Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,883
- 7,496
Ha ha haMarekani yaruhusu Ukraine kupewa Ndege Vita
Rais wa Marekani, Joseph Biden akiwa Japan kwenye mkutano wa G7 amesema ametoa ruhusa na atashirikiana na nchi zingine kuwafundisha Marubani wa Ukraine matumizi ya ndege vita aina ya F16. Hapo jana Pentagon ilisema kuwa wanajeshi wa Ukraine walioenda kwa ajili ya mapitio juu ya uwezo wa...www.jamiiforums.com
Ndege zitafanyaje? Wap challenger,leopard na Abrams?Ndege 50 za F16 zatolewa kwa ajili ya mafunzo. Nasisitiza ni za mafunzo. Za field (Counter offensive) ni siri yetu.
Zelensky Kanyaga twende mwana wani!!.
Àchana naye huyo punyeto mbaya Sana kwa vijana.Mathanzua yuko mbali sana kumlinganisha na ww...habari zake huwa ni credible...zilizo balance...zenye ubinadamu ndani yake...kwa kifupi Mathanzua yuko mbele yako a 1000 times kwa uwezo wa kuchambua habari na kuleta andiko hapa lililoshiba ...
On the other hand ww habari zako unazotupia humu nyingi za kubumba...mm nakumbuka siku ya kwanza tu ww kuingia humu...uliingia na utaalam wako wa Physics ukatubeba ohhh Russia hana hypersonic...haiwezekani kabisa kuwa na hypersonic sijui due to heat generated .. yaani ulimwaga upupu humu wa kutosha na kila alieku challenge ulimbishia kabisa...ila leo hapa dunia nzima inaongelea hypersonic...vyombo vyote Magharibu wanaongea lugha moja...the might Kinzhal...the unstopable KINZHAL..
basi tokea day 1 ulishapoteza mbaya humu...
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hawa ndo walokuwa brain washed kuamini kwamba kila west anachofanya ni kizur na kila adui ni mchina mrusi au muarab na wao ndo waokozi wa dunia. Wakati ni opposite kabisa wao ndo maadui wa dunia kwa miaka mingi sana na mpka elimu yao na na tecnological advancement zao nyingi ni imported. Superiority iko kwenye pesa zao tu tena kwa unyonyaji wao ila pia ilo linabadilika saivi. Ipo siku watakaa chini na kujutia haya wanayo support ipo siku.....hv ww ni Mtanzania kweli aisee...??..hv unapata faida gani kushusha hadhi ya ubongo wako kwa ajili ya evil West..??..
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Habari za chini chini ,Leo ni siku ya 43 toka kamanda wetu atoweke kusipojulikana.
Swali la kujiuliza, Yupo wapi kamanda wetu.yupo ardhini au angani?View attachment 2627776
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Assad removed his interpreter earpiece during Zelensky's speech at the Arab League summit. Lol.View attachment 2627861
Hataki kumsikiliza TejaWATU WANAZARAU
AU ANAJUA KI UKRAINE [emoji28][emoji28]
NI KWAMBA JAMAA ASHAURIKI
Huyo ni miongoni mwa wale ambao hutumika na mabeberu kukandamiza nchi zinazoendelea na hasa Afrika. Ni kibearaka wa mabeberu na huenda analipwa kwa kuleta propaganda humu. Mabeberu wana mbinu nyingi sana miongoni mwa hizo ni kuwatumia baadhi ya watu ndani ya nchi zinazoendelea katika kujenga hoja za kibeberu na za kipropaganda. Baadhi hufanya hivyo kwa malipo na wanakuwa kwenye payroll ya vyombo vya kijasusi kama CIA. Watu wa aina hii wamekuwa brainwashed kwa kiwango cha juu kabisa. wewe fikiria huyu anavyotumia muda mwingi kwenye uzi huu kwa kuandika upuuzi mwingi. Anatumia muda mwingi sana na huenda ndiyo hivyo tena analipwa na huwezi kumbadilisha kwani yuko kazini. Kwenye mgogoro huu wa Russia na Ukraine nchi za magharibi zinatumia mamilioni ya pesa katika propaganda Wameingilia mitandao yote dunia nzima na hata kwenye mainstream media nako wana watu wao. Kwa hiyo 'kubishana' na watu kama hawa you are just wasting your time. Wako kwenye payroll.hv ww ni Mtanzania kweli aisee...??..hv unapata faida gani kushusha hadhi ya ubongo wako kwa ajili ya evil West..??..
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app