Yaani Urusi unailinganisha na Iraq na Libya kweli? Waulize Wajerumani watakupa taarifa za Urusi kwa undani kuhusiana na WWIIGadafi na Sadam Hussein kabla ya vifo vyao walikuzwa kupita kawaida lakini kilichokuja kutokea kila mtu anajua.
Marekani na NATO hufanya mambo kwa akili sio ushabiki.
Russia hafai......Sasa kama anasema vita haijaanza....vip ikija kuanza itakuaje[emoji23][emoji23][emoji23]Mrusi anapo sema Bado hajaanza Vita Ramsi Nikweli na Hatanii
leo jioni Kiev imepokea Pigo moja Takatifu na walizuiwa kupiga picha lakini kwa maajabu walio yaona haikuwa Na budi
[emoji845]Unknown Russian missiles caused severe hysteria in Kiev - NATO radars, AVACS and air defense systems out of order
Another massive strike by the Russian Aerospace Forces actually confirmed the helplessness of Western air defense systems in the face of Russian strike systems[emoji116]View attachment 2641725
Possible USA wanataka mambo kama haya. Jibu la Swali la una nini ghalani? Miaka mingi imepita, teknolojia imekua, una nini ghalani? Ndo maana wanachochea moto taratibu. Uwanja ushapatikana, Ngoja tuone.Mrusi anapo sema Bado hajaanza Vita Ramsi Nikweli na Hatanii
leo jioni Kiev imepokea Pigo moja Takatifu na walizuiwa kupiga picha lakini kwa maajabu walio yaona haikuwa Na budi
‼️Unknown Russian missiles caused severe hysteria in Kiev - NATO radars, AVACS and air defense systems out of order
Another massive strike by the Russian Aerospace Forces actually confirmed the helplessness of Western air defense systems in the face of Russian strike systems👇View attachment 2641725
SahihMchawi lughaView attachment 2641648
Kwani si mliita operation wenyewe hamjakatazwa kui term vita. Badilisheni tu.Martial law should be declared in Russia - Ramzan Kadyrov. "Use all intended combat resources to wipe out this entire terrorist cell at once, without resorting to the phrase 'Ukrainian military'. There are no military and politicians in Ukraine - only terrorists".
Vipi umeenda mazishi ya askari wa NATO?bunker ilipigwa na kinzal
Wajerumani wamekasirika kwa sababu kitu kimetumwa kwenye handaki ikawa maliza maaskari wa NATO[emoji298]The German government told Russia to close four out of its five consulates in Germany in retaliation for Moscow’s expulsion of German staff in Russia, the Associated Press reported on May 31.
According to the German Foreign Ministry's spokesperson Christofer Burger, this move will create a “parity of personnel and structures” between the two countries.
Learn more: Germany orders closure of 4 out of 5 Russian consulates after Moscow expels German staff
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app