Hatari,hatarii,hataariii.Toka mwanzo wa hii operation ni kupambana na NATO siyo Ukraine, Urusi anarusha pale akiona pana vifaa vya NATO ambavyo anavipinga miaka mingi kuwa karibu nae, sasa kama hiyo Patriot ameiharibu arushe kupiga nini?, Ataendelea kurusha akiona pana mkusanyiko mwingine wa vifaa vya NATO.
Hili la Kinzhal sita Urusi amesema hajarusha hizo hivyo wewe kuuliza zimetua wapi unaungana na Urusi kuwa hazikuwa Kinzhal bali ni maofisa wa Ukraine kuweweseka na kipigo wanashindwa kutambua ipi ni Kinzhal na mwisho wa siku kwenye picha wanaonyesha zege la zamani kuwa limedondoshwa.
Moderator waache kuzingua aisee!Sasa wanabania nini?.Moderator nini kimetokea kwann Mmezuia kuweka Picha na Video
Mkuu, bado unasumbuka na hao vichwa ngumu? Aisee! Una moyo kweli. NATO na Marekani wameshaapa kwamba wanachotaka wao ni kuishinda Russia. Suala la Ukraine ni chambo tu. Ajenda yao ni kubwa kuliko SMO.Kwani uliambiwa Urusi anataka kuishambulia Ukrain mkuu? Urusi inataka Donbas iwe free ili iwe kinga yake dhidi ya nchi za NATO...maana Ukrain ameshawishiwa hadi akamgeuka Urusi...
Aisee!Huruma imeniingia ghafla.VIDEO TAHADHALI YAPICHA
View attachment 2625818
Hali nimbaya kwa Wanajeshi wa Ukrein huko Bakhmut
Wamezingirwa Kwenye Jengo Na hawana pakutokea
Si lazima kumtukana, mkuu. Weka tu hoja yako, inatosha; naye atakuelewa, bila shaka. Matusi hukufanya wewe ndiye uonekane katika sura husika ya matusi yako.Mpiga punyeto Kipanya atakuja na zile taarifa zake za "Jana tumewachinja 650+"
Ulitaka zelensiky ampokee mjumbe kutoka china? Masihara haya!Sasa hivi Foreign Minister ndiye ana attend wageni.... je Bwana Zelensky yuko wapi...?
Hakuna mnururisho wa juu nchii Poland!Radiation from Ukraine Reaches Lublin, Poland!
16 MAY 2023
Radiation and poisonous Uranian Dust has reached Lublin, Poland, from the ammunition dump hit in Ukraine last Friday. In that Ammo dump was about $500 Million of Depleted Uranium tank shells supplied to Ukraine by Britain. Now, the radiation and the poisonous dust, has reached Lublin Poland.
Levels of radioactivity shown on the graph above, were measured at the Maria Curie Skłodowska University in Lublin (Poland). This indicates that dust from the uranium ammunition was blown by the wind from Khmelnitsky to Lublin.
2 days, 400 km away . . .
Those who were outdoors and breathes the poisonous, radioactive, dust, are highly likely to suffer serious respiratory illness, and later, lung cancer. Now that the dust has arrived, and some of it presumably settled on the ground, rain will carry it into ground water, where it will quietly POISON the water for decades.
Women who drink the water, especially while pregnant, will likely miscarry (lose) the baby, or see it born with hideous birth defects.
All this because NATO couldn't mind its own business, and stay out of the Ukraine-Russia fight. NONE of this had to be.Yes,this is what the West wanted,killing it's own people.I believe it's time for citizens of the West to wake up and flush out their leaders from their offices,otherwise the way things are going,most, if not all of them will be exterminated.
Leo mko makini sana kwenye uchaguzi wa maneno, mkuu. Hii ni baada ya kuumbuka sana jana. ^PROBABLY!^The Russians attacked the Ukrainian capital, probably using Kh-101 or Kh-555 cruise missiles.