiendelea kuchakazwa!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Anapambana na nchi zote wafuasi wa UsA wamepeleka siraha na wataaalamu lakini mpka Leo URUSI yupo tu. mimi nilifikiria haitazidi miezi mtatu atakuwa amefilisika. Hivi Urusi kumbe sio wa mchezomchezo hii jeuri anatoa wapi maana tumeaminishwa ukigombana na USA unaisha SASA Leo ni mwaka na zaidi hebu tutafakari Kwa pamoja bila ushabiki .Maana kupambana na ukreni +NATO +Australia+japani na Korea kusini sio jambo dogo
Mzee umenena haswa.
Kuna watu wanajifanya vipofu humu.
Eti Supapawa wa mchongo.
Wakati anapigana vita chotara na mataifa 37+ vita chotara ni vita vya moto+ vikwazo lakini kavimudu .wao ndio wanateseka.
Urusi iheshimiwe.
 
Shit happens ila tunalinganisha matukio yanayofanana. Ukisema balozi wa Marekani aliuwawa pale Libya nasema balozi wa Urusi aliuwawa pale Uturuki mwaka 2016 akiwa kwenye exhibition.
Hayo mengine yanatofautiana, mazingira ya hizo meli mbili ni tofauti ndio maana sijalinganisha na Kursk submarine disaster ambayo sailors zaidi ya 100 walikufa kwa kuwa ilikuwa ajari. Wala sijalinganisha na Admiral Kuznetsov kuwaka moto.

Kuvunjika kwa USSR hata iwe kazi za ndani au nje, bado ni failure ya KGB. Kwani hawakuwa na counter-intelligence.

Hakuna mkali wa kila kitu, ila Marekani ikulu yake haijawahi shambuliwa na drone. Wala flagship yake haijawahi zamishwa na adui, ingekuwa kuna aircraft carrier ya fleet yoyote imezama ndio tungelinganisha na Moskva.
Naomba nikupe evidence. Kwa maana data zinapingwa na data.

USS Liberty, was destroyed by Israel na members 34 waliokuwepo kwenye hiyo meli vita walikufa....attack killed 34 crew members

Hapo juu unasema kwamba hakuna USA Naval Flagship iliyowahi kushambuliwa... hapo nimekupa mfano mmoja. Ukitaka mwingine nakupatia.

#Punyeto sio kitu kizuri...
 
Hiyo ni electronic warfare, sio electronics industry. Electronic warfare ya Russia ni nzuri na platforms kama Krashukha zinafanya vizuri. Kati ya theater ambayo Russia wameonyesha uwezo mkubwa kuanzia mwishoni mwa 2022 ni uko.

Kwenye electronics Russia haiko among the best. Niliwahi waonyesha humu kati ya brands 15 za simu zinazouzika Russia tuonyeshwe made in Russia. Computers, cameras na vifaa vingine vya elektroniki Russia haina market share duniani.

Electronic warfare inaweza athiri Warusi kwa muda wakati wanaitumia. Wakifanya signal jamming ya band flani unakuta inawazuia na wao wasiwasiliane hivyo mwanzoni mwa operation hii hawakutumia sana. Mpaka baadae walipokuwa hawana movements sana ndio walianza itumia vizuri. Na Ukraine wana civilian drones ndogo nyingi kama FPV ambazo ni cheap na zinanunuliwa China za kutosha kama DJI na nyingine ni in-house hapo Ukraine.

Pia electronic warfare ya Russia ime-evolve kwenye hii vita. Hata defensive kama kuweka dragon teeth na trenches maeneo ya Crimea.

Kuna sehemu mbili Russia imewekeza zana tofauti nyingi ni air defense systems na electronic warfare platforms
Sasa wewe unaishi huku Ubungo TZ unaanzaje kujua electronics devices za Russia, kama sio fix tu. Unaishia kusema eti Russia hawana simu.

Okay, embu taja aina za simu zinazotoka UK, kama ndio swala la nchi kutokutengeneza simu basi inakuwa weak kwenye electronics.

#Punyeto ni mbaya sana...
 
Naomba nikupe evidence. Kwa maana data zinapingwa na data.

USS Liberty, was destroyed by Israel na members 34 waliokuwepo kwenye hiyo meli vita walikufa....attack killed 34 crew members

Hapo juu unasema kwamba hakuna USA Naval Flagship iliyowahi kushambuliwa... hapo nimekupa mfano mmoja. Ukitaka mwingine nakupatia.

#Punyeto sio kitu kizuri...
Sio kitu kizur kwa kweli
 
Wale jamaa wana akili wana achana na vita wanazo ona hazina maslahi hata kama dunia itaona wameshindwa, ila kuna vita hawaachi. Kama iraq walipigwa na wakalipia cost ya vita na syria mpaka leo mafuta yao yatalipia gharama za kila kitu cha waarabu
Ujui kitu wewe kuhusu vita wala chochote kile.

Hayo mafuta kuyatoa kutoka Syria kwenda Marekani unayasafirisha vipi maana bandari ipo chini ya vikosi vya serikali.au utayasafirisha kwenye ndege?.

Acheni kusikiliza story za kwenye kahawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mbaya mno
Huyu jamaa ni mpiga punyeto tu.

Kuna swala la comparative advantage. Nchi haiwezi kujitosheleza kwa kila kitu kwa 100%. Hata hao US kwenye chips wanategemea toka Taiwan na China... je utasema US wapo weak kwenye electronics?

Russia wamewekeza kwenye energy... nuclear energy russia is number 1, kwenye gas Russia is number 1.. huko ndiko kwenye advantage kwao..

Na ndio maana nchi zinakuwa na bilateral agreements na nchi rafiki ili ziweze kusaidia kwenye maeneo ambayo ni weak kwako na strong kwa mwenzako.

Nachoona mimi punyeto imemuharibu kichwa kabisa.
 
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi na vifaa vya kivita vya kielektroniki vimezuia mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za Ukrain kwenye mji wa bandari wa Sevastopol huko Crimea usiku kucha; jumla ya drones kumi zilitumwa kushambulia Crimea & Sevastopol usiku mmoja: hakuna hata moja iliyotekeleza shambulio.
 
Kipigo kimeshuka kwenye Air defence huku.
The Russian army destroyed the American air defense system Avenger - the first footage In the Ugledar direction, Russian loitering ammunition destroyed the American Avenger air defense system, which the Pentagon recently sent to Kyiv to protect against UAVs.
 
Yanaenda iraq aliko wapiga kwanza ndio yana safirishwa. Ndio umuhimu wa ku win war sio battle
Ujui kitu wewe kuhusu vita wala chochote kile.

Hayo mafuta kuyatoa kutoka Syria kwenda Marekani unayasafirisha vipi maana bandari ipo chini ya vikosi vya serikali.au utayasafirisha kwenye ndege?.

Acheni kusikiliza story za kwenye kahawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuongezea tena

Russia wapo vizuri sana kwenye mifumo ya air defense. Tumeona jinsi S-200, S-300, S-400 na sasa hivi kuna hii S-500 air defense inayoweza ku locate object tokea huko Europe.

Tumeona pia Russia walivyo wazuri kwenye Electronic Warfare tokea kipindi kile Elon Musk analalamika mpaka sasa hivi USA na Ukraine wanasema kwamba HIMMARS zimekuwa non functioning kutokana na jamming.

Lakini eti kuna mpiga punyeto mmoja anakuja kuleta habari za eti Russia hakuna kitu, Russia wapo hoi.
 
Back
Top Bottom