Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Malengoya Putin ilikuwa kuchukua Kyv na Zenensky akimbie nchi,sio kutwaa vitongoji vya pembeni:Ukisikia mtu kaongea kinyume ndo wewe Sasa.🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃
You nailed it!Malengoya Putin ilikuwa kuchukua Kyv na Zenensky akimbie nchi,sio kutwaa vitongoji vya pembeni:
Tujikumbushe malengo ya Putin:
Kyv iwe Chini yake na raisi Zenesky akimbilie uhamishoni.
Kilichojiri:
Msafara WA vifaru,magari ya deraya na supplies uliokuwa na urefu wa km 60 ulifutika.
Wanajeshi wengi WA Russia na washirika waelekea jongomeo.
Mrejesho:Kyv Bado ipo chini ya Ukraine.
Zenensky Bado ni raisi wa Ukraine na yupo huru kusafiri kwenda popote duniani.
Mytake:Kama Russia malengo yake hayajatimia na amepata hasara kubwa,Hiyo sio kuchezea kichapo?
Ha haaaaaKwanini zelensky asiwaombe kikosi Cha expendables kikiongozwa na Rambo
Kikamsaidie pale Ukraine [emoji23][emoji23]
Nyumba zimegeuzwa samaki.Muonekano mpya wa mji wa KhersonView attachment 2649251View attachment 2649252
Ngoja nieke kituo hapaUrusi yaduwaza Ulimwengu kwa kutumia pesa kiduchu kuendesha vita ya Ukraine licha ya mafanikio yake makubwa vitani
Russia yastaajabisha Ulimwengu kwa kutumia kiasi kidogo mno cha pesa kwenye vita ya Ukraine licha ya mafanikio yake makubwa kwenye kutwaa ardhi na miji mbalimbali ya Ukraine ikiwemo Bakhmut. Economist yasema Urusi inatumia 3% ya GDP yake, sawa na Dola bilioni 67 tu, kiwango ambacho ni kidogo...www.jamiiforums.com
Weka mambo hadharani, kwanini unaita watu pm?!Tigo Postpaid Bando za bei nafuu sana kwa Tsh 15 unapata Gb 15 mwezi mzima , karibu pm kwa maelezo zaidi. Na kujiunga
Mbwa ashukuru majeshi ya Ukraine kuokolewa Kwenye mafuriko Nova Kakhovka
...
Rescued💔
Photo: Serhii Korovainyi
View attachment 2649022
Ukiwa mwanajeshi huwezi vaa sendo ukiwa mapumziko?wanajeshi wamekaa sendo