Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bloomberg:
Russia resumed oil supplies to North Korea, despite UN sanctionsThe US is concerned that renewed cooperation between Moscow and Pyongyang could include sending weapons from North Korea to help the Kremlin.

US sijui wana akili gani. Yaani wanatarajia kabisa eti North Korea au China au Iran eti zisishirikiane na Russia.

Yaani hizo nchi ziwe upande wa westerns.

Hii ni akili au matope.
 

Vitebsk-25 Electronic Warfare System. Huu mzigo ukifungwa kwenye helicopter manipads zote zinageuka mawe yanayorushwa na manati. Juzi Ka-52 imezi defuse missiles 18 zote zikadondoka chini kama maembe. Soon tutaanza kuiona shughuli ya helicopter zote za Urusi frontline. Leopard na Bradley jiandaeni kuanza kuchomwa kama mahindi​

Mkuu hii habari imenifurahisha kuliko neno furaha....tafadhali kama unaijua vzr hii electronic warfare inavyofanya kazi hebu idadavue vzr hapa au ifungulie thread kabisa ..tupate maarifa zaidi.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Sio TU china,hata Korea Kaskazini na Irani,hizi nchi zinachukiwa sana na USA,hivyo zinajua akishindwa Urusi wao ndio watafuata.
Na kushindwa kwao itakua rahisi kwa sababu Urusi itakua imeshshindwa.
Kwa mtazamo huo hizo nchi zikiona Urusi anazidiwa ama NATO wakiingia TU,haihitaji mwaliko kutoka Moscow.zitaingia kwa lazima.
Usisahau wengi tutajiunga upande wa Urusi
 
Sio TU china,hata Korea Kaskazini na Irani,hizi nchi zinachukiwa sana na USA,hivyo zinajua akishindwa Urusi wao ndio watafuata.
Na kushindwa kwao itakua rahisi kwa sababu Urusi itakua imeshshindwa.
Kwa mtazamo huo hizo nchi zikiona Urusi anazidiwa ama NATO wakiingia TU,haihitaji mwaliko kutoka Moscow.zitaingia kwa lazima.
Na hapo lazima west wakakishwe chini; umeusikia kauli ya mwamba
 
Mkuu Macron ninafiki balaa - we ona anavyo wachezea wa EU wenzake, kutaka kuhudhulia mkutano wa BRICS anatumwa hapo na US kama shushushu ili wajua BRICS ina mipango gani ya ziada ya kuihujumu World Bank, IMF nk. Hana maana kabisa Macron.y
Unadhani BRICS watamkubali? Kwamba BRICS ni wajinga kiasi hicho? Sidhani
 
Vyombo vya habari vina usenge mwingi sana
1686715935160.png
 
Ukiangalia Kwa ukaribu ....ni kama hii vita ilikuwa calculated na Putin ana Allies wake

Coz now days western supremacy inazidi kushuka day to day ......Kila nchi inajitafuta kivyake.......Uganda wanamtishia marekani as well as Saud Arabia

Nmecheka sana kuwa macron kaomba kuhudhuria BRICS summit [emoji23][emoji23][emoji23]
Uko serious Macron kaomba kuhudhuria Brick Summit ?
 
Ukraine watumia mbinu za kivita zilizotumiwa na Majeshi ya Marekani nchini Iraq kwenye "Counter Offensive"na kuleta mafanikio:
.....
Unapoteza muda wako kusikiliza habari kutoka ivyo vyanzo.ukiona habari kutoka Marekani au kiev ujue hapo unapigwa na kitu kizito.

Hata kama wanachezea kichapo awawezi kusema ukweli.
 
Ukraine watumia mbinu za kivita zilizotumiwa na Majeshi ya Marekani nchini Iraq kwenye "Counter Offensive"na kuleta mafanikio:
.....
Siyo Ukraine watumia mbinu za Marekani! Kuweni wazi kwamba Marekani, NATO na washirika wao wapo vitani dhidi ya Urusi! Vifaa vita vinavyotumika ni vyao, mbinu zinazotumika ni zao!, Wameshakamatwa na kuuwawa maeneo ya tukio nadhani ni ushahidi tosha Marekani na washirika wake ndiyo wanaopigana na Urusi! Hawatashinda!
 
Back
Top Bottom