Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,106
Kwa huu muda mfupi niliotupia huu uzi sina uhakika hata kama umepata muda wa kufungua na kusoma.ProRussians always mnakurupuka tu kujibu na kubisha.Unapoteza muda wako kusikiliza habari kutoka ivyo vyanzo.ukiona habari kutoka Marekani au kiev ujue hapo unapigwa na kitu kizito.
Hata kama wanachezea kichapo awawezi kusema ukweli.
Ushauri kwa ProRussians wa mchongo:
Unapotaka kujibu jipe muda kusoma ndio ujibu!