Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwenyewe binafs nilivoona vile kashangaa... Japo sikutaka kureply papo hapo... Inakuaje unatafuna maneno yako ya jana...

Hao Generals wamefikaje uwanja wa vita...
Ndio maana kuna watu wengine wakianzisha nyuzi JF wanazitia codes au wanatumia lugha tofauti, au hawatoi replies kabisa. Pale nimeacha mwanya wa mtu ajiulize mwenyewe kwanini vifo vya Russian Generals huwa vina utata na mara nyingi hutokea baada ya operation/vita fulani. Nilitarajia kuona maswali kwanini baada ya Crimea 2014 vifo vyao viliongezeka. Kwanini military reform ilivyoanza na majenerali wengi kubadilishwa vifo vyao viliongezeka. Hapo tunazungumzia KGB na military yao, ukirudi nyuma kwenye historia kuna military purges zilifanywa na Stalin mwishoni mwa 1930s before hajaingia WW2.
 
Huh hilo nalo n tatizo.... World z full of Illusions... Mengi tunayoyaona na kuyasikia sio uhalisia wake kbs...

Sasa apo nikuulize labda swali... Achilia mbali kinachoweza kua kinaendelea nyuma ya pazia...

Na we unaamini kua Jeshi la Ukraine limeua Mageneral kwenye hii vita nchin Ukraine yaaani ndani ya uwanja wa kivita?
 
Nasubiria za kirusi halafu putin kala rushwa mbona hapigi vikwazo natamani aanze na mbolea
 
haha umbea wa mponza
 
Watu kama nyinyi shuleni tulikuwa tunawekeana hela na kusaini nani anasimamia kipi kisha tunaenda tafuta ukweli. Nilikula hela zao mpaka wakafikia hatua hawataki kubishana na mimi. Ukitaka kuwa mbishi au mpinzani successful kwanza lazima uwe na akili, ndio maana atheists kina Kiranga na Scars huwa wanashindwa kujibiwa kwa kuwa wana akili.

Nimesema picha hiyo ni ya deputy wa head of 5th Service, ya msaidizi sijaipata mtandaoni (labda ulete screenshot ya video, ambayo sijaileta iko blurry na hiyo sio picha). Wewe unasema eti picha ni ya Head wa 5th Service. Hujui tofauti ya Head of... VS Deputy Head of...

Again, hufai kuwa mbishi
 
Hii Dunia ilivyo na mambo ya ajabu na mengine yaliyofichika UNAWEZAKUTA HUYU ZELEINSKY ALIYEJIKITA KIMAGHARIBI ZAIDI HUENDA NI PANDIKIZI LA RUSSIA LILILOTENGENEZWA MIAKA MINGI KWA AJILI YA KUIRUDISHA HIMAYA YA USSR HATA KAMA SIO KWA NCHI ZOTE.

Mungu angeleta App ya kubaini yaliyo sirini hakika kungekuwa na mishangao sana.

Nawaza tu jamani hivyo tuchukuliane tu hivyohivyo
 

Kauli ya uoga sana hii [emoji28][emoji28]
 
Majenerali gani wanaenda uwanja wa vita. Kufanya nini sasa, hakuna General anaendesha kifaru wala ndege wala gari wala kurusha risasi. Sasa frontline anaenda kufanya nini
 
Unafiki gani??? Kwanza unaleta ushuhuda unaojadili "people" au "watu". HAta kama ni wanajeshi, si watu??? Halafu hata kama wangeandika "raia" - nyosha Kiswahili chako. Raia ni A) mtu mwenye uraia wa nchi, B) mtu asiye mwanajeshi. Wanajeshi ni "raia" wa nchi yao kwa maana ya A); - sasa kilio cha nini??
 
Namna jengo lililokuwa likitumika kisirisiri kutoa commands za kijeshi za jeshi la Ukraine mkoani Kyiv lilivyoshambuliwa na kuangamizwa kwa kutumia makombora yenye shabaha zaidi

Kwa hiyo majenerali wa Ukraine wameungua mpaka wamekua majivu dah wa Soviet wakichukia wanaweza kuua binadamu mmoja na bomu la kubomelea madaraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…