Kwa huu muda mfupi niliotupia huu uzi sina uhakika hata kama umepata muda wa kufungua na kusoma.ProRussians always mnakurupuka tu kujibu na kubisha.Unapoteza muda wako kusikiliza habari kutoka ivyo vyanzo.ukiona habari kutoka Marekani au kiev ujue hapo unapigwa na kitu kizito.
Hata kama wanachezea kichapo awawezi kusema ukweli.
Leopard 🐆 kachakazwa mbaya kabisa 🤣🤣🤣 kweli urusi sio KibaigwaKuna mtu atakuja kusema sio Leopard bali ni trekta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mwambieni aangalie kwa makini View attachment 2651779View attachment 2651781
[emoji23][emoji23][emoji23] sisi tunaweka video na picha kwa jinsi hali ilivyo uwanja wa vita.nyie mnaongea maneno matupu.Kwa huu muda mfupi niliotupia huu uzi sina uhakika hata kama umepata muda wa kufungua na kusoma.ProRussians always mnakurupuka tu kujibu na kubisha.
Ushauri kwa ProRussians wa mchongo:
Unapotaka kujibu jipe muda kusoma ndio ujibu!
Hahahahahah warusi wahuni sana wameamua kuwapa kipigo kwa silaha zao wenyewe 🤣🤣🤣Vifaa vilivyotekwa na Warusi vyaanza kutumika kuwaadhibu wenye vifaa, Ukraine, ha ,ha, ha...
View attachment 2652372
British 155-mm self-propelled guns AS-90 of the Ukrainian military is working on Russian positions in the east
Kwa mtu mwenye akili ni ngumu kuamini maneno yanayosemwa kutoka kiev.Bakhmut hadi dakika za mwisho walikuwa wanasema ipo mikononi mwao wakati ishanguka kitambo.Kwa huu muda mfupi niliotupia huu uzi sina uhakika hata kama umepata muda wa kufungua na kusoma.ProRussians always mnakurupuka tu kujibu na kubisha.
Ushauri kwa ProRussians wa mchongo:
Unapotaka kujibu jipe muda kusoma ndio ujibu!
Hii si haki kabisa aisee 😂😂😂Hahahahahah warusi wahuni sana wameamua kuwapa kipigo kwa silaha zao wenyewe 🤣🤣🤣
Macron mwehu yule hakuna kumkaribishaUkiangalia Kwa ukaribu ....ni kama hii vita ilikuwa calculated na Putin ana Allies wake
Coz now days western supremacy inazidi kushuka day to day ......Kila nchi inajitafuta kivyake.......Uganda wanamtishia marekani as well as Saud Arabia
Nmecheka sana kuwa macron kaomba kuhudhuria BRICS summit [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee kweli ni TUA ngomaRussia siyo Zimbabwe
Tuendelee kukumbushana
Hizo 300 ndio zipo Hapo kwenye picha? Na zimeharibiwa katika mazingira gani? Tupe link tujisomee[emoji91]
Glory to Ukranian's defenders!
So far 300 Russian's Helicopters destroyed!
...
View attachment 2656848
Muache ajifurahishe huyoHizo 300 ndio zipo Hapo kwenye picha? Na zimeharibiwa katika mazingira gani? Tupe link tujisomee
Toka Mwanzo wa vita:Hizo 300 ndio zipo Hapo kwenye picha? Na zimeharibiwa katika mazingira gani? Tupe link tujisomee
Wataje.Himars jana imeondoka na watu maarufu
Hatumkaribishi mkuu!🤣Macron mwehu yule hakuna kumkaribisha