Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Toka counter-offensive kuanza mpaka sasa hakuna faida yoyote ile iliyopatikana.wakiferi tu hii counter-offensive basi wategemee kuchukuliwa maeneo zaidi
Mkuu!sidhani...mwaka jana walichukua Khakiv,Kupiansky,Kherson city,Lyman but Rusia katika ofensive yake ya January to April kafanikiwa kuchukua Bhakmut na vijiji vyake(hajarudisha kati ya miji tajwa hapo juu)
 
Katika mapigano ya hivi sasa ni wazi NATO troops ndio wana play a pivotal role katka kuendleza vita hii, jeshi la Ukraine vipigo walivyo tandikwa na jeshi la Urusi hawana manpower ya kuendelea kutuniana misuli na jeshi la Urusi -ujeuri huu wanapewa na NATO troops leaders ndio maana wengi wao wanakufa kama nzinge, si ajabu wengi wao wanapewa mafunzo kidogo ya kijeshi na kuambiwa waende front line - ndio maana vifaru vingi na magari ya lijeahi ya Merikani yametiwa kiberiti na Warusi.
 
Agenda ya Marekani siijuhi
 

Lancet ndio kitu kinawaumiza vichwa wamagharibi mpaka sasa.....
Hii kitu ishapita na Chui kadhaa za kijeremani.
Well said mkuu, be blessed - kama unavyo sema Lancent ni drone matata sana na haikosei shabaha sijui Warusi wanatumia explosive charge za formula gani -sio very high explosives za kawaida wanaongezea na fragments zenye uwezo mkubwa wa kinetic energy ya ku-penetrate kila kitu hapa Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…