Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bloomberg:
Russia resumed oil supplies to North Korea, despite UN sanctionsThe US is concerned that renewed cooperation between Moscow and Pyongyang could include sending weapons from North Korea to help the Kremlin.

US sijui wana akili gani. Yaani wanatarajia kabisa eti North Korea au China au Iran eti zisishirikiane na Russia.

Yaani hizo nchi ziwe upande wa westerns.

Hii ni akili au matope.
 
Mkuu hii habari imenifurahisha kuliko neno furaha....tafadhali kama unaijua vzr hii electronic warfare inavyofanya kazi hebu idadavue vzr hapa au ifungulie thread kabisa ..tupate maarifa zaidi.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Usisahau wengi tutajiunga upande wa Urusi
 
Na hapo lazima west wakakishwe chini; umeusikia kauli ya mwamba
 
Mkuu Macron ninafiki balaa - we ona anavyo wachezea wa EU wenzake, kutaka kuhudhulia mkutano wa BRICS anatumwa hapo na US kama shushushu ili wajua BRICS ina mipango gani ya ziada ya kuihujumu World Bank, IMF nk. Hana maana kabisa Macron.y
Unadhani BRICS watamkubali? Kwamba BRICS ni wajinga kiasi hicho? Sidhani
 
Uko serious Macron kaomba kuhudhuria Brick Summit ?
 
Unapoteza muda wako kusikiliza habari kutoka ivyo vyanzo.ukiona habari kutoka Marekani au kiev ujue hapo unapigwa na kitu kizito.

Hata kama wanachezea kichapo awawezi kusema ukweli.
 
Siyo Ukraine watumia mbinu za Marekani! Kuweni wazi kwamba Marekani, NATO na washirika wao wapo vitani dhidi ya Urusi! Vifaa vita vinavyotumika ni vyao, mbinu zinazotumika ni zao!, Wameshakamatwa na kuuwawa maeneo ya tukio nadhani ni ushahidi tosha Marekani na washirika wake ndiyo wanaopigana na Urusi! Hawatashinda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…