Expert proof of uranium dust contamination inMkuu hujaelewa. Mimi ni ZMEI змей yaani zimwi wa Kirusi. Hujui zimwi wa Kirusi huwa na vichwa vingi, lakini ni mmoja?
View attachment 2634468
Ukumbuke: ZMEI wa kweli wanampuuza zmei bandia anayekalia Kremlin kwa sasa.
Wewe rudi kwenye Covid , tukubane mbavu, naona umepata sehemu ya kutanua ...Expert proof of uranium dust contamination in
Eastern Europe.
Dangerous Depleted Uranium Cloud toward Europe: Expert’s Proofs! - VT Foreign Policy
by prof. Paolo Scampa Expert in the 'Nuclear Physics-N.B.C.R. Environment & Health' research field. The links to the Gospa News articles have been added afterwards VERSIONE IN ITALIANO Dr. Chris Busby, a renowned British nuclear expert, in a recent interview with Sputnik confirms that a cloud...www.vtforeignpolicy.com
Unibane mbavu mimi Microbiologist,tena niliyebobea,una utani weweee............!Halafu mimi kwa taarifa yako nipo kwenye fani zote.Wewe rudi kwenye Covid , tukubane mbavu, naona umepata sehemu ya kutanua ...
SMO iendeleeeWakati Japan akiwa kikaoni pale mjini G7
China kaibuka kuwa kinara wa utengenezaji wa magari Duniani kakzidi Japan [emoji23][emoji23][emoji23]
China replaces Japan as world’s top car exporter – media
The country’s sales in the first quarter jumped by nearly 60% year-on-year, according to Nikke
China became the world’s largest car exporter in the first quarter of 2023, Nikkei news outlet reported this week, citing data from the China Association of Automobile Manufacturers.
According to the report, Chinese car exports in January-March soared by 58% against the same period in 2022, to 1.07 million units.
During this period, the former top exporter, Japan, sold 950,000 vehicles.
Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
usisahau kuvuta na bangi mixer heroine ......afu uje utupe data za tuliwa chinja 700....[emoji16][emoji16][emoji23]Tutazidi kuwachinja kadri iwezekanavyo! Naenda kulewa nikirudi nawapa takwimu za waliochinjwa!
Aluta continua!
afu wew unaa akili kumbe kuwa chinja warusi inatakiwa uvuruge akili kidogo .mkuu [emoji23][emoji23]Tutazidi kuwachinja kadri iwezekanavyo! Naenda kulewa nikirudi nawapa takwimu za waliochinjwa!
Aluta continua!
funguka mkuu ina maana gani hii picha nimeiona lakini hiyo CODE ni ngumu kuvunja....
Hii Bakhmut imepatikana kwa gharama kubwa mno, counter offensive ikianza na ikarejeshwa itakuwa pigo kubwa mno kwa supa-pawa.Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
Counter Offensive mtapigana na mishale au maana msaada wote umelipuliwaHii Bakhmut imepatikana kwa gharama kubwa mno, counter offensive ikianza na ikarejeshwa itakuwa pigo kubwa mno kwa supa-pawa.
Hata Ukraine imelipa gharama kubwa kuutetea mji huo maana brigedia zake zaidi ya 16 zimeteketea na silaha za mabilion ya$ hapo bado hatujaongelea mamruki kutoka nchi za Magharibi walio kuwa wanapigana upande wa Ukraine kwenye mji huo.Hii Bakhmut imepatikana kwa gharama kubwa mno, counter offensive ikianza na ikarejeshwa itakuwa pigo kubwa mno kwa supa-pawa.
Tunaomba tuone hapaKumbe ile meli Urusi walitoa video moja tu, ila zingine 2 hazijatolewa na zimeonesha meli imepigwa.
Uwezekano wa Ivan Khurs kuwa anaogelea ni mkubwa sana
Zombie Apocalypse?Yeah,jamaa wanaogopa Zombie Apocalypse kweli kweli.Wamewafanya Binadamu wawe Zombies(misukule) sasa wanaogopa tena kuwa misukule hiyo itawavamia,ajabu sana.Hivi misukule yako inaweza kukugeuka kweli Mshana Jr. na kukuvamia,hebu tupe picha.
Hawa jamaa kazi yao Kwa Sasa ni kutafuta kitu Cha kujiliwaza. Video yenyewe hii hapa lakini haionyeshi meli ikipigwa .Tunaomba tuone hapa