jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Hyo counter-offensive inafanyikia wapi? Na wamerudisha hata mita moja? Vita so tumekubaliana inaenda kuishia cremia.Toka counter-offensive kuanza mpaka sasa hakuna faida yoyote ile iliyopatikana.wakiferi tu hii counter-offensive basi wategemee kuchukuliwa maeneo zaidi
Bugucha nilishalisemea na mimi hili jambo hapa.Hii ni vita kati ya Nuru na giza na binadamu lazima waamue nani watamtumikia na kumuabudu.Hata hivyo unfortunately,the few who worship Satan as their God have a huge impact on the lukewarm,who believe they are worshipping the true God,but are actually worshipping Satan without knowing,so Satan has a huge following.Because of this Russia itafurukuta weee.....,but will eventually loose to Satan a.k.a the West.Umesema kweli kaka,mm nachojua hivi vita mwisho wake utaamuliwa binadamu wachague nan waabudu,this is spiritual war, na ni lzima watu wachague kati ya Mungu,au ibilisi
Amemuwahi vipi? Mbona Finland wameingia NATO wakati vita inaendelea na Finland wapo karibu zaidi na Russia, Sweden kwa mujibu wa jana tayari Erdogan wanafanya mazungumzo na NATO nayo iweze kwenda zake NATOZelensky hakuwa kusitasita kujiunga na nato ni kitu alikuwa ana kita kwa muda mrefu hila movement zake zote russia alikuwa anaziona na alivyoona anakaribia kujiunga akamuwahi
Nilitegemea ulete habari za largest counteroffensive ya neo Nazi kwenye five fronts mashariki mwa Ukraine ya usiku wa kuamkia Leo...!!!Ukraine will achieve success and return the strategically important territory, — US
Sio 250 mkuu,nasikia wameuliwa zaidi ya 1200!Nilitegemea ulete habari za largest counteroffensive ya neo Nazi kwenye five fronts mashariki mwa Ukraine ya usiku wa kuamkia Leo...!!!
Nadhani, wamepata walichokitafuta. Vifo vya askari zaidi ya 250 kwa muda wa masaa 2-5 si habari nyepesi kupokelewa na pro neo nazis!!!
Hii counteroffensive naona inashindwa na nafikiri nchi wanachama wa NATO zimeanza kukubaliana na hali halisi.Jana ukraine ilifanya counter attack kubwa huko zaporozinye na maeneo mengi warusi wakajirudisha nyuma makusudi na kuachia vijiji kama viwili ukraine ikafanikiwa kuviteka vile vijiji lengo la urusi ni kuwaacha wanajeshi wa ukraine watoke huko mapolini na waingie kwenye vijiji ambavyo urusi ilijiondoa.na kweli ukraine walifanikiwa kuingia na kujimwamba fai wamekomboa kumbe ulikuwa mtego kwao walipewa kipigo kikali mnoo ndani ya muda mfupi tu urusi ikavirudia tena vile vijiji na kuacha ukraine kwenye hasara kubwaaa
Umepanik broSio 250 mkuu,nasikia wameuliwa zaidi ya 1200!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu unahitaji kweli kukimbilia NATO wakati huna majibu kwa maswali sahili sana?Ndivyo kumbe NATO amekutumeni ili kuchunguza aina na idadi ya silaha za Mrusi? ^You will hear us soon!^ ~ in Bush Jr's voice.