Yet another step closer to unprecedented nuclear world war. Ukraine wakipewa long-range missiles lazima warushe ndani ya mipaka ya Russia (mipaka ya sasa 🙂 na ile ya zamani).
Let them continue giving them hopeless hope until the blood of the last Ukrainian is shed in the deadly battlefield. Not until then will the warmongers be fully satisfied with sacrificing countless lives of innocent people.[emoji298][emoji298]Russia’s full-scale invasion of Ukraine has galvanized Ukrainians into action, compelling them to figure out how they can contribute to their country’s victory. Oftentimes, it has called for a radical departure from the known comforts of their daily lives.
That’s exactly what happened to Ukrainian writer Victoria Amelina.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pro-Russia pitieni hapa....Jamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...
Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).
All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.
Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
Ukipenda boga penda na ua lake.NAMPENDA SAMIA ILA SIPENDI UPOLE WAKE
Kwa hiyo ndiyo kusema wanajeshi wa Ukraine wanachungulia kwa mbaaaaliiii kama nguchiro walionyeshewa masika, sasa inabidi jamaa aseme upande wa Urusi wako hoi ili adui avutike aingine kwenye kumi na ^tar-two^ yao? Ahah! Kweli vita ni mbinu, by Sun Tsu. 🙂Kama ni Propaganda huyu Mjuba ndo kiboko ya NATO anawaingiza sana chaka. Uliza baada ya kusema hivo nini kiliwakuta Manazi na counta offensive yao.
USSR ilikuwa na nchi ngapi na ikabaki Urusi na unataka ilingane idadi ya watu!!? We jamaa kiazi sana...Hauna option zaidi ya kukasirika maana ukiamua kutetea hoja yako huwezi, njoo na data hapa badala ya kuniita chenga.
Russia mwaka 1992 wakati USSR inavunjika ilikuwa na watu milioni 148, mwaka 2022 ilikuwa na watu milioni 144. Mlishajiuliza kwanini tangu 1992 hadi 2022 kuna upungufu wa watu milioni 4?
USSR ndio nchi ya kwanza duniani kuruhusu utoaji mimba mwaka 1920 miaka hiyo kipindi kutoa mimba ni kosa la jinai nchi za Ulaya, tena mwaka huo Ufaransa ilipiga marufuku kutumia hata njia za uzazi wa mpango. Kuna miaka mimba zilizokuwa zinatolewa Urusi ni nyingi kuliko watoto wanaozaliwa.
Bado unaongeza ulevi wa kupindukia, ajari za barabarani nyingi (mlishajiuliza kwanini magari ya Urusi yalizingatia sana dash cam?), ugumba kwa wanaume, lower life expectancy, talaka za kutosha; hapa Urusi ina talaka nyingi mno kwa miaka mingi na ukitaka kujua hilo, tangu V.I. Lenin afariki maana yeye ndio alikuwa na familia yake mpaka mwisho, sikumbuki kiongozi wa Urusi kuishi na familiaView attachment 2611918
Stalin mke wake alijiua, mtoto wake alifanya makusudi auwawe Ujerumani na mwanae mwingine alikimbilia Marekani. Yani nyinyi mnaona Urusi ya maana ila watoto wa vigogo wanaitoroka sana hiyo nchi. Putin mwenyewe hakai na familia na alimtariki mke wake, in fact ni vigumu sana kuona kiongozi wa Urusi kaambatana na mke wake na familia, hata picha si rahisi kuziona.
Mnaipenda Urusi na hamuijuiView attachment 2611922
Mkuu!Nini maana yako!Kwa hiyo ndiyo kusema wanajeshi wa Ukraine wanachungulia kwa mbaaaaliiii kama nguchiro walionyeshewa masika, sasa inabidi jamaa aseme upande wa Urusi wako hoi ili adui avutike aingine kwenye kumi na ^tar-two^ yao? Ahah! Kweli vita ni mbinu, by Sun Tsu. 🙂
Kadyrov also posted an image of his letter to Putin “to issue combat orders on the removal of Akhmat units from other directions in order to hand Wagner positions in Bakhmut over to them.”“The Wagner PMC has very good, courageous, necessary, necessary people, necessary to us, because they know the area,” Kadyrov said in a video message Saturday. “If you stay with us, I promise you that we will give you more, create better conditions, than you have today. We will try to make everything top notch for you.”
Relax.We jamaa mbona hauweki comment zako binafsi zaidi ya kuquote watu ukiwatetea wapendwa wako? Kuwa huru, Jf hawatozi ushuru kwa comment huru
Hivi Vita vya sasa huenda vikawa mwanzo wa Urusi mpya hasa kisiasa zaidi kama Putin ataondoka mamlakani na mrithi mpya asiwe miongoni mwa wahafidhina wenzake.Hauna option zaidi ya kukasirika maana ukiamua kutetea hoja yako huwezi, njoo na data hapa badala ya kuniita chenga.
Russia mwaka 1992 wakati USSR inavunjika ilikuwa na watu milioni 148, mwaka 2022 ilikuwa na watu milioni 144. Mlishajiuliza kwanini tangu 1992 hadi 2022 kuna upungufu wa watu milioni 4?
USSR ndio nchi ya kwanza duniani kuruhusu utoaji mimba mwaka 1920 miaka hiyo kipindi kutoa mimba ni kosa la jinai nchi za Ulaya, tena mwaka huo Ufaransa ilipiga marufuku kutumia hata njia za uzazi wa mpango. Kuna miaka mimba zilizokuwa zinatolewa Urusi ni nyingi kuliko watoto wanaozaliwa.
