lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Dah!😧Taarifa ya waziri wa ulinzi wa Russia.
🇷🇺⚔️🇺🇦Sergei Shoigu: Today at 1.30 am in the Zaporozhye direction, the enemy attempted to break through the defense with the forces of the 47th mechanized brigade numbering up to 1,500 people and 150 armored vehicles.
The enemy was detected in a timely manner, a preemptive strike was carried out by artillery, aviation and anti-tank means.
In all four directions, the enemy was stopped and retreated with heavy losses, — Shoigu
❗️As a result of the two-hour battle, the enemy lost 30 tanks, 11 infantry fighting vehicles, up to 350 personnel - Shoigu reports
The reserve forces specially prepared by Kiev to carry out a breakthrough in the Zaporozhye direction did not fulfill their task — Shoigu
❗️AFU lost 945 people, 33 tanks, 28 infantry fighting vehicles and 38 armored fighting vehicles on June 7 — Shoigu
@DDgeopolitics
Muulize kuhusu bandari ya DSM hajui ila anajua aina ya kemikali iliyo ndani ya base za nuclear huko ukraine na zinatunzwa vipi.Ila wabongo sisi wanafiki sana tunajenga hoja nzito kuchambua mambo yanaendelea kwenye nchi za watu ikiwemo nchi za ulaya na africa.
Ila mambo yetu ya ndani yaliyopo nchini kwetu hata hatutaki kuyajua na wala hatujengi hoja nzito tunapozungumzia masula ya ndani.
Wapo watu humu ni wabobevu wanajua mambo ya ndani ya Urusi,Marekani,china Ukraine,Kenya ,Rwanda kuanzia uwekezaji wao, akiba ya fedha zao za kigeni, siraha zao inshort KILA kitu wanakijua.
Ila ukija kwenye mambo yetu ya ndani izo hoja nzito hatuzioni.....
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Mataifa 30+ Kwa Taifa 1!!
Urusi Aheshimiwe Hawa watu wapo vizuri Kivita
na Wote tumejionea Vifaa vyake Vilivyo Bora Kwenye Uwanja wa Kivita
tuombe Tu mungu Uvumilivu Alio nao Putin Aendelee nao
lakini Siku Akishindwa/Kuchoka Kuvumilia Uchokozi wanao mfanyia
na Akatoa Mzigo hata mmoja wa Nuklia Ujue ni Janga
Siraha za Mrusi Habahatishi Nihatari kweli kweli!
MUNGU IBARIKI URUSI
Weka hapa hiyo video au umeshindwa kudownload?Nimeangalia Video zaidi ya 20 Kuhusu Counter ya Ukrein
kiukweli Ukrein Kabondwa kweli kweli
yaani Unaangalia Video huku Unabubujikwa na machozi ya Furaha jinsi Urusi anavyo Bonda Mpuuzi!
Ukrein Kabondwa kweli kweli
Weka hapa hiyo video au umeshindwa kudownload?
Tuliopo mbali na uwanja ngoja tuendelee kufuraia propaganda.
Vip Eukrain hadi sasa imepoteza wangap mkuu ??Tunazidi kuwachinja warusi! Mpaka saa wamefika 200,000+
Counter-offensive imekuwa mwiba kwa Ukraine.wakimaliza tu kufanya counter-offensive yao basi wategemee kupoteza maeneo zaidi maana Warusi watawashambulia maeneo mengi tuTuliopo mbali na uwanja ngoja tuendelee kufuraia propaganda.
Hayo ndio mafunzo waliyopewa na Supapawa wao usaShida wanaenda kama manyumbu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unategemea nini kitawakuta.
EEEH Mungu tunakushukuru kwa ajili ya Mwamba Vladimir Vladmirovic PutinMataifa 30+ Kwa Taifa 1!!
Urusi Aheshimiwe Hawa watu wapo vizuri Kivita
na Wote tumejionea Vifaa vyake Vilivyo Bora Kwenye Uwanja wa Kivita
tuombe Tu mungu Uvumilivu Alio nao Putin Aendelee nao
lakini Siku Akishindwa/Kuchoka Kuvumilia Uchokozi wanao mfanyia
na Akatoa Mzigo hata mmoja wa Nuklia Ujue ni Janga
Siraha za Mrusi Habahatishi Nihatari kweli kweli!
MUNGU IBARIKI URUSI
Hahahahahaha.....! Endeleeni kudanganyana, Ukraine ndiyo inaondoka hivyo mkuu! Mtabakia kusema mnawachinja mnawachinja, mtakapoamka toka isingizini hamtakuta taifa linaloitwa Ukraine!!Tunazidi kuwachinja warusi! Mpaka saa wamefika 200,000+
Mpaka miji yote iwe magofuWarusi wa buza vipi Operation yetu ya kijeshi nchini Ukraine inamalizika lini?