Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanza si kweli kuwa ktk defn ya 'urge' neno persuade limetumika kama tafsiri (screenshot 1).

Pia neno 'persuade' maana yake si kusisitiza/kuhimiza kama ulivyodai. Na wala ktk maelezo yangu sikusema 'persuade' maana yake ni kuomba

Sasa rafiki yangu, kama hata maana ya neno 'persuade' ktk kiswahili nayo hujui?! Mie nitakusaidiaje? Nachelea kusema kuwa utakuwa ulisoma sekondari ya Kata.

Any way, ngoja nikusaidie tu kwa mara ya mwisho. Maana ya persuade ni kushawishi (na nimetumia maana hiyo ktk koment yangu ya awali, screenshot 1). Maana hiyo yasapotiwa na kamusi ya english-swahili hapo chini (screenshot 2).


 
Taking cover unaita kukimbia. Ukikutana na artillery strikes au makombora unatoka eneo la impact, after the strikes unarejea kwenye deployment area iliyokuwa inashambuliwa. Hii ni picha ya Ukraine ila kuna video clip ya Russia wakikimbia kutoka kwenye armoured vehicles zao juzi pale mjini Kiev walipoingia blindly kwenye artillery range
 
Sijaelewa hata unachoweka. Nadhani upo nje ya mada sasa. Basi ubishi uendelee
Ulionyesha treni kutoka Urusi - nilisema sawa, wanauza kiasi - ila si high ech wala ni wauzaji wakubwa kwa sababu treni ni sawa si bora. Hawauzi nyingi kutokana na kukosa ubora. Ubora ni wa treni ni China, Ufaransa, Ujerumani, Korea, Japani, MArekani.
Vyote vya Urusi ni sehemu ndogo ya biashara inayotegemea hasa malighafi, si tasnia ya juu.
 
Sijui kama unafahamu kuwa una maneno ya dharau kwa kidogo unachofahamu?.

Anyway sawa, mm nimesema maana yake ni kuhimiza/kusisitiza na wewe umesema si kweli sijui sababu nimesoma kata na tafsiri sahihi ni kushawishi sasa bado kuna tofauti kubwa ya neno kushawishi na neno kuomba tafsiri ambayo uliisema mwanzo. Umeniponda na wewe umejikosoa.

Sasa tuachane na darasa la Kiswahili na Kiingereza, tunaaribu mada tu. Kama ni muhimu sana basi tumalize kwa kusema upo SAHIHI na mm Sipo sahihi.
 
Mkuu kwa hiyo ukiwa watoka kwenye eneo la impact baada ya kuona makombora, unatoka kwa mwendo upi? Kutembea kama vile harusi, au kwa kutimua mbio (kukimbia)?
 
Kwenye BRICS kuna Brazil, Russia, India, China na South Africa. Kati ya hizo hakuna nchi hata moja ambayo itaachana na mifumo ya dunia eti ikajiunge na Russia, kwa lipi hasa?

Kwanini unalazimishwa EU wazuie gesi ya Urusi, kwanini usilazimishe Urusi izuie gesi yake. Mbona unawapangia EU vikwazo vya kuiwekea Urusi. Kumbe wao tu ndio unaona wana uwezo wa kuweka vikwazo. Makampuni ya Western yamejiondoa Urusi na hakuna kampuni ya Urusi imejiondoa kwenye soko la dunia ukiachana na baadhi ya mabenki yao yenye vikwazo yaliyojiondoa EU.

Baada ya miezi usikimbie huu uzi. Hakuna nchi itaishi peke yake kama mchawi, lazima uuze na ununue bidhaa kwingine. Ukishakuwa na restrictions unayumba
 
Urge ni sihi
Persuade ni shawishi

Kusihi ni kumuomba na kushawishi ni kutongoza au kubembeleza.

Maana zake ziko tofauti kidogo maana kusihi ni kama kuna lazima usipokubali ila kushawishi hakuna lazima usipokubali.

Twende na maada

Putin malizia kazi
 
👍👍
 
Mzee unafikiria kwa kutumka kalio.
Umesema Russia wana export raw materials tumekuonesha end products uneanza kuleta upumbavu.
Russia siyo africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…