kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mpaka wazipate zitakuwa zimewagharimu sana,na ukiangalia staili ya makombora yalivyorushwa Leo,ni wazi hizi system zinamtia urusi kiwewe na kumuingiza hasara pia[emoji116][emoji116][emoji116]Kweli mnaziwinda na ipo siku mtazipata
Kwa ufupi patriot battery ilitema pod 2 zoteMpaka wazipate zitakuwa zimewagharimu sana,na ukiangalia staili ya makombora yalivyorushwa Leo,ni wazi hizi system zinamtia urusi kiwewe na kumuingiza hasara pia[emoji116][emoji116][emoji116]
Russia launched an overnight air strike of “exceptional intensity” on Kyiv, according to the Kyiv City Military Administration. The administration defined exceptional intensity as the “maximum number of missile attacks in the shortest time span.”
Learn more: Air strike of “exceptional intensity” hits Kyiv on May 16
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Duh!Kwa ufupi patriot battery ilitema pod 2 zote
Moto umekataLess than $6 billion left of $48 billion aid package for Ukraine approved by US Congress in December - PoliticoView attachment 2623838
Na kibaya zaidi channels za vyombo vya habari vya Urusi vikafungiwa na Nchi za magharibi ili zisitoe habari zozote kuhusu mwenendo wa vita nchini Ukraine - badala yake MSM zao masaa yote zinatangaza kwamba Ukraine is winning!!!Watu husahau kwamba Russia nao wana mitambo ya satelite angani na wao pia hutumia hiyo mitambo kiufanisi.
Hivyo, wakiona shehena yaingia Ukraine wao huilia "timing" na kutuma makombora kuharibu.
Ila vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimeambiwa kuweka pembeni misingi ya kutoa habari.
Wahuni sio watuKwa ufupi patriot battery ilitema pod 2 zote
Hapo lazima wajambeMarekani imeshikwa na Tumbo la kuhara baada ya kusikia China inajiandaa kupeleka vikosi vyake Urusi [emoji845] Breaking news: USA in panic - China is preparing to send troops to Russia
[emoji1258] The United States is alarmed by news of [emoji630] China's plans to send its military to [emoji635] Russia. These data were published by Chinese journalists.
Relations between Russia and China have noticeably [emoji116]View attachment 2623809
[emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]