Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mamlaka ya Kyiv imezima live camera zilizokuwa zikionyesha live kwenye mitandao maeneo mbali mbali ya jiji la Kyiv. Hii ni bada ya kusemekana kwamba urusi ilitumia camera izo kutambua location ya mifumo ya ulinzi wa anga ya Kyiv.
Sasa kama Patriot imeharibiwa si muendelee kurusha makombora maana anga la Kyiv halina ulinzi.
Swala jingime kama Kinzal haitunguliwi na Patriot hizo 6 mlizorusha kyiv zimepiga wapi maana target yao ni kui destroy Patriot na ziko mbili tu kyiv sasa kinzal 6 za nini?
 
Habari njema sana hii. The Sun is actually rising from the East!
 
Toka mwanzo wa hii operation ni kupambana na NATO siyo Ukraine, Urusi anarusha pale akiona pana vifaa vya NATO ambavyo anavipinga miaka mingi kuwa karibu nae, sasa kama hiyo Patriot ameiharibu arushe kupiga nini?, Ataendelea kurusha akiona pana mkusanyiko mwingine wa vifaa vya NATO.

Hili la Kinzhal sita Urusi amesema hajarusha hizo hivyo wewe kuuliza zimetua wapi unaungana na Urusi kuwa hazikuwa Kinzhal bali ni maofisa wa Ukraine kuweweseka na kipigo wanashindwa kutambua ipi ni Kinzhal na mwisho wa siku kwenye picha wanaonyesha zege la zamani kuwa limedondoshwa.
 
The head of the office of the President of Ukraine Ermak reports that the air defense is working and urges not to post videos from the sites of Russian missile strikes.
If the defense system works as they bragged about, why then are they so concerned that the videos of its performance are being posted on the internet?

They should let the onlookers help them do free advertisement for their supposedly formidable, potent ADS!
 
I mean, these reckless politicians should also tell their blind followers to begin ^withdrawing their valuables and money from the bank,^ because, as it turns out, WW3 is just at the door.

NB: Wameona vizuri kwamba mfumo wa air defense ya Marekani ni kama toy tu. Sasa wameamua kufanya their last resort.
 
Unamaanisha mashambulizi yote kipindi chote cha vita kuelekea kyiv ni kushambulia silaha za Nato.
 
Are you serious?!?!?? Yaani wewe unadhani wangesema vinginevyo?! Yaani waseme eti Russia imeharibu kabisa Patriot yao?!
 
Kwahiyo tuseme kuwa baada ya ku destroy Patriot hatutasikia tena mashambulizi kuelekea kyiv maana lengo la kuipia Patriot limetimia na ndio silaha ya pekee iliyopo hapo kyiv.
 
Unamaanisha mashambulizi yote kipindi chote cha vita kuelekea kyiv ni kushambulia silaha za Nato.
Rejea matukio yote ya mvutano mpaka kupelekea kuanza kwa haya mashumbulizi, pia rejea baadhi ya matukio wanajeshi wa Ukraine wakikutwa bila upinzani walikuwa wanaachwa warudi kwenye familia zao lakini wao lazima wawaue ama wawafanye mateka.
Mpaka sasa viongozi wa Urusi wanasema wazi kuwa kuzidi kupelekwa siraha huko Ukraine ni kurefusha pambano na kulifanya liwe kali zaidi.
Hivyo Urusi huko anapiga vifaa vya kijeshi vya NATO na wapiganaji wa kigeni walioenda kupigana na Urusi lakini mwenyeji ukiwa eneo la tukio nawe utaondoka na maji.
 
Huwezi ku destroy patriot system ila unaweza uka damage part kwasababu yeneywe sio kifaa kimoja kama himars ni different part spread over an area
 
Repair by Ukraine specialist uwongo, hao Ni USA specialist, wako hapo Ukraine nafikiri operators (USA) watakuwa walidunguliwa pia, tayari hizo silaha zitakosa soko uko duniani na Russia atauza sana silaha zake uko duniani.
Rusia auze silaha zipi? Jana kafunga jela scientist 3 wa hyperso
Russia spend $4 million ( Dagger) or kinzhai missile to destroy $1+ billion USA made patriotic defense system. Kwa hesabu hiyo Russia anatumia gharama ndogo sana kuharibu uchumi wa magharibi.
 
Kwahiyo tuseme kuwa baada ya ku destroy Patriot hatutasikia tena mashambulizi kuelekea kyiv maana lengo la kuipia Patriot limetimia na ndio silaha ya pekee iliyopo hapo kyiv.
Kama wapiganaji wa kigeni wapo Kyiv yatarushwa tu, kama kuna utunzaji mwingine wa siraha yatarushwa tu, kukoma ni pale watatoa vitishio vyote kwa Urusi
 
Hivi bado unabishana na hawa vijana wanaolipwa na NATO? Unapoteza muda wako bure. Afadhali bora ukalale tu, utapata afya, mkuu?
 
[emoji298]️At the Council of Europe summit, French President Macron announced the creation of an international register of damage caused to Ukraine since the beginning of the full-scale Russian invasion, the AFP News Agency reported.

The Register of Damage from Russian Aggression will operate in the Netherlands. It will record evidence of damage and claims for compensation.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…