President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mkuu nani anahitaji kuambiwa kwamba Urusi inataka kushambulia Ukraine?Kwani uliambiwa Urusi anataka kuishambulia Ukrain mkuu? Urusi inataka Donbas iwe free ili iwe kinga yake dhidi ya nchi za NATO...maana Ukrain ameshawishiwa hadi akamgeuka Urusi...
Umemaliza.Kuna mfumo wa maasi Mungu anataka kuuangusha.
duhh chezea russia wewe ...Nataka kuweka Video za Milipuko ya Odesa Muda huu Mode mme fix Site ya Picha &Video kulikoni?
Hahahaha haki nimecheka yaaaaniShambulizi Kali kabisa la warusi karibu na Bukhmut liliwafanya waukraeni watimue mbio sio za dunia hii ili kisalimisha maisha yao. Eneo walilokuwa wameliteka tayari limerudi Kwa warusi.
View attachment 2625681
Warusi wa Bakhmut wanachosha. Tunasikia tangu miezi 8 au 9 eti Waukraine wanakimbia, Urusi inashinda. Hadi leo hawakumaliza bado?? Mji mdogo kama huo??Hahahaha haki nimecheka yaaaani
Kiuhalisia bakhmut ishakwenda 1.3 skm remain out of 1860 skmWarusi wa Bakhmut wanachosha. Tunasikia tangu miezi 8 au 9 eti Waukraine wanakimbia, Urusi inashinda. Hadi leo hawakumaliza bado?? Mji mdogo kama huo??
Ila Waukrain miji Yao Ina majina aiseeKiuhalisia bakhmut ishakwenda 1.3 skm remain out of 1860 skm
Hii video inatishaVIDEO TAHADHALI YAPICHA
View attachment 2625818
Hali nimbaya kwa Wanajeshi wa Ukrein huko Bakhmut
Wamezingirwa Kwenye Jengo Na hawana pakutokea
Si utulie tu Mkuu, sio lazima uchangie..!!!...sometimes kama huna la kuandika/kujibu kuwa msomaji tuWarusi wa Bakhmut wanachosha. Tunasikia tangu miezi 8 au 9 eti Waukraine wanakimbia, Urusi inashinda. Hadi leo hawakumaliza bado?? Mji mdogo kama huo??
VIDEO TAHADHALI YAPICHA
View attachment 2625818
Hali nimbaya kwa Wanajeshi wa Ukrein huko Bakhmut
Wamezingirwa Kwenye Jengo Na hawana pakutokea
Watiwe kiberitiVIDEO TAHADHALI YAPICHA
View attachment 2625818
Hali nimbaya kwa Wanajeshi wa Ukrein huko Bakhmut
Wamezingirwa Kwenye Jengo Na hawana pakutokea
Vitu muhimu kwenye patriot ni radar na hizzo luncher basi.[emoji845][emoji635][emoji1255][emoji631] #Russian Ministry of Defense:
[emoji845] According to reliably confirmed data, on May 16, as a result of a strike by the "#Kinzhal" hypersonic missile system in Kiev, a multifunctional radar station was hit and completely destroyed, as well as 5 launchers of the #PATRIOT anti-aircraft missile system manufactured by the United States. #UkraineView attachment 2625890