Bado unaongeza ulevi wa kupindukia, ajari za barabarani nyingi (mlishajiuliza kwanini magari ya Urusi yalizingatia sana dash cam?), ugumba kwa wanaume, lower life expectancy, talaka za kutosha; hapa Urusi ina talaka nyingi mno kwa miaka mingi na ukitaka kujua hilo, tangu V.I. Lenin afariki maana yeye ndio alikuwa na familia yake mpaka mwisho, sikumbuki kiongozi wa Urusi kuishi na familiaView attachment 2611918
Stalin mke wake alijiua, mtoto wake alifanya makusudi auwawe Ujerumani na mwanae mwingine alikimbilia Marekani. Yani nyinyi mnaona Urusi ya maana ila watoto wa vigogo wanaitoroka sana hiyo nchi. Putin mwenyewe hakai na familia na alimtariki mke wake, in fact ni vigumu sana kuona kiongozi wa Urusi kaambatana na mke wake na familia, hata picha si rahisi kuziona.
Mnaipenda Urusi na hamuijuiView attachment 2611922
Hii ni sawa na kusema ushindi wa Ukraine unawezekana ndoto-wise tu. Hatari sana. Ukweli, but Comedian na Mbepari lazima wavunge upofu hapa.Huyu Orban, Zake yeye ni kupasua jipu kila kukicha 🤗
🇭🇺⚡Hungarian Prime Minister Orban believes that only in a fairy tale can there be a situation in which Russia will be defeated...
CNN are beginning to begin to be sensible and truthful finally.Shi Eni Eni ah sorry ni CNN...
View attachment 2610930
CNN: Strike on the Kremlin shows the war is heading for a major escalation and Ukraine is in danger of collapse
▪️Washington Post columnist and CNN contributor Frida Gitis writes:
"Whatever is happening in the night sky over Moscow is another sign that it will be a very hot spring for Ukraine, the fighting will enter a new, more intense phase that could decide the outcome of this terrible war."
Anapambana na nchi zote wafuasi wa UsA wamepeleka siraha na wataaalamu lakini mpka Leo URUSI yupo tu. mimi nilifikiria haitazidi miezi mtatu atakuwa amefilisika. Hivi Urusi kumbe sio wa mchezomchezo hii jeuri anatoa wapi maana tumeaminishwa ukigombana na USA unaisha SASA Leo ni mwaka na zaidi hebu tutafakari Kwa pamoja bila ushabiki .Maana kupambana na ukreni +NATO +Australia+japani na Korea kusini sio jambo dogoujinga wa Putin anafikiri ana silaha ambazo wengine hawana - ni kipigo cha mbwa koko, kifupi hatoboi. Huwezi kupigana vita mwaka na nusu sasa na ka nchi kama Ukraine, ni aibu.
End of it kila siku malalamiko ooohh NATO, ooohh US, ooooh watu wa Magharibi wabaya - dadeq
Wakati huo huo Majeshi ya adui yakizozana, Majeshi ya kizalendo ya Ukraine yakizidi kujidhatiti katika mji wa Bukhmut leo... VITA NI MIPANGO.
![]()
Ukrainian soldiers walk in a trench near Bakhmut, Ukraine [File: Libkos/AP Photo]
Kajinga hako katoto...Hatuwezi kurudi zaidi ya page miambili kutafuta hio habari, lakini lazima ujiulize Kwa nini hawasemi HIMARS ndio aliandika habari hio lakini wewe mkuu?.
Hapa pia kumuita Russia ni Supor power uchwara ndio maana watu wengine wanaamua kukejeli kua wewe nimpiga punyeto, huwezi kuiita nchi iliyowekea sunction na mataifa zaidi ya 31 lakini nizaidi ya mwaka uchumi wake unaendelea kuimarika.
Pia kama kweli Russia ingekua Supor power uchwara kama unavyosema wewe, hao super power waukweli wangeweka no fly zone Ukrein, lakini wameshindwa na hawawezi kuweka. Lakini pia tungeyaona yaliyotokea Iraq, Yugoslavia nakwingineko kote ambapo walikusanyana kwenda kuwapiga wanaowaita madikteta.
Kushindwa kwahayo kunaonyesha nikiasi gani wanaiogopa Russia ambayo wewe unaiita Supor power uchwara.
Kapiga U-turn [emoji28]Prigozhin said that the operation of the Wagner group had fulfilled its task in Bakhmut. According to him, the goal of the Bakhmut meat grinder was not to take the city, but to grind the units of the Armed Forces of Ukraine. He said that 95% of the territory of Bakhmut is now under the control of Russian forces, and the remaining 5%, according to him, "do not play any role". He said that he doesn’t care about being in the history books as the one who took Bakhmut, he cares about serving his own people — RIA
Ni mwendo wa kichapo tu [emoji28]Mtwango unaendelea..... hapo ni karibu na mji wa Soledar, Donetsk jana 06/05/23
Multiple blasts have rocked Russian-annexed Crimea with a pro-Moscow official accusing Kyiv of launching more than 10 drone attacks, as air raid sirens also blared for several hours overnight across most of Ukraine.
![]()
Ukrainian service members of the 10th Mountain Assault Brigade 'Edelweiss' fire a D-30 howitzer towards Russian troops at a position in a front line, amid Russia’s attack on Ukraine, near the town of Soledar, Donetsk region, Ukraine, May 6, 2023 [REUTERS/Sofiia Gatilova]