Hatma yenyewe ndio hii 👇🚮Hatma ya Ulimwengu wa leo na kesho Upo hapa, ukitaka nuna ila ukweli ndiyo huu
View attachment 2656711
US President Joe Biden welcomes NATO Secretary-General Jens Stoltenberg to the Oval Office on June 13 [Jonathan Ernst/Reuters]
Warusi Wa NYOKWEE 🙄🤣🤣💫 Tunazidi kuwachinja warusi. Jana wamechinjwa 580!
Ebu weka picha na sisi tuone walivyokufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu!Kuna habari nimeiona The telegram kuwa wanajeshi wa Urusi takribani 100+ wameuawa kwa himars wakati wakisubiri makamanda wao,hili ukweli wake upoje!japo aliyeripoti ni propangandist wa Kirusi anaitwa Rybar.
Tupeni Update ya counter offensive.vipu mshafika Crimea maana mlisema vimeanzia Crimea na vitaishia Crimea[emoji23][emoji23]
Umesoma ulichoandika au uongo ukizidi na akili huondoka.......yani kukomboa maeneo 7 kati ya manne!!!!!Majeshi ya Ukraine yathibitisha kukomboa Storozheve, Donetsk Oblast kufanya maeneo yaliyokombolewa kufikia 7 Toka manne!
..
Ukrainian military confirms liberation of Storozheve, Donetsk Oblast
Ukraine's Armed Forces have liberated the village of Storozheve three kilometers south of Velyka Novosilka in Donetsk Oblast, the Tavriisk defense forces' press center reported on June 12.kyivindependent.com
Watakuwa raia wa shirikisho la UrusiWale wananchi wa Ukraine watakuwaje na Uraia wao endapo Ukraine ikifutwa kwa mujibu wa Putin?
Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Mbona kp kipanya44 aling'aka mara kibao eti kazi bado haijaisha kule Bakhmut?Urusi na UKraine: Urusi inashambulia mikoa ya Odessa na Mykolaiv kwa "Shaheds" - Jeshi la anga la Ukraine https://bbc.in/43GF6dL
^There were 40 Russian soldiers and fortunately we eliminated 70 of them.^Umesoma ulichoandika au uongo ukizidi na akili huondoka.......yani kukomboa maeneo 7 kati ya manne!!!!!
Msikilize huyo bwana kwa jibu la swali lako.Swali ni nini kinawazuia cuba kufanya hivyo?