Jamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...
Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).
All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.
Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